Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Devoluted au devo worshippers wapo tu wanachanja miraa wanasubiri waletewe wazitapanye kama kawa ndio maana hamtoboi
Devoluted 😂 😂 ...another English word from Tanganyika after we were treated to elongated expressway jana. Anyway, I know how much it pains you and your ilk. Mtazoea tu kuona jinsi ugatuzi inavyoleta maendeleo Kenya
 
Longest railway bridge in Africa. 6.7km long.
May be an image of animal and outdoors

May be an image of nature
 
Local goverment zenu Zina Bunge?
Kwahiyo kwasababu Kenya Local government Kuna bunge, lazima nchi zote zifuate mfumo huo, nje ya hapo sio devolution?.

Jiulize Kama ulishawahi kuona nchi mbili zilizoungana zikawa na serikali 2 badala ya serikali Moja au serikali 3. Tanzania ni nchi pekee yenye serikali 2 baada ya kuunganisha nchi 2. Sio lazima kila kitu lazima kuiga nchi zingine


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Najua wewe ni mjinga saaaaana lakini fanya hesabu za haraka. 40% of 50 million people is 20 million. Sasa kati ya 20 million Kenyans na 28 million Tanganyikans ni wapi umaskini imekithiri?
hvi unaskiaje kusikia neno kua kenya kuna umaskini uliopitiliza kuliko zimbabwe ??😂😂 muko busy kujenga nchi miaka 55 na hakuna kitu mumefanya budaa?? leo zimbabwe ina afadhali kuliko kenya serious😂😂
 
Back
Top Bottom