Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ya mwaka gani hii?

Mapato ya local governments kwa sasa yapo juu kuliko zamani sababu yanakusanywa electronically
Tanzania Electronic revenue collection systems

images - 2022-04-26T170038.979.jpeg
 
Hujajibu swali langu hata moja. Ulichofanya ni kunionyesha majumba ya halmashauri ya manispaa ambayo hata sisi yalikuwepo before devolution. What we used to call LOCAL AUTHORITIES.

Before devolution came, Kenya had a total of 175 such local authorities classified as county councils, municipal councils, town councils and city councils. All these were under the ministry of Local Government which has since been renamed ministry of devolution. What you call manispaa is what we call municipals (just giving an obvious example).

Here is an example of a municipal council building before devolution
View attachment 2201436
You're so obsessed of naming instead of functionalities, Tanzania bado ni tofauti sana na ninyi mafukara msiojiweza kila kitu mnategemea central government halafu mnajitapa, kwa kipi?
 
Kwa hivyo usalama sio cha maana. 🤣 🤣 🤣 Hii ndio tofauti ya devolution na hivyo vikao vyenu vya baraza.

NMS to Issue Statement on Fleet of Cars Causing Speculation - Kenyans.co.ke

Eti vikao vya baraza! 😂 😂 😂
How can they claim they have devolution while everything is done by the central government?
 
You're so obsessed of naming instead of functionalities, Tanzania bado ni tofauti sana na ninyi mafukara msiojiweza kila kitu mnategemea central government halafu mnajitapa, kwa kipi?
Mafukara ukanda juu wa Africa wanajulikana vizuri sana kwamba ni Watanzania and there is enough evidence for that so punguza nyege.

Back to our topic, how can you say our devolved units have no functionalities yet we have paraded many things under them? Wewe umekwama na health wakati sisi tumewaonyesha hadi magari za security under county governments. Ama unataka tukuonyeshe pia na barabara ambazo zimejengwa na county governments ndio uridhike?
 
Hizo vikao vya baraza eti ndio wanaita devolution. Nimecheka mbaya sana leo wakiexpose ujinga.🤣🤣🤣🤣
 
County government wakati pesa imetoka KRA 🤣🤣🤣 ninyi vichaa hata hamjui your targets
 
Aliesema tuna huo upumbavu wenu wa devolution ni nani? Sisi sio dependants kama ninyi fukaraz kila kitu mpaka pesa kutoka kwa mlevi uhuru 😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 Halafu mnatucheka sisi?

Tanzania mpaka pesa za projects ni za local governments from local sources, sasa mtatuambia nini?
Kwani mapato ya serikali yanatoka wapi if not from local sources? Ile ushuru mfanyibiashara anatozwa pale kijijini unafikiri inaenda wapi? The central government collects this money through KRA then distributes it to county governments. At the same time, kuna ushuru ambazo zinakusanywa na local governments na zinabaki huko huko kwenye local authorities kutekeleza miradi mbalimbali za maendeleo. Fikiria nani...
 
County government wakati pesa imetoka KRA 🤣🤣🤣 ninyi vichaa hata hamjui your targets
Kazi ya KRA ni kukusanya ushuru. Ushuru inakusanywa hadi vijijini bongolala. Hii pesa baadae inaletwa kutekeleza miradi kwenye gatuzi zote 47 kupitia wizara ya ugatuzi. Ama wewe unadhani KRA inatoa pesa wapi?
 
Kwani mapato ya serikali yanatoka wapi if not from local sources? Ile ushuru mfanyibiashara anatozwa pale kijijini unafikiri inaenda wapi? The central government collects this money then distributes it to county governments. At the same time, kuna ushuru ambazo zinakusanywa na local governments na zinabaki huko huko kwenye local authorities kutekeleza miradi mbalimbali za maendeleo. Fikiria nani...
Mnakusanya kiasi gani wakati mmesema kila kitu mnasubiri pesa kutoka juu? Tanzania LG inategemea sana CG kwenye mishahara ya wafanyakazi wake sana lakini kwa miradi ya chini ya LG inajitegemea kutoka kwenye local sources na vyanzo vikubwa ni kuuza ardhi

images - 2022-04-26T173904.995.jpeg

2022-4-26_17-38-25.PNG
 
Kazi ya KRA ni kukusanya ushuru. Ushuru inakusanywa hadi vijijini bongolala. Hii pesa baadae inaletwa kutekeleza miradi kwenye gatuzi zote 47 kupitia wizara ya ugatuzi. Ama wewe unadhani KRA inatoa pesa wapi?
Ndio maana basi umaskini ni mkubwa sana kunyaland kumbe KRA inakusanya mpaka car parking fees, billboards fees, markets fees, local business fees, real estate fees, building permits fees, local hospitals revenues hata ushuru wa mazao? Sasa hiyo devolution kazi yake nini? 🤣🤣🤣🤣
 
Hatuhitaji cabinet local assemblies wanatosha kupitisha na kusimamia budgets
Sasa kama hamna hata cabinets kwenye hizo mabaraza zenu how then do you claim you have devolution? Huku kwetu kila county iko na baraza lake la mawaziri.
 
Back
Top Bottom