Dada hizi data zimekosewa .
Data nilizotoa ni za bank of Tanzania Hao WB na IMF wanatoa BOT
Tanzania kuna uwekezaji mkubwa wa gesi mabilioni ya dola
Nchi husika ni Netherlands, UK, USA , Norway, Singapore
Kuna uwekezaji wa mabilioni ya dola wa mining nchi husika ni UK, South Africa , Canada , Australia
Kenya iliingiza $42 mil halafu unasema ni nchi yenye uwekezaji mkubwa




kuliko nchi za wazungu





acha utani .
Kenya uwekezaji mkubwa ni kiwanda cha karatasi mgololo na mashamba ya chai
Kiwanda cha dangote cha saruji na mbolea uwekezajj wake utazidi $1 bil
Kenya ipo chini sana bado