Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daily dosage of expressway, lazima tuwatibu wivu.

Image
 
Kenya inazitegemea nchi zingine kwa sana kushinda hio nchi yenu mbovu. Ungeniuliza ningekueleza ni nchi gani hizi Kenya inazitegemea kistrategia na haiwezi kuzikosea. Lakini sio Tanzania. Nyie tumekorofishana hapa vibaya sana juzi wakati wa Magufuli au umesahau? Tulifungiana hata border. Unasahau haraka sana.
Mimi sio muumini wa ugomvi hata kidogo .
Lakini mipaka ilipofungwa kenya iliadhirika sana , Wafanyabiashara wake walipata hasara, upatikanaji wa chakula ulikuwa mgumu , malighafi mulikosa, hatuwezi kusema ilikuwa full economic war bali ni cold maana bado biashara nyingine ziliendelea Mama alivyoingia tu uhuru akawahi kupeleka barua chap chap magogoni ya kumwomba atembelee nai Ndio ahueni kwa kenya ikawadia , namsifu uhuru kwa kuchangamkia Fursa

Tukio Muhimu sitasahau Kamwe ni busara ya viongozi wetu jk na Ben mkapa kushirikiana na Kofi anaan kusuluhisha mgogoro wenu vinginevyo huenda kenya ingekuwa failed state.
 
Noma yani 100% transition to University. Bongo mkona wasomi kweli? 🤣 🤣 🤣 Ju ile ujinga wengine wenu hudisplay hapa inafanya niwe na doubts.

Image
 
aa.. wee mzee nenda kalale.. mmda wako umeshazama. hivi hii graffiti, ata serkali ya kenya inaisupport sana. this is kenyas creativity and we even export them as far as durban, SA

yani kwako huu ni uchafu.!? ama ubunifu wa ainayakeView attachment 2198034View attachment 2198024View attachment 2198025View attachment 2198026View attachment 2198027View attachment 2198028View attachment 2198030View attachment 2198033
Usiombe kukutana na hii midude imechakaa aisee Tetanus nje nje!!Moshi wakutosha unafika home umelewa diesel njwiiiii!
 
eti kuna mwenye anadai tume copy paste pakistan. yani nimecheka yangu yote 🤣🤣🤣

View attachment 2198116
View attachment 2198112View attachment 2198113View attachment 2198115
Hatuna muda wa kucopy vitu ambavyo haviongezi value yoyote kwa msafiri ama hata mmiliki, safari hizi fupi za mjini zinahitaji utulivu mkubwa kwani ndo muda mwafaka wa kuchakata mambo yako kichwani either unaenda kwenye mitikasi au unarudi,Bongo mziki wenye sauti kubwa hata kidogo abiria huwa wanalalamika upunguzwe!Kelele.
 
Mtu anakwenda asubuhi kazini ama jioni
anarudi umemuekea mziki mnene na tv juu,gari yenyewe iko very muscular,ni kupotezeana concentration!. Mazingira ya utulivu ambayo umekaa tu kutoka point A to point B husaidia pia kutafuta suluhisho ya changamoto zako zinazokukabili kwenye maisha. Hayo makelele yenu ni distortion kubwa I never liked it.
 
Wewe ni mpumbavu na mshamba Sana,kwa hiyo kipimo cha thamani ya Rais ni kuonana na Biden?

Bila shaka aliyekuwa na hamu ya kuonana na Samia ni Kamala kwa sababu mwenzie ni Rais na mkuu wa Nchi mwenye amri zote ila Kamala hana hiyo status..

Samia alienda US specifically kwa ajili ya Royal tour,kuonana na wafanyabiashara wa US,state visit aliyoalikwa na Kamala na kukutana na Wakuu wa IMF/ WB,hao wengine ndio waliomba kuonana na Rais kwa sababu zao kadha wa kadha na kwakuwa Rais wetu sio limbukeni na mnyanyua mabega akakubari kuwasikiliza...

Sasa yupi Bora Kati ya aliyekuwa anapiga simu clouds kwenye vipindi vya umbeya na Samia anaekutana na Watu muhimu kwenye sekta mbalimbali?😂😂😂😂

Matunda ya ziara ni haya hapa 👇

View attachment 2198797

View attachment 2198798

View attachment 2198799

View attachment 2198800

View attachment 2198801

View attachment 2198802

View attachment 2198803

View attachment 2198804
ati hekari 100,000? Hiyo kampuni ina wazimu? waonyeshe wamefanya nn huko Mtwara kwanza!
 
Hatuna muda wa kucopy vitu ambavyo haviongezi value yoyote kwa msafiri ama hata mmiliki, safari hizi fupi za mjini zinahitaji utulivu mkubwa kwani ndo muda mwafaka wa kuchakata mambo yako kichwani either unaenda kwenye mitikasi au unarudi,Bongo mziki wenye sauti kubwa hata kidogo abiria huwa wanalalamika upunguzwe!Kelele.
nna supporti sana hoja yako, ila uko na uhuru wa kuchagua madude zilizotulia kamavile cityhopper.. uhuru ni wakwako dogo
 
Mtu anakwenda asubuhi kazini ama jioni
anarudi umemuekea mziki mnene na tv juu,gari yenyewe iko very muscular,ni kupotezeana concentration!. Mazingira ya utulivu ambayo umekaa tu kutoka point A to point B husaidia pia kutafuta suluhisho ya changamoto zako zinazokukabili kwenye maisha. Hayo makelele yenu ni distortion kubwa I never liked it.
Ni uzee. Nobody is forced to use matatus with loud music. Most young people like to listen to music. Older people like to travel in silence. There's a matatu for everyone's preferences.
 
Back
Top Bottom