We are more realistic in our estimation hatuko kumfurahisha mtu hapaNiliskia GDP ya Tanzania ni $150B, ni aje Tena imerudi hadi $100B after rebase?![]()
We are more realistic in our estimation hatuko kumfurahisha mtu hapaNiliskia GDP ya Tanzania ni $150B, ni aje Tena imerudi hadi $100B after rebase?![]()
Jeshi halina hata combat vehicle wanatumia cruiser hardtop sasa tofauti yao na Al Shabab ni nini sasa?



Kwaakili yako taifa linaloenda kushika petro dollar lilie kizembe hivyo? Nyie ndio mtaenda kulia ndani ya hii miaka 5 mkiangalia mbele hamna hope yoyote ya kiuchumi.Waganda wameanza kulia mapema sana.
So Nini mumefanya imeisha inapandisha GDP? Kujenga daraja? Au kujenga interchange moja???? Au SGR haijaisha? Niambie what is supposed to rise your GDP drastically????Kwa mara ya kwanza kwa miaka zaidi ya 20 naona GDP ya Tz ikipanda kutoka 50 ambayo tumekaa hapo kwa miaka zaidi ya 20, bado nasisitiza GDP ya Tz ni $150b as of 2022. Magu alipandisha sn GDP ya Tz kwa muda mfupi, kutoka $90bn mpk $150bn ipo siku wataiweka hii figure watake wasitake, naona wanaelekea kukubali now, hakuna nchi yenye GDP ya $77bn ikafanya mambo yote haya tuliyofanya.
Tumeshuka nafasi moja chini??? 🤔
Kenya ina GDP growth as a result of IMF and WB loans!
Did you research what was done with the IMF loans?Kenya ina GDP growth as a result of IMF and WB loans!
Haya bas tumekuelewa..sasa unabisha na hauko Kenya...., tafuta mtu anaye safiri Mombasa ama mwenye ako kwa sasa Mombasa CBD, mwambie aulize maji 1.5lt street value.., kwa hawkers ni 50 bob.., kwa duka 35 or 40 bob unapata., pengine kama wewe ni wa akina Keringet and other brands found in supermarket shelves..., mbona nikudanganye, mimi sio mtanzania wakupenda propaganda.., ila on average maji ni cheap sana Tanzania, pia hilo nafahamu.., my argument ni kukujuza maji ya 50 bob kwa 1.5lt ukitaka utapata...,
Inland port itajengwa tu may not be now but lazima itajengwa hapo Na reli imalizikeHakuna kitu kinawaumiza Wakunya kama hiki, hasa wakifikiria hapa 😔
Na bado wana deni la milele
View attachment 2195300
Aah Maji iko Hadi 10ksh pia inategemea Ni kampuni Gani Na kama Ni mineral or ordinary water Na Kenya tuna refilling sites very cheap 100ksh for 20liters of purified water
Shida yako ni kama ni kiingereza basi, hapa nimekueleza vizuuuri ya kwamba Mombasa Maji ni cheap! Na nikaendelea kusema "it's much higher in Nairobi" Kumaanisha Nairobi ipo juu kuliko Msa. Same as your colleagues walisema maji sio cheap tanzania nzima ila ni specific places.Mbona mnapenda kuongea uongo sana, Kenya hakuna maji ya 1 ltr kwa 50ksh, sijui unaongopa ili ikusaidie nini
Tena juzi kwenye makadirio ya budget wameongeza kodi zaidi so tegemeeni bei kupanda zaidi hivi karibuni
View attachment 2196377
Well then, water is really cheap in Tanzania...
Good bottled water here in Mombasa goes for Ksh 50 for 1.5 L but it's much higher in Nairobi. You can find cheaper of course but you're also looking at good quality water and the price on average..
Do you have a link of an average store or online shopping platform where i can check everyday household products?
Like in Kenya kuna: jumia, kilimall, skygarden, glovo etc https://naivas.online/
English ni shida kwa huyo jamaa, hata izo zilipanda, quencher ilikuwa 22 bob siku hizi ni 25 bob 500mlYapo, inategemea na brand.., kwanza ile ya 40 bob Mombasa ni 1.5l bottle.., nakuambia ukweli.., kama hii brand ya Aquamist 500 ml ni 25 1 lt itakua ngapi? na ujue 1lt haitakua double the price ya half a little, the higher u go the cheaper it becomes.., itachezea 45 or 48.., so approximately utapata na 55 to 60...,
View attachment 2196438
Sasa unaforce na sisi tunaishi huku 😅😅 sasa utasaidika aje? In fact huku Msa, wale watu wa water purifying pale kwa water dispenser hufanya refill ya 10L na 50 bob 😅 hebu nikipata time na nikikumbuka kesho nitapiga pichaHamna maji 1.5lrs kwa 50ksh usikaze fuvu, hakuna medani inashindaniwa hapa
Majiran bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna tofauti ya Refill na kununua buda...hapa unacompare vitu viwili tofauti kabisaMkiambiwa maji kunyaland ni expensive ni Kweli tanzania price ya refill water verses kunyaland compare!
Note that this applies only for 20lts and it may be even be cheaper in some areas.
Mfano kanda ya ziwa watu wanatumia maji ya bottled water hata kuogea na kushika udhu😀😀😀😀View attachment 2196533View attachment 2196534
You mean, you saw right past the armored Humvee 😅😅 i like thatJeshi halina hata combat vehicle wanatumia cruiser hardtop sasa tofauti yao na Al Shabab ni nini sasa?![]()
![]()
![]()