Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anatuaibusha.
yaani kuna mahali pakubwa sana anakwama ,hayo mambo ni ya mawaziri wa sanaa,
Raisi amekuwa cheap president kuonekana onekana hovyo kwenye nchi za watu kiasi cha kwamba anaonekana mzururaji tu anahaibisha sana wadhifa wa uraisi,tokea aende huko kashindwa hata kuonana na president mwenzake biden hii inaonyesha how is fool ,

SSH amekuwa kama Raia wakawaida kwa huko USA,hii imekaa vibaya sana wanaomshauri wanamchoresha tu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
swali je kaonana na biden?

siku zote raisi anapokuwa nchi ya ugenini lazima aonane na present mwenzake mwenjeji

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Magufuli ndio angeonana na Biden, yn Biden mwenyewe angepambana akutane na chuma, alafu chuma vile kilivyokuwa na dharau kingempiga piga mgongoni Biden, Magu noma sana
 
Wakenya wote humu ndani wanatamani wangelikuwa Watz mana nchi yetu ina fursa nyingi mno, Wakenya wengi ninaokutana nao nikiwahoji hawataki kurudi kwao, leo tu kuna mkunya nimekutana naye kazini anakuambia hii nchi yenu kwakweli ni Eden ya duniani
 
Magufuli ndio angeonana na Biden, yn Biden mwenyewe angepambana akutane na chuma, alafu chuma vile kilivyokuwa na dharau kingempiga piga mgongoni Biden, Magu noma sana
Wewe Soja, Magu ni mzoga sahii, move on and stop creating fake scenarios in your head.
 
Vipi, hii ndio concrete jungle yenu?
unaweza kula pia uswahilin ama ata hii eastleigh pamoja na mombasa road
FNOWLfeWUAIz0S2.jpg
Screenshot_20220418-114103_Gallery.jpg




Screenshot_20220405-185459_Gallery.jpg
Screenshot_20220405-185459_Gallery.jpg
 
Ready to pounce in DRC I foresee an advert in French too!
Drc guys have started to increase in Nairobi, sijui it's due to them joining eac or what they very many in Thika road selling stuff, think the government should make encourage us to go there and make use of the huge market base they have. From documentaries I have seen their juakali sector is not vibrant
 
Mkiambiwa maji kunyaland ni expensive ni Kweli tanzania price ya refill water verses kunyaland compare!
Note that this applies only for 20lts and it may be even be cheaper in some areas.
Mfano kanda ya ziwa watu wanatumia maji ya bottled water hata kuogea na kushika udhu😀😀😀😀View attachment 2196533View attachment 2196534
That depends on where you buy that bottle is as cheap as 100 when you have your own plastic container to replace
 
Back
Top Bottom