Sikatai kwamba mna potential sana hususan kwenye mining na ndio maana ninasisitiza kwamba muweke nguvu zenu nyingi kwenye kuendeleza hii sector. Ila kwenye gdp huwa hatuhesabu future economic activities, kama tungekuwa tunafanya hivyo basi DR Congo ndio ingekuwa the richest country in the world kwa maana wao wana akila aina ya madini. Kwenye gdp tunaangalia current economic activity, yaani mnazalisha nini kwa sasa? Wachumi hawana haja ya kujua kama mna reserve kubwa ya gold, hio haina maana yoyote ikiwa hamna uwezo wala teknolojia ya kuchimba madini hayo.