Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya GDP kutoka.kwa wapendwa wenu IMF
Naona Angola Imerudi kuwapiku..baada ya hela yao kupanda Thamani Tony254

Simon je Magu alikuwa anaonewa do we finally see the real figuers of Tz View attachment 2195153View attachment 2195154
Angola kilichowashusha ni bei ya mafuta kushuka kwa hivyo thamani ya pesa yao pia ikashuka. Lakini kwa sasa kwa sababu bei ya mafuta imepanda kama wazimu sasa pia thamani ya pesa yao imepanda. Na kama ujuavyo Gdp norminal huwa inategemea nguvu ya sarafu ya nchi fulani dhidi ya dollar. Vile vile gdp norminal ya Sudan ilianguka kama mawe by more than 50% ndani ya miaka miwili wakati walianza misukosuko ya kisiasa miaka michache iliyopita. Sasa sishangai kwamba kuna uwezekano wa Angola kurudi nambari ya sita mwishoni mwa mwaka huu. Ila subiri bei ya mafuta ishuke baada ya vita ya Ukraine kuisha uone jinsi hio gdp yao itaanguka kama mawe. Sio kwamba gdp ya Kenya imepungua, ni kwamba gdp ya Kenya inaendelea kukuwa steadily ila ya Angola inapanda na kushuka bila msimamo. Kwa maana value ya currency yao inapanda na kushuka kwa mihemko zaidi.

Uchumi wa Kenya unaendelea kukuwa, subiri next week KNBS inatangaza gdp growth rate ya fourth quarter. Kenya inategemewa kukuwa kwa 7% mwaka wa 2021. Mwisho kabisa hizi ni outlook yaani forecast za IMF. Imf inatabiri tu kitakachofanyika 2022 sio kwamba imeshafanyika. Imf inatabiri kwamba sarafu ya Angola itaendelea kuwa strong na wataipiku Kenya kabla ya mwaka huu kuisha. Ila tuseme jambo lifanyike sasa hivi bei ya mafuta ipungue basi Angola hawatapita Kenya. Hii ni outlook, utabiri. Ni kama utabiri wa hali ya hewa tu, kuna kupata na kukosea katika utabiri.
 
But sioni uhalisia wowote wa Tanzania (77) vs cote d'ivoire (73) au ghana (74) au dr congo (65) on the ground
Mfano, nimewah kwenda DR congo two times.. maisha huko ni magumu balaa na mazingira sehem kubwa yamekaa kiduni duni
Tunarudishwa pole pole we are around 85 to billion maybe basi tu Magu alikuwa haziivi...Ushawaza JHPPP ambayo ujenzi wake tu una add 1 billion usd to GDP every year ..SGR maybe adds 2billion usd every year

Bado Mining , FDI na Eacop kuanza
 
Continue waiting mzee...Hivi unahisi Tz haifanyi Kazi..unaumwa akili

1.Hapo SGR haijanza kufanya kazi
2.Hatujaanza ku mine nickel na graphite tume sign tu mikataba
3. We are on plan to increase holticulture revenues to 3Billion usd in next 5 years from now 1billion usd
4.. Soon tuna compelte kuhamia dodoma ..freeing more funds for other projects

5.Hapo Eacop hata hatujakusia kuanza kujengwa na keep in mind itajengwa

6.Tell me if any those countries are building electrifed railway long as us

7.Hatujakusa kuanza ku mine Iron ya Liganga

8.Bado injection ya 2115 mw from Stiglers Gorge

9 .Tourism iko on rise ingawa ka m nigeria kanajarbu kutuharibia

Sijakusia Manufctring indutries na investement za last year FDI wa more than 3billion usd ..Tax collection up 20%

10.Niendelee mzee ..we just need better leadership ..
Economies are rebounding after covid, tulia tuataona tu.
 
Wakulungwa wa kaskazini mjitahidi basi hata kumwagilia, au Company ipewe maintenance contract pawe sawa muda wote papendeze zaidi. yakikauka hivi sio poa.

View attachment 2195102
now this is what i referred to as a waste of time, resources, energy and unnecessary maintenance contracts in the days to come.. their was no need for this greenery thing. civil engineering mostly entail dealing only with concrete (cement, ballast, sand), steel, quarrystones, bricks, hardcore, gravel, timber, asphalt/bitumen... etc. unless otherwise flowering on Reinforced Concrete Structural Members is a new topic.. i never heard tht in the engineering class
 
Continue waiting mzee...Hivi unahisi Tz haifanyi Kazi..unaumwa akili

1.Hapo SGR haijanza kufanya kazi
2.Hatujaanza ku mine nickel na graphite tume sign tu mikataba
3. We are on plan to increase holticulture revenues to 3Billion usd in next 5 years from now 1billion usd
4.. Soon tuna compelte kuhamia dodoma ..freeing more funds for other projects

5.Hapo Eacop hata hatujakusia kuanza kujengwa na keep in mind itajengwa

6.Tell me if any those countries are building electrifed railway long as us

7.Hatujakusa kuanza ku mine Iron ya Liganga

8.Bado injection ya 2115 mw from Stiglers Gorge

9 .Tourism iko on rise ingawa ka m nigeria kanajarbu kutuharibia

Sijakusia Manufctring indutries na investement za last year FDI wa more than 3billion usd ..Tax collection up 20%

10.Niendelee mzee ..we just need better leadership ..
Ghana imeshawapita mzee. Na hamtaifikia Ghana. Hio ilishawaacha kubalini yaishe. Ghana sasa hivi ndio Africa' s biggest producer of gold wameipiku hata South Africa kwa kuproduce gold. Ghana pia kuanzia 2010 wameanza kuexport mafuta. Wanaexport zaidi ya 160,000 barrels per day. Halafu cha kushangaza ni kwamba mafuta yao ni off-shore kwa hivyo hakuna costs za kujenga pipeline kama EACOP. Ghana ndio second largest producer of cocoa in the world. Ghana ni wabaya wewe, wale wajamaa hawajalala. Hata Kenya tukicheza wale watu wanaweza kutufanyia madhambi kama walivyowafanyia nyie. Halafu ni watu 30 million pekee. Ni aibu sana, wao ni weusi kama sisi lakini wako vizuri.
 
Angola kilichowashusha ni bei ya mafuta kushuka kwa hivyo thamani ya pesa yao pia ikashuka. Lakini kwa sasa kwa sababu bei ya mafuta imepanda kama wazimu sasa pia thamani ya pesa yao imepanda. Na kama ujuavyo Gdp norminal huwa inategemea nguvu ya sarafu ya nchi fulani dhidi ya dollar. Vile vile gdp norminal ya Sudan ilianguka kama mawe by more than 50% ndani ya miaka miwili wakati walianza misukosuko ya kisiasa miaka michache iliyopita. Sasa sishangai kwamba kuna uwezekano wa Angola kurudi nambari ya sita mwishoni mwa mwaka huu. Ila subiri bei ya mafuta ishuke baada ya vita ya Ukraine kuisha uone jinsi hio gdp yao itaanguka kama mawe. Sio kwamba gdp ya Kenya imepungua, ni kwamba gdp ya Kenya inaendelea kukuwa steadily ila ya Angola inapanda na kushuka bila msimamo. Kwa maana value ya currency yao inapanda na kushuka kwa mihemko zaidi.

Uchumi wa Kenya unaendelea kukuwa, subiri next week KNBS inatangaza gdp growth rate ya fourth quarter. Kenya inategemewa kukuwa kwa 7% mwaka wa 2021. Mwisho kabisa hizi ni outlook yaani forecast za IMF. Imf inatabiri tu kitakachofanyika 2022 sio kwamba imeshafanyika. Imf inatabiri kwamba sarafu ya Angola itaendelea kuwa strong na wataipiku Kenya kabla ya mwaka huu kuisha. Ila tuseme jambo lifanyike sasa hivi bei ya mafuta ipungue basi Angola hawatapita Kenya. Hii ni outlook, utabiri. Ni kama utabiri wa hali ya hewa tu, kuna kupata na kukosea katika utabiri.
Kenya ina GDP growth as a result of IMF and WB loans!
 
now this is what i referred to as was a waste time, resources and unnecessary maintenance contracts in the days to come.. their was no need for this greenery thing. civil engineering mostly entail dealing only with, concrete, steel, quarrystones, sand, gravel, timber... unless flowering on ReinforcedConc. Structural Columns is a new topic.. i never heard tht in the engineering class
It's better than unnecessary ugly posters all over.
 
iron ore ipo nyingii around the world na kuna cartel kubwa, hiyo namba 3 ni ngumu kutekelezeka labda kipindi hichi cha sanctions! Ila bado Mchina na Mbrazil bado wapo sana kwenye hii cartel!
Endeleeni kulala kama kawaida.

Ghana imeshawapita mzee. Na hamtaifikia Ghana. Hio ilishawaacha kubalini yaishe. Ghana sasa hivi ndio Africa' s biggest producer of gold wameipiku hata South Africa kwa kuproduce gold. Ghana pia kuanzia 2010 wameanza kuexport mafuta. Wanaexport zaidi ya 160,000 barrels per day. Halafu cha kushangaza ni kwamba mafuta yao ni off-shore kwa hivyo hakuna costs za kujenga pipeline kama EACOP. Ghana ndio second largest producer of cocoa in the world. Ghana ni wabaya wewe, wale wajamaa hawajalala. Hata Kenya tukicheza wale watu wanaweza kutufanyia madhambi kama walivyowafanyia nyie. Halafu ni watu 30 million pekee. Ni aibu sana, wao ni weusi kama sisi lakini wako vizuri.
Naomba usome
Cha pili hata kama Gold wamepita SA kwan tunategemea Gold tu..

We have Nickel , Iron and lots of coal bado hatujazigusa reserve hizo

Cocoa might be expensive

but we are compesating with Avocados..currently 3rd producer in africa we aim to be first

Coconuts biggest producer

Rice 3rd in africa

2nd in number of cows .we have exported 22million usd worth of meat to Arabian countires last year

Hatujamine Natural Gas ya off shore hata kidogo .unayoona tunatumia ina ya onshore

Hatujajisumbua kuanza kujenga Bagamoyo port mzee

ATTACH=full]2195184[/ATTACH]
 
Attachments

  • Screenshot_20220421-114214.jpg
    Screenshot_20220421-114214.jpg
    26.7 KB · Views: 15
Us Tanzanians and our govt should either learn to attract this companies au kutafuta strong hold nyingine

Company bado ziko nying.. but we need na sisi kuwa na pulling force ..kuweza ku attract ..tukishindwa haina noma pia..tuna kaze kwenye strong hold zetu nyingine sio lazima company zi set shops Tz . ili uchumi ukue

Our strong holds are or to be ...
1.Transport Sector..lets make sure the SGR inaisha ..ports zinaisha ...lets build bagamoyo port

2 .Bomba la mafuta lets make sure tuna linajengwa na lina benefit watu

3.Mining ..lets start mining Iron ya Liganga ..yani mtu akitaka kupata chuma Africa anakinunua Tanzania

4.Agriculture ..Sisi ni wapili kwa Ngombe wengi..lets open more meat processing and leather industires ...Lets make sure we lead in Rice production in africa , lets lead in avocado we have more arable land..we are second in wine Pdn...lets make sure we improve on that...lets close the gap ya pdn ya Cooking oil...lets provide east africa yote

5.Tourism ..lets improve it ..to be top 3 in africa

Hizi sectors walizotuacha sijui ku set companies za nje ..kama tunaweza tu compete.. ila ikishindikana haina noma ...Amazon , Google hawawezi set Africa nzima..cha muhimu tushike kwingine
Mbona msiattract Australian na Canadian companies kwenye mining sector? Hizo nchi mbili zipo vizuri kwenye mining. A big part of Australia's gdp is made up of mining activities. Australia ndio huwa inasupply most of China's coal and iron ore needs. Wekeni mazingira bora kwenye mining, hio ndio strong-hold yenu. Kwenye IT mpo too late kwa maana Kenya, SA na Nigeria zimashakimbia na mpira uwanjani. Mimi naona wekeni mazingira bora kwenye mining ili muattract big boys kama akina Rio Tinto.
 
Angola kilichowashusha ni bei ya mafuta kushuka kwa hivyo thamani ya pesa yao pia ikashuka. Lakini kwa sasa kwa sababu bei ya mafuta imepanda kama wazimu sasa pia thamani ya pesa yao imepanda. Na kama ujuavyo Gdp norminal huwa inategemea nguvu ya sarafu ya nchi fulani dhidi ya dollar. Vile vile gdp norminal ya Sudan ilianguka kama mawe by more than 50% ndani ya miaka miwili wakati walianza misukosuko ya kisiasa miaka michache iliyopita. Sasa sishangai kwamba kuna uwezekano wa Angola kurudi nambari ya sita mwishoni mwa mwaka huu. Ila subiri bei ya mafuta ishuke baada ya vita ya Ukraine kuisha uone jinsi hio gdp yao itaanguka kama mawe. Sio kwamba gdp ya Kenya imepungua, ni kwamba gdp ya Kenya inaendelea kukuwa steadily ila ya Angola inapanda na kushuka bila msimamo. Kwa maana value ya currency yao inapanda na kushuka kwa mihemko zaidi.

Uchumi wa Kenya unaendelea kukuwa, subiri next week KNBS inatangaza gdp growth rate ya fourth quarter. Kenya inategemewa kukuwa kwa 7% mwaka wa 2021. Mwisho kabisa hizi ni outlook yaani forecast za IMF. Imf inatabiri tu kitakachofanyika 2022 sio kwamba imeshafanyika. Imf inatabiri kwamba sarafu ya Angola itaendelea kuwa strong na wataipiku Kenya kabla ya mwaka huu kuisha. Ila tuseme jambo lifanyike sasa hivi bei ya mafuta ipungue basi Angola hawatapita Kenya. Hii ni outlook, utabiri. Ni kama utabiri wa hali ya hewa tu, kuna kupata na kukosea katika utabiri.
That report sounds fishy..but you can investigate...

1650532916606.png
 
Mbona msiattract Australian na Canadian companies kwenye mining sector? Hizo nchi mbili zipo vizuri kwenye mining. A big part of Australia's gdp is made up of mining activities. Australia ndio huwa inasupply most of China's coal and iron ore needs. Wekeni mazingira bora kwenye mining, hio ndio strong-hold yenu. Kwenye IT mpo too late kwa maana Kenya, SA na Nigeria zimashakimbia na mpira uwanjani. Mimi naona wekeni mazingira bora kwenye mining ili muattract big boys kama akina Rio Tinto.
Umefwatilia kuhusu mining karibuni

Tumesign Contract ya Ku mine Nickel na Cobalt

Australian company ndo itamine.graphite ya moro
 
Broo sa si bora choo kuliko hii na hapo ni nairobi jiji kuu na makaomakuu ya serkali ya kenya hawana vyoo wanategemea mifuko
*hamuwezi kua binadanu wa kawaida nyie mtakua zinjasropa
View attachment 2195138

Masikini wa Tanzania anaishi kwenye nyumba ya matofali halafu masikini wa Kenya anaishi kwenye nyumba za bati yaani bati after bati! Unaona hiyo tofauti!
 
Naomba usome
Cha pili hata kama Gold wamepita SA kwan tunategemea Gold tu..

We have Nickel , Iron and lots of coal bado hatujazigusa reserve hizo

Cocoa might be expensive

but we are compesating with Avocados..currently 3rd producer in africa we aim to be first

Coconuts biggest producer

Rice 3rd in africa

2nd in number of cows .we have exported 22million usd worth of meat to Arabian countires last year

Hatujamine Natural Gas ya off shore hata kidogo .unayoona tunatumia ina ya onshore

Hatujajisumbua kuanza kujenga Bagamoyo port mzee

ATTACH=full]2195184[/ATTACH]
Sikatai kwamba mna potential sana hususan kwenye mining na ndio maana ninasisitiza kwamba muweke nguvu zenu nyingi kwenye kuendeleza hii sector. Ila kwenye gdp huwa hatuhesabu future economic activities, kama tungekuwa tunafanya hivyo basi DR Congo ndio ingekuwa the richest country in the world kwa maana wao wana akila aina ya madini. Kwenye gdp tunaangalia current economic activity, yaani mnazalisha nini kwa sasa? Wachumi hawana haja ya kujua kama mna reserve kubwa ya gold, hio haina maana yoyote ikiwa hamna uwezo wala teknolojia ya kuchimba madini hayo.
 
Most stupid question nimeona Kwa mtandao today... Really? The biggest companies in the world invest in a country and you ask what is the advantages hehe am even ashamed that this are the kind of people I engage in debates with
no..... Simba 254, these guys are pretenders... they are very much ware of their merits and advantages, only tht to them, when anythng good happens to kenya, they cannot just let go of it scot-free without a major critic and negative narrative bout it first.. a curse of being danganyikan...

i tell u if this things were happening to our southern neibas.. i tell u hapa sahizi hakungekalika... hio kelele nayo.!! heb ata muulize Tony254... kama tu a local african company Dangote Cement iliwekeza regional Plant in tz.. i tell hapa hakukua kunakalika..! 💣💥 i used to put flightmode first atleast simu ipumzike kiasi..
je sasa kama ingekua ni makampuni tajika duniani kote kamevile: Google, Amazon, Microsoft, Visa Inc., IBM, Samsung.. the rest could be history i tell u.!
 
Back
Top Bottom