chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Ninyi ndio mnateseka, mnajulikana mlivyo hovyo mpaka ikulu haina maji ndio mpate maji cheap kiasi hicho? 🙄Sa unataka kulia. Hio ni shauri yako.
Ninyi ndio mnateseka, mnajulikana mlivyo hovyo mpaka ikulu haina maji ndio mpate maji cheap kiasi hicho? 🙄Sa unataka kulia. Hio ni shauri yako.
Hamna maji 1.5lrs kwa 50ksh usikaze fuvu, hakuna medani inashindaniwa hapaYapo, inategemea na brand.., kwanza ile ya 40 bob Mombasa ni 1.5l bottle.., nakuambia ukweli.., kama hii brand ya Aquamist 500 ml ni 25 1 lt itakua ngapi? na ujue 1lt haitakua double the price ya half a little, the higher u go the cheaper it becomes.., itachezea 45 or 48.., so approximately utapata na 55 to 60...,
View attachment 2196438
sasa unabisha na hauko Kenya...., tafuta mtu anaye safiri Mombasa ama mwenye ako kwa sasa Mombasa CBD, mwambie aulize maji 1.5lt street value.., kwa hawkers ni 50 bob.., kwa duka 35 or 40 bob unapata., pengine kama wewe ni wa akina Keringet and other brands found in supermarket shelves..., mbona nikudanganye, mimi sio mtanzania wakupenda propaganda.., ila on average maji ni cheap sana Tanzania, pia hilo nafahamu.., my argument ni kukujuza maji ya 50 bob kwa 1.5lt ukitaka utapata...,Hamna maji 1.5lrs kwa 50ksh usikaze fuvu, hakuna medani inashindaniwa hapa
Turkish airlines mwaka mzima imekuwa ikija Dar na ZnzYa Jana,soma tarehe
Tunajua TZ maji yako kwa wingi ukilinganisha, ila 29 million lacks access to improved sanitation with a poverty rate ya 36%.., check out water.org..,Ninyi ndio mnateseka, mnajulikana mlivyo hovyo mpaka ikulu haina maji ndio mpate maji cheap kiasi hicho? 🙄
Soma hilo gazeti mkuu utaelewaTurkish airlines mwaka mzima imekuwa ikija Dar na Znz
labda kama imerudisha Kilimanjaro
Mkiambiwa maji kunyaland ni expensive ni Kweli tanzania price ya refill water verses kunyaland compare!Well then, water is really cheap in Tanzania...
Good bottled water here in Mombasa goes for Ksh 50 for 1.5 L but it's much higher in Nairobi. You can find cheaper of course but you're also looking at good quality water and the price on average..
Do you have a link of an average store or online shopping platform where i can check everyday household products?
Like in Kenya kuna: jumia, kilimall, skygarden, glovo etc https://naivas.online/
Imeandikwa wapi hio Aquamist ni Refill?Mkiambiwa maji kunyaland ni expensive ni Kweli tanzania price ya refill water verses kunyaland compare!
Note that this applies only for 20lts and it may be even be cheaper in some areas.
Mfano kanda ya ziwa watu wanatumia maji ya bottled water hata kuogea na kushika udhu😀😀😀😀View attachment 2196533View attachment 2196534
Ok Sawa basi sema Una nunua yote na mtungi au whatever bado huoni price ni kubwa?Imeandikwa wapi hio Aquamist ni Refill?
Maji tunarefill na 100 bob for 20ltr wacha propaganda.
![]()
Nairobi kuna bei ya kila mtu depending na class, hata hizo za 250 ukitaka ziko.Ok Sawa basi sema Una nunua yote na mtungi au whatever bado huoni price ni kubwa?
Haya ni Lete prices ya packages huko kumbuka Hii bado ni expensive hapa TanzaniaImeandikwa wapi hio Aquamist ni Refill?
Maji tunarefill na 100 bob for 20ltr wacha propaganda.
![]()
Haya ni Lete prices ya packages huko kumbuka Hii bado ni expensive hapa TanzaniaView attachment 2196562
Hii ni mineral water? ju naona haija andikwa.Haya ni Lete prices ya packages huko kumbuka Hii bado ni expensive hapa TanzaniaView attachment 2196562
Yes! Bongo ukitaka sparkling, carbonated etc zipo Kwa bei nafuu!Hii ni mineral water? ju naona haija andikwa.
Kwa wenzetu maji ya chupa ni anasa wakat bongo ni kitu cha kawaida !