Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa ni wazee wa uzinduzi tu baada ya hapo infrastructure inakuwa chafu ndani ya kipindi kifupi tu na ndiyo maana huwezi kukuta wanapost picha bila filter, usitegemee hayo majani kama yataendelea kuwepo hapo mana maji hakuna Nairobi.
Wivu
 
Haya GDP kutoka.kwa wapendwa wenu IMF
Naona Angola Imerudi kuwapiku..baada ya hela yao kupanda Thamani Tony254

Simon je Magu alikuwa anaonewa do we finally see the real figuers of Tz View attachment 2195153View attachment 2195154
Kwa mara ya kwanza kwa miaka zaidi ya 20 naona GDP ya Tz ikipanda kutoka 50 ambayo tumekaa hapo kwa miaka zaidi ya 20, bado nasisitiza GDP ya Tz ni $150b as of 2022. Magu alipandisha sn GDP ya Tz kwa muda mfupi, kutoka $90bn mpk $150bn ipo siku wataiweka hii figure watake wasitake, naona wanaelekea kukubali now, hakuna nchi yenye GDP ya $77bn ikafanya mambo yote haya tuliyofanya.
 
Hizi ndio nyumba zinajengwa Nairobi sikuizi in 2022 where majority live. Apartment ikona Choo na bafu, maji, stima na broadband internet.

Hua munasema ni economy ya makaratasi lakini kwa ground progress haifichiki.


For Rent: Executive Bedsitter, Githurai 44, Githurai, Nairobi | 1 Beds | Kenya Property Centre (Ref: 8896)
Githurai Properties - Mitula Property


Plot for sale in Githurai 45 - Flama properties



Beautiful bedsitters for rent in githurai 45 in Githurai, Kenya | Propscout
githurai 44 block of flats for sale in Githurai 44, Githurai, Kenya | Propscout


High-View Apartments - Githurai, Nairobi City | ApartmentPages.co.ke
USIU Girl Found Dead in Her Apartment - Kenyans.co.ke
Toa uchafu hapa.
 
Kwa mara ya kwanza kwa miaka zaidi ya 20 naona GDP ya Tz ikipanda kutoka 50 ambayo tumekaa hapo kwa miaka zaidi ya 20, bado nasisitiza GDP ya Tz ni $150b as of 2022. Magu alipandisha sn GDP ya Tz kwa muda mfupi, kutoka $90bn mpk $150bn ipo siku wataiweka hii figure watake wasitake, naona wanaelekea kukubali now, hakuna nchi yenye GDP ya $77bn ikafanya mambo yote haya tuliyofanya.
Rudi job, break imeisha, hizi ni fikra za kiboya sana, 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🤣 🤣 😂
 
But sioni uhalisia wowote wa Tanzania (77) vs cote d'ivoire (73) au ghana (74) au dr congo (65) on the ground
Mfano, nimewah kwenda DR congo two times.. maisha huko ni magumu balaa na mazingira sehem kubwa yamekaa kiduni duni
Kama vile sehemu kubwa ya Dar imekaa kiduni duni tu., 80% plus..., uchumi wenu uko sahihi kabisa, angalia your annual revenue tu, dhibitisho tosha ya uwezo wa uchumi wenu, check income ya various sectors..., zoea kukubali ukweli, ni uchungu lakini ndivyo ilivyo 😂 😂
 
Washamba kama ninyi mngejua hili msingewaona wazungu ni miungu kama mnavyowaona sasa, mkunya mwenzio kasema kwake hata kama Google isingeajiri mkunya hata mmoja lakini alimradi tu ipo kunyaland hilo kwake ni jambo la kujivunia

Hii inaonesha namna mlivyo mataahira na waabudu wazungu
Did you actually understand where my point of view is? Or you're just ranting out... Plus do you have white people in slums in Dar? Cause it seems like it's something you're used to... Stop being shallow and understand what I mean before responding.
 
Who said wholly??? And did you really read those advantages?
Yes I did (read).
And why is your president traveling allover Tring to woe foreign investors???
I have no idea, I've never supported those moves.
It's either you desperate not wanting to accept a positive remark about Kenya or you highly under informed matters economy
Desperate? No. I just don't understand why you can't hold your own nuts.
 
Back
Top Bottom