Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Niliskia GDP ya Tanzania ni $150B, ni aje Tena imerudi hadi $100B after rebase?😂😂🤣Tanzania waki rebase next year baada ya sensa itafika above 100bn
Niliskia GDP ya Tanzania ni $150B, ni aje Tena imerudi hadi $100B after rebase?😂😂🤣Tanzania waki rebase next year baada ya sensa itafika above 100bn
I sincerely hate bigots like you because you base your arguments on ridiculous grounds. What you’re talking about is called comparative advantage, and I’m well aware that Tanzania has more natural resources than Kenya. But that’s not what I’m talking about here! I’m trying to make people understand that technology is crucial for our economic progress, and if we work together with foreign tech firms, we can instill the technological innovation spirit to our country!Hakuna mtu anapinga yote haya, Je faida zake utalinganisha na uwekezaji unaofanywa na makampuni ya madini Tanzania?, Kwa mfano mradi wa 'Kabanga Nickel' pekee huko Kigoma utalipa Kodi kubwa, utatoa ajiri nyingi kwa watanzania tena wale wa kawaida huko mikoani kuliko hizo ofisi zote kwa pamoja.
Nchi haziwezi kufanana katika uwekezaji, Kenya kwa historia yake imekua ndio HQ ya wakoloni toka enzi za ukoloni, muhimu ni kuangalia Kama hayo makampuni kweli yanabadilisha hali ya maisha ya wakenya wa kawaida Kama ambavyo uwekezaji katika sector ya madini unavyobadilisha maisha ya watanzania wa hali ya choni?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I sincerely hate bigots like you because you base your arguments on ridiculous grounds. What you’re talking about is called comparative advantage, and I’m well aware that Tanzania has more natural resources than Kenya. But that’s not what I’m talking about here! I’m trying to make people understand that technology is crucial for our economic progress, and if we work together with foreign tech firms, we can instill the technological innovation spirit to our country!
If countries like UAE and Saudi Arabia were stupid enough like you, they wouldn’t have ventured into other economic sectors but rely solely on oil! They know for a fact that those resources will perish one day. Saudi Arabia is trying to become the financial capital of the Middle East, and the UAE is clearly the leading tourism capital!
You oppose tech investments in Kenya, saying that Kenya is “HQ ya wakoloni”, Kwani firms zinazoendesha migodi Tanzania zinatoka wapi kama sio magharibi? Do you realize how retarded you are?
What’s funnier is that despite all these investments in Tanzania, as you try to insinuate that they bring more benefits to locals than those in Kenya, Kenya has a bigger economy, a bigger GDP per capita, and HDI! Jiulize sasa Tanzania inakosea wapi?
Mkuu em umiza kichwa kwanza kabla hujatypWapo watu wenye qualifications za kukidhi vigezo vya kampuni hizo. Huwezi kusema kuwa nchi nzima haina watu wenye sifa za kuajiriwa. Pia hata kama wapo wachache, kuna job training zinafanywa na makampuni. And Kenyans are smart! Wame-approve curriculum ya coding kwenye shule zao tayari! Kwa hiyo utegemee watoto wao kuanza kuingia kwenye filed ya IT.
Huyu ni kichaa, sioni hata sababu ya kujibishana naeMkuu em umiza kichwa kwanza kabla hujatyp
Me? Crazy? Perhaps you’re right. Lakini sababu pekee huwezi kujibizana na mimi ni kuwa huna hoja zenye mashiko! You’re always myopic and naive. And you’re also stupid.Huyu ni kichaa, sioni hata sababu ya kujibishana nae
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kunyaland nzima haina marshalling yard ya size hii! Hata Tony254 anajua!Daa ila hili li marshalling yard lakibabe sio mchezo