Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lusematic it's either you don't get enough food or you are just suffering from a disease that you need to cure? It's called TOFI - (Thin Outside and Fat Inside)

  • Your gut is inflamed and you can't absorb enough nutrients
  • You also have poor metabolic activity and fat livers.
Those are the reasons why umekonda sana

View attachment 2194077
vile body za washua duniani hukaa,

pia nao hukosa food kama wewe
images.jpg
images%20(1).jpg
images%20(4).jpg
images%20(5).jpg
images%20(7).jpg
images%20(8).jpg

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kenyans sided with Nigerians instead of our neighbors hehe! We have now been bundled together.... Been following this thread and it's very interesting. I love how after Kenyans being included in the tweef they are responding back like bees, they made Nigeria trend in 13 countries

Yani inaonekana nchi nzuri zote Africa haziwataki wanigeria, and that's according to them. Sisi hata hatuna matatizo nao ni wao wenyewe wanajishtukia. Na wasije EA kabisa kama vipi!
 
Kwa hiyo ukaenda kabisa dukani ukawaambia wakupe infinix x657!

Hao ni wakunya wenzako na ndio maana wapo hapo.
Bro,me siyo mtu wa majadiliano kwenye hili jukwaa,lkn ngoja nikuambie kitu kuhusu hawa ndugu zetu Kenyans coz nimekaa nao muda mrefu sn

Kenya ni Yule demu anayejisifu ni mkali lkn amepaka make up.Ukiondoa their make up city-Nairobi mengine wanabakiwa kuwa wepesi Kama pamba Kwa Tz

1.Wakenya Wana asilli ya ushamba alafu hawajijui km ni washamba..Rafiki zangu wakenya Wakija bongo ndy wananunua simu nzuri.wao simu zao ni Tecno na infinix, simu ina display km calculator

2.Washamba wa kuvaa,hawajui kuvaa.Washkaji zangu Wanapokaribia kuondoka kwao ndy tunaadamana kufanya shopping ya nguo Kali.mkuu wabongo tunavaa bwana asikuambie mtu.Jamaa yangu mmoja mkenya ananiambia siku akija bongo watoto wake wanafurahia maana Mzee anarudi na nguo Kali,kumbe watoto hawajui mbongo ndy nasimamia show za kumwonyesha sehemu za shopping za familia yake

3.kuna mmoja anaitwa tear gas,huko juu akamwambia mbongo "uchumi wenu wa mama ntilie huwezi compare na Kenya".,Nikacheka Sana niliposikia mama ntilie

Kwa wakenya niliokaa na hapo bongo nilikuwa very comfortable kuwapeleka Kwa mama ntilie kupata chakula kuliko kuingia hotel ya maana..Unajua Kwa nn?

Watanzania si Tu kwamba tuna chakula cha kutosha Bali pia tunajua kupika chakula asee!! Chakula cha mama ntilie bongo ni kitamu mara Mia kuliko chakula cha restaurant ya hadhi hapo Kenya,siwasingizii,km kuna mkenya kawahi Kula chakula cha mama ntilie atakubaliana na Mimi

Bongo ukiwa na buku 3 si Tu umetoboa Kwa mlo wa siku Bali pia Una uhakika wa Kula chakula kizuri Kwa 'mama ntilie'

Wazee wa sukuma wiki na chainizi utadhani hizo mboga walifunga nazo ndoa..wabovu kwenye mapishi

Kwa kifupi ni kwamba,si Tu Kenya ina tatizo la chakula,Bali hata Hilo chakula walicho nacho hawajui kupika!! Mboga yako kuu ni sukuma wiki na chainizi huko kwao
.Wakenya wanakula chakula Kama dawa,chakula kibaya sijui tatizo ni nini

Mara kumi Mombasa unaweza kuenjoy chakula tena nadhani Kwa sababu ni pwani na imekaribiana na Tz (Tanga).. joke

Hapa nazungumzia maisha ya mkenya wa kawaida na mtz wa kawaida kabsa,siyo hawa wa humu wanaojinasibu ni wasomi na Wana maisha laini

On the ground Tz we are far better than wao,wasikuchoshe ubongo..Hauwezi kuwa mshindi wa kila kitu,yes!!..pia Hawawezi wao kuwa Bora zaidi ya Tz Kwa kila kitu,kuna vitu tumewaacha mbali sn

Tatizo Lao kuu ni moja tu..Ujuaji mwingi na kujiona na wapo mbele Kwa kila kitu na anapenda mkumfanya mbongo kujihisi ni inferior.mkenya akiwa na mtz atafanya kila namna kuijionyesha kwamba I'm Kenyan lkn kumbe ni kilaza tu,na Kwa sababu wabongo ni wapole,basi vita nyingi wakenya wananyanyua kwapa,wanabeba kombe

Kuwe na mkenya,mtanzania na mganda,wakae pamoja lazima kutakuwa na kutunishiana misuli au bifu Kati ya mtz na mkenya hata kimya kimya bila wengine kunotice,sijui tatzio ni nini huu upinzani

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Points noted but support your claims with evidence...ama unataka world bank wangushe tena list?
 
Back
Top Bottom