Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KDF

14525050_fbqwduwxeaqzjy0_jpeg9fe2c2f9ff93d4d9d68fd36c4776097d.jpeg

14525052_fbrnmeqwyaqzrhs_jpeg949efe0ad53f79c4ce9dc9768fff55e0.jpeg

14524023_fcg9qsvwyaiqc0w_jpeg_jpeg1887b5c2ff6628a49c0fa4e676c104b7.jpeg
 
Bro,me siyo mtu wa majadiliano kwenye hili jukwaa,lkn ngoja nikuambie kitu kuhusu hawa ndugu zetu Kenyans coz nimekaa nao muda mrefu sn

Kenya ni Yule demu anayejisifu ni mkali lkn amepaka make up.Ukiondoa their make up city-Nairobi mengine wanabakiwa kuwa wepesi Kama pamba Kwa Tz

1.Wakenya Wana asilli ya ushamba alafu hawajijui km ni washamba..Rafiki zangu wakenya Wakija bongo ndy wananunua simu nzuri.wao simu zao ni Tecno na infinix, simu ina display km calculator

2.Washamba wa kuvaa,hawajui kuvaa.Washkaji zangu Wanapokaribia kuondoka kwao ndy tunaadamana kufanya shopping ya nguo Kali.mkuu wabongo tunavaa bwana asikuambie mtu.Jamaa yangu mmoja mkenya ananiambia siku akija bongo watoto wake wanafurahia maana Mzee anarudi na nguo Kali,kumbe watoto hawajui mbongo ndy nasimamia show za kumwonyesha sehemu za shopping za familia yake

3.kuna mmoja anaitwa tear gas,huko juu akamwambia mbongo "uchumi wenu wa mama ntilie huwezi compare na Kenya".,Nikacheka Sana niliposikia mama ntilie

Kwa wakenya niliokaa na hapo bongo nilikuwa very comfortable kuwapeleka Kwa mama ntilie kupata chakula kuliko kuingia hotel ya maana..Unajua Kwa nn?

Watanzania si Tu kwamba tuna chakula cha kutosha Bali pia tunajua kupika chakula asee!! Chakula cha mama ntilie bongo ni kitamu mara Mia kuliko chakula cha restaurant ya hadhi hapo Kenya,siwasingizii,km kuna mkenya kawahi Kula chakula cha mama ntilie atakubaliana na Mimi

Bongo ukiwa na buku 3 si Tu umetoboa Kwa mlo wa siku Bali pia Una uhakika wa Kula chakula kizuri Kwa 'mama ntilie'

Wazee wa sukuma wiki na chainizi utadhani hizo mboga walifunga nazo ndoa..wabovu kwenye mapishi

Kwa kifupi ni kwamba,si Tu Kenya ina tatizo la chakula,Bali hata Hilo chakula walicho nacho hawajui kupika!! Mboga yako kuu ni sukuma wiki na chainizi huko kwao
.Wakenya wanakula chakula Kama dawa,chakula kibaya sijui tatizo ni nini

Mara kumi Mombasa unaweza kuenjoy chakula tena nadhani Kwa sababu ni pwani na imekaribiana na Tz (Tanga).. joke

Hapa nazungumzia maisha ya mkenya wa kawaida na mtz wa kawaida kabsa,siyo hawa wa humu wanaojinasibu ni wasomi na Wana maisha laini

On the ground Tz we are far better than wao,wasikuchoshe ubongo..Hauwezi kuwa mshindi wa kila kitu,yes!!..pia Hawawezi wao kuwa Bora zaidi ya Tz Kwa kila kitu,kuna vitu tumewaacha mbali sn

Tatizo Lao kuu ni moja tu..Ujuaji mwingi na kujiona na wapo mbele Kwa kila kitu na anapenda mkumfanya mbongo kujihisi ni inferior.mkenya akiwa na mtz atafanya kila namna kuijionyesha kwamba I'm Kenyan lkn kumbe ni kilaza tu,na Kwa sababu wabongo ni wapole,basi vita nyingi wakenya wananyanyua kwapa,wanabeba kombe

Kuwe na mkenya,mtanzania na mganda,wakae pamoja lazima kutakuwa na kutunishiana misuli au bifu Kati ya mtz na mkenya hata kimya kimya bila wengine kunotice,sijui tatzio ni nini huu upinzani

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

umeongea ukweli mtupu angalieni hii kupata evidence
 
Wakat nmemalza o level bna nikawa natafuta mwalimu wa kunipigisha table teaching, sas kuna kamkenya kakajifanya mwalimu eti kamemaliza form4 hko kwao eti ni sawa na6 ya Tz

Weee Manina nikamtolea ule Mphysical chemistry wa Ngaiza hakusogeza hata page tatu za State of matter

Aliondoka bila kuaga, hela hakutaka na sikumuona tena

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwwnye msosi mzee umegusa mule mule wakenya hawajui kupika aisee alafu chakula bei ghali
 
Wakat nmemalza o level bna nikawa natafuta mwalimu wa kunipigisha table teaching, sas kuna kamkenya kakajifanya mwalimu eti kamemaliza form4 hko kwao eti ni sawa na6 ya Tz

Weee Manina nikamtolea ule Mphysical chemistry wa Ngaiza hakusogeza hata page tatu za State of matter

Aliondoka bila kuaga, hela hakutaka na sikumuona tena

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ukiona mwenye alimaliza form 4 na akabakia hapo huyo ni mwenye alifail KSCE thoroughly. Those who pass proceed to Universities, Collages, Polytechnic or KMTC. So wewe ulikuwa unafundishwa na failure😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom