Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hauna kende ata kidogo.., unajua ukweli ila unataka kujitia hamnazo, mko hovyo ni domo domo tu.., 😂 😂 😂 😂 😂
🤣🤣🤣🤣🤣Maake hapo ncheke kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukweli upi sasa?
 
Duuh kweli we watchman.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeishiwa pumzi au? Usisahau kui save hiyo, alafu wewe ndio ulikuwa unataka battle na mm co?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee mbona mnambwelaa, weka picha au mshaiogopa picha yenyewe, eti mzee wa buti la jeje, kiatu kimevaliwa mpk kimetoka mashavu[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1340197477.jpg
Screenshot_20220419-225931.jpg
 
Kwa hii thread Kuna wenye hawafai kuongelea njaa, watu kama hawa[emoji1787][emoji1787][emoji23]

View attachment 2193871
watu hatuna dhiki ya chakula wala pesa kama wewe,

tumekamilika kila idara,we endelea kujificha na hako kanairobi kako,huna exposer,

upo ligi ndogo bwana mdogo uliyezeeka kimaisha

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
watu hatuna dhiki ya chakula wala pesa kama wewe,

tumekamilika kila idara,we endelea kujificha na hako kanairobi kako,huna exposer,

upo ligi ndogo bwana mdogo uliyezeeka kimaisha

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kakubwa hako usikaone kamenyorodoka hivyo ni maisha magumu tu hayo, kana over 30 now na bado kanasoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
proud of what? unakaa chumba cha kupanga cha landlord Korokocho!
Kama korogocho panakaa hivo basi I'm sorry for you 😂😂😂. Again that's not a residential building but a private hospital.😂
 
Mliandaliwa kaparty na organization [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Yah man c unajua cc ma watchman wenye appearance za kinyamwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wallahi haka ni ka ngedere, oneni kalivyo kembamba alafu kichwa kdg na bado kanamsema mwenzie, haka ukikakuta shambani si utasema ngedere kavamia shamba langu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2193969
Good afternoon watchman 🤣😂😂
 
Yani Mchana wewe ni hawker na ikifika usiku unakuwa watchman?[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Mshkaji miyeyusho sana wewe, maisha magumu mpk nywele zinakimbia, masikio yametoka kama punda, ndevu hazina ushirikiano kabisa, midomo ina rangi ya ajabu kwa life ngumu unayoishi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220420-124516.jpg
 
Mshkaji miyeyusho sana wewe, maisha magumu mpk nywele zinakimbia, masikio yametoka kama punda, ndevu hazina ushirikiano kabisa, midomo ina rangi ya ajabu kwa life ngumu unayoishi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2193985
Basi bhn kwa hapa inatosha nisije kuonekana nakufuru, basi tuendelee na issue zingine Dr Teargas [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mshkaji miyeyusho sana wewe, maisha magumu mpk nywele zinakimbia, masikio yametoka kama punda, ndevu hazina ushirikiano kabisa, midomo ina rangi ya ajabu kwa life ngumu unayoishi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2193985
Hehehe uza njugu pole pole ukingoja usiku ufike uanze Kazi yako pendwa😂😂😂

Screenshot_20220419-221304.jpg


images (72).jpeg


images (73).jpeg
 
Mimi sio watchman Mimi ni Aviation. Ulivyokua na mdomo uwe na kazi nzuri hakuna asingejua.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2193986View attachment 2193988
Asanteni kwa kuniheshimu, cku njema, alafu ujue mm naona kawaida tu ila wakunya wameogopa ghafla [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🤣🤣🤣🤣🤣Maake hapo ncheke kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukweli upi sasa?
Haya umemaliza kucheka uweke random clips za 2021 na 2022 tuone watu wa kawiada walivyo vaa kwa streets?.., kwanza kwa vijana in East Africa hakuna tofauti kamwe., mavazi ni kama jeans, T-shirts, shorts, loafers, etc., but ukiangalia raiya in total, muonekano wa Tz ni wa ki ufukara sana from Dar to mwanza na from Arusha to Mtwara, am watching youtube kadhaa sioni any fashion unajarabu kijigamba nayo hapa, tafuta topic nyingine ya maana mzee 😂 😂 😂 🤣 😂 😂
 
Back
Top Bottom