Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani radio? No wonder your relatives fill Kenyan streets to beg for money [emoji1787][emoji1787][emoji23]


Reasoning ya infinix x657! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo kwa baba wa omba omba east and central Africa.
 
KCB alone can finance Tanzanian budget.😂😂🤣😂
Niliwaambiaga mlete ushahidi wa bank yenu 1 kufinance angalau mradi wenye thamani ya dollars million 50 lakini kimya mpaka leo

Banks zenu hazina tofauti na vikoba huku bongo au saccoss
 
Niliwaambiaga mlete ushahidi wa bank yenu 1 kufinance angalau mradi wenye thamani ya dollars million 50 lakini kimya mpaka leo

Banks zenu hazina tofauti na vikoba huku bongo au saccoss
Kumbe hujui tofauti ya commercial bank na investment bank. Hapo bongo munapata elimu bora kweli?
 
Niliwaambiaga mlete ushahidi wa bank yenu 1 kufinance angalau mradi wenye thamani ya dollars million 50 lakini kimya mpaka leo

Banks zenu hazina tofauti na vikoba huku bongo au saccoss
KCB can finance your full year budget, that's a reality that you can't deny.
 
Kenyan streets are filled with begging Tanzanians from morning to morning the following day.

Wafukuzeni kama ni Watanzania. [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_1214.jpg
 
Nilikuwa napoteza muda wangu kukujibu tu. Sasa wewe umenizidi kwenye mambo ya uchumi na biashara. Pia naona unajua mengi kuhusu Al shabab kunishinda. Mahali mimi na wewe tumefikishana ukizingatia kilichofanyika jumapili iliopita sasa nimeamini kwamba mimi na wewe hatuwezi kuzungumza kiungwana tu. Nadhani tumekoseana heshima sana. Kwa hivyo mimi sitajibu message zako tena. Wewe unajua kila kitu na mimi hakuna ninachojua sasa wacha ibaki hivyo.
Jukwaa hili limejaa watu wanaosuffer from Dunning Kruger effect.
Kwahiyo mtu kukuambia kwamba "he is better informed in specific areas ni kukuvunjia heshima?[emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi lengo la hii forum ni lipi Kama sio kukosoana, kuelimishana na kulumbana?.

Tony 254 you better than this, tunapolumbana na kukosoana, sio lazima mmoja ashinde au ashindwe, malumbano yanaweza kuendelea "endlessly so long as there are new facts to keep discussion going on".pia kumbuka kwamba watu wengi humu wanafuatilia haya mazungumzo ambao wengine wanajua zaidi hiyo mada kuliko Mimi na wewe.

Hii tabia yenu ya kususa mijadala bila kutukwana ni tabia ya watu wasiopenda kukosolewa, kujifunza mambo mapya na wasio na uvumilivu.
 
Wapenda sifa ungesikia ''Kunyans companies dominetingii Tanzania''

View attachment 2187556
Kampuni 600 za Kunyaland zime invest only $1b ss uliza hiyo investment iliyofanywa na kampuni hizo mbili tu za Tz, Oilcom na Lake oil. Wafalme wa umaskini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu wana mioyo sana.

Halafu ili uone yeye mwenyewe hayupo proud na simu yake, tayari amehariri comment yake na kuondoa maneno ya infinix x657. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani uyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tajiri anatumia infinix x657! [emoji23][emoji23][emoji23]

Siku tuweke challenge ya kupost simu humu tuone ''wafalme wa umasikini'' tunao biahana nao humu.
Ni Bwana Mapesa au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo ukaenda kabisa dukani ukawaambia wakupe infinix x657! [emoji23][emoji23][emoji23]

Hao ni wakunya wenzako na ndio maana wapo hapo.
Hao ni watanzania wenye wameona hawana future in Tanzania, they have decided to follow money in Kenya.
 
Kampuni 600 za Kunyaland zime invest only $1b ss uliza hiyo investment iliyofanywa na kampuni hizo mbili tu za Tz, Oilcom na Lake oil. Wafalme wa umaskini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tena hao lake walinunua kampumi ya wakunya na sijaona kelele wala threads humu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na uwache maswali za kipuzi, hii hapa inaenda kwale. Unadhani every posh bus ni ya kuenda Mombasa. Hata hio ENA Coach mpya sio ya Mombasa ni ya sirare.
No photo description available.
May be an image of bus and outdoors
Kwahiyo hii ndiyo posh bus huko kwenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom