Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Jamaa ni fala sana.Hahaha Teargas leo umenyamazisha watu midomo huku. The best 007 huyu jamaa leo ameonyesha picha. Sasa unasemaje?
Jamaa ni fala sana.Hahaha Teargas leo umenyamazisha watu midomo huku. The best 007 huyu jamaa leo ameonyesha picha. Sasa unasemaje?
Wakuu mmeona buti la dokta hilo? Huyu haki ya mama atakuwa intern huyu mm nawaambia, oneni buti [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana Mapesa ona buti hilo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa hajui anything in Science. Kazi yake ni kuuza korosho kama hawker.Teargas kamuulize The best 007 na Geza Ulole kama wanajua Mesophilic bacteria ni nini? Mimi biology niliwachia form four. 😂🤣
Stick to your lane usijitutumue utaendelea kuhaibika humu, ona buti la jeje hilo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]Jamaa ni fala sana.
Naona umekasirika😂😂Bwana Mapesa ona buti hilo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2192766
Siyo mbaya. Sasa bei yake inaendaje kuinunua. Isijekuwa ina bei kubwa kuzidi zinazotoka China na Brazil. Zikiwekwa kwenye soko la East Africa tunaweza kuokoa fedha nyingi sana kuliko kuagiza nje.Proudly assembled in Kenya by Kenyans
View attachment 2192071
View attachment 2192072
View attachment 2192073
View attachment 2192074
View attachment 2192075
View attachment 2192076
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umekasirika[emoji23][emoji23]
Kila siku ukiweka personal life yako humu huwa unachekesha sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa hajui anything in Science. Kazi yake ni kuuza korosho kama hawker.
Tuwekeeni na bei basiEndelea tu kuimba choir yenu pendwa ya "tuta"
View attachment 2191865
View attachment 2191866
View attachment 2191867
Gari ya Masoud Kipanya huku kwetu ameshaweka bei kabisa na Watanzania wamempokea vizuri sana. Ana mpango wa kutoa matoleo mengine 3 ambayo yatakuwa bora zaidi.Endelea tu kuimba choir yenu pendwa ya "tuta"
View attachment 2191865
View attachment 2191866
View attachment 2191867
Kapanick [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa una macho hatari [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wakuu mmeona buti la dokta hilo? Huyu haki ya mama atakuwa intern huyu mm nawaambia, oneni buti [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2192764View attachment 2192765
Jamaa kachoka sana, ndio vijana wengi wa Kenya maisha yao yako hivyo, 99% ya hawa wakora tunao battle nao humu wana maisha ya hovyo sema ss wana midomo kweli kweli.Jamaa una macho hatari [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Student huyo huoni hata alivyo fukara? Asubiri miaka 30 ijayo ndiyo apate internship zen baada ya miaka 5 ya internship huenda akapata ajira, na vile ajira hamna huko Kunyaland mbona kazi anayo. Miaka 35 bado anasoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilijua mkojo wa ng'ombe kumbe automated intergrated car wash with viaduct "the one and only in East and Central Africa"