Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa watu 443 wamekufa huko SA kwa mafuriko ila huwasikii Wajinga wa Kusini wakiita SA "failed state"
Lakini ngoja mafuriko yafanyike Kenya uone jinsi Mashoga watakavyoturushia cheche za matusi na dharau.
 
hawa watu huwa mafala sana.. hivi they cannot even differentiate btw havoc thts manmade, vs one thts caused by 'act of god'

...a ripple effects of being illitrate and hence failing to think critical and logicaly...
 
hawa watu huwa mafala sana.. hivi they cannot even differentiate btw havoc thts manmade, vs one thts caused by 'act of god'

...a repercussion of being illitrate and hence failing to think critical and logical...
Wajinga sana hawa jamaa. Wanafikiri kila kitu ni man made. Kuna wakati walitandikwa na earth quake ile proper huko Northern Tanzania. Nakumbuka Kenya ndio ilikuwa nchi ya kwanza kuwapelekea misaada ya chakula, blanketi, na kadhalika. Saa hii wamesahau.
 
Hawana engineers wa kuunda magari
Wanaona mchora katuni tu kutengeneza gari ya umeme , ndio maana wanakuja kwenu mlitengeneza gari sijui la mabox lile . The future bis bright kwenye hiyo industry kuunda magari . Soon mtaanza endesha gari za brand ya Tanzania sio Wajapan tena
 
Endelea tu kuimba choir yenu pendwa ya "tuta"

images (69).jpeg

images (70).jpeg

images (71).jpeg
 
Nimependa hii sana. Uhuru killed two birds with one stone. The deal will ensure low cost of gas and Jambojet will conquer Tanzanian airspace.
Uko excited na vitu vidogo vidogo sana!Jambojet ana wakati mgumu sana wa ku-penetrate kwenye soko la Tanzania/Kenya Precision Air peke yake anatosha kumtoa jasho route ya DAR-NBO-DAR,Hizi airlines zina wateja wao tunaweza sema wakudumu frequently fliers,achana na mteja kama wewe ukiruka leo inaweza kupita hata miaka 5 hujaskia sauti ya wale ma cabin crew! Tena inawezekana hata hiyo ndege yenyewe hujawahi panda. Pole.
 
Jambojet will doing Dar-Mwanza, Dar-Zanzibar, Dar-Kilimanjaro. Route ya Dar-Nairobi ni ya KQ the big bird😂🤣
 
Northern witches wakichochea moto

Yaani watu walikua confirmed walizama na ferry ila wanatake advantage ya hii situation ili tu Tanzania ionekane mbaya

Jambojet will doing Dar-Mwanza, Dar-Zanzibar, Dar-Kilimanjaro. Route ya Dar-Nairobi ni ya KQ the big bird😂🤣
Hujui hata sheria na kanuni za international airlines,huna ruhusa ya kuchukua domestic pax kwenye nchi husika unachofanya weh ni kudrop mpk destination yako ya mwisho!Labda mje kuweka base hapa kwa maana ya kufungua kampuni kama fastjet na ukifungua kampuni Tanzania ni lazima uambatane na mwenyeji/wenyeji kama partners/shareholders,bado hujakutana na sheria na kanuni za uajiri/kazi na kodi. Jambojet saizi yake ni Precision Air.
 
Ninavyoona.. aliziandaa hizo scripts hata kbla ya kuja zanzbar.. kaja zanzibar kupata evidence tu ila script nzima alishaiandas
Yah Kuna uwezekano ila swala ni jinsi serikali Ilivyo lishughulikia hilo swala yani kizembe zembe hasa polisi ndio kinampa pointi
 
Hatuchomoki vp suala lake linaratibiwa na mahakama ambayo alikataa kuitumia usiendekeze blackmailing with a motive to do extortion!
Hamna mtu anaendekeza blackmailing na mpaka jana mm nilikua upande wa iyo hoteli ila baada ya huyu mdada kuleta vithibitisho zaidi nipo neatral na kingine jinsi serikali Ilivyo muhandle inatia mashaka
 
Back
Top Bottom