Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Picha haina evidence, aweke maelezo tujue uhalali wa picha, hii comment yako tu inaonesha huiamini hyo picha. Mtu yuko JF 24/7 anatoa huduma saa ngp, bora angekuwa ofisini mfano muhasibu tungempa excuse co hospital. Nurse anapata wapi muda wa kuwa mtandaoni masaa 24
Huyo ni mtu wa lab. Sio nesi. Yeye anadeal na bacteria na virus. Huoni incubation machines pale? Anaweza kukutumia kifurushi cha kirusi cha ebola ukaanza kutokwa na damu sehemu nyeti. Usimchokoze wewe.
 
Kwanza neno Uhuru alikua halijui kabla ya kuja Tanzania kuhudhurui sherehe ya uhuru wa Tanganyika 1961. Alipokuja Tanzania ndio alisikia hizo kauli za Uhuru na kazi wakati Nyerere akiwahutubia watanzania kwamba, kupata uhuru haina maana kwamba hatutofanya kazi tena, kumbuka wakati wa ukoloni wananchi walikua wakifanyishwa kazi kwa nguvu, kwahiyo wananchi walianza kuhisi kwamba baada ya kupata uhuru hakuna tena kufanya kazi.



Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
sasa nchi ilikuwa na rais Kunyatta snr hajui kusoma na kuandika, unategemea awe na upeo wa kuja na slogan zake?
 
View attachment 2192666View attachment 2192667View attachment 2192668
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
 
Superpower while you die of hunger, are you not stupid enough?. Ethiopia wamejenga bwawa kubwa la umeme lenye kuzalisha umeme mara tatu ya mahitaji ya umeme wanaohitaji, umeme wa ziada watauzia nchi za jirani ikiwemo Kenya, Sasa hiyo Geotherm ni kwajili gani?.Tatizo hamna akili ya kufikiria kwa undani, ukiona kitu kimeandikwa kwenye gazeti hamuwezi kufanya "Critical thinking", hovyo Sana ninyi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Your ignorance is appalling.. do you really think a developing African country is energy sufficient?
And if so, why spend billions trying to acquire that which you have in surplus..

Screenshot_20220419-110931.png
Screenshot_20220419-110946.png
Screenshot_20220419-111011.png
Screenshot_20220419-111024.png
 
sasa nchi ilikuwa na rais Kunyatta snr hajui kusoma na kuandika, unategemea awe na upeo wa kuja na slogan zake?
Hajui kuandika na kusoma ilhali aliishi ulaya kwa miaka karibu kumi? Bangi hizi huwa mnatoa wapi?
 
Huyo ni mtu wa lab. Sio nesi. Yeye anadeal na bacteria na virus. Huoni incubation machines pale? Anaweza kukutumia kifurushi cha kirusi cha ebola ukaanza kutokwa na damu sehemu nyeti. Usimchokoze wewe.
Hahahahaha, baada ya kumpa makavu now amejifanya kutulia ili aonekane yuko busy but anachungulia sahizi hana kazi yoyote fukara huyo
 
Back
Top Bottom