Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good, atleast you are dealing with swabs and culture [emoji3] .. Something to keep you busy. Safi.
Awe busy wapi mkuu, picha za mwaka jana hzo kipindi yupo field now yupo yupo sn kitaa na anachungulia hapo alipo ila tangu umchane kuwa hapumziki basi ndio anajifanya yupo busy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Good, atleast you are dealing with swabs and culture [emoji3] .. Something to keep you busy. Safi.
At least wewe unajua what it entails, sio kama wajinga wengine huku just talk for the sake of talking.
 
Kwani miradi za Magufuli nani atazimaliza kama sio mama? JNHPP na SGR nani atazimaliza kama sio mama? Aliyeanzisha na atakayemaliza wote wanastahili kupewa sifa. Sio aliyeanzisha pekee. Pia hamna pesa ya kutosha ya kuanzisha miradi mikubwa mingine. JNHPP na SGR phase 1 mpaka 5 zitanyonya pesa kama wazimu. Hamna hiyo pesa ya kuanzisha miradi mipya.
Rais hata angekuwa ni nguruwe ni ilikuwa lazima aimalize hio miradi..hela nyingi tayar imewekezwa humo.. na hio miradi uliyotaja ni muhimu kwa uchumi wa nchi
 
Awe busy wapi mkuu, picha za mwaka jana hzo kipindi yupo field now yupo yupo sn kitaa na anachungulia hapo alipo ila tangu umchane kuwa hapumziki basi ndio anajifanya yupo busy [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Picha ni za December. Na ni zangu, so shida iko wapi hata kama ni za 1975?
 
Pole Kwa Maumivu.
Naona maumivu haya hapa na buti la jeje dokta[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220419-123434.jpg
 
Student huyo huoni hata alivyo fukara? Asubiri miaka 30 ijayo ndiyo apate internship zen baada ya miaka 5 ya internship huenda akapata ajira, na vile ajira hamna huko Kunyaland mbona kazi anayo. Miaka 35 bado anasoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Do I look like a 35yr old to you?😂😂

IMG_20220404_130738_381.jpg
 
Back
Top Bottom