nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
wakunya ni maidiots, Tanzanians tupo hapa tukijisifia na miradi yetu wenyewe kwa manufaa yetu tuliojiamulia. wakunya wako hapa kusifu uwekezaji wa wageni au wakunya waliowachache kwa manufaa ya wachache. TANZANIA BADO TUTAKUWA JUU SANA. kENYA WANAYO NJIA NDEFU SANA KUYAFIKIA MAENDELEO YA UKWELI.Duh Yaani hata inasikitisha kiukweli, nashangaa hawa wapumbavu huwa wanajitapa nini sasa, em angalia nyumba zao
Kama unatoka kwenye nchi ya aina hii kwanini unadharau? Sio umaskini tu wa makazi na hali lakini umaskini wa chakula ni mbaya Sana na unadhalilisha
Ngoja waje kusifia Expressway ya millions of loans huku chakula hawana



