chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,123
Nyerere amcopy Kenyatta haswa? 🙄
Nyerere amcopy Kenyatta haswa? 🙄
wakuu inatosha,hapa mnadiscuss mambo na poor kenyan wanastress zao kibao mtasababisha wafanye ukora huko kwaoHuyu ni Bwana Mapesa? Koti limefubaaa atakua anauza sample kisiri siri nini na mahela yote yale.
View attachment 2192669
View attachment 2192670
Tanzania sisi wasafi mno kwa AfricaUnedited, just Authentic mwendokasi station at Ubungo brt station
14 Kms from CBD,
I can imagine the situation 14 kms from cbd for some towns like Nairobi in that banana republiqueView attachment 2192391
View attachment 2192392
View attachment 2192393
View attachment 2192394
View attachment 2192395
View attachment 2192396
Kwani miradi za Magufuli nani atazimaliza kama sio mama? JNHPP na SGR nani atazimaliza kama sio mama? Aliyeanzisha na atakayemaliza wote wanastahili kupewa sifa. Sio aliyeanzisha pekee. Pia hamna pesa ya kutosha ya kuanzisha miradi mikubwa mingine. JNHPP na SGR phase 1 mpaka 5 zitanyonya pesa kama wazimu. Hamna hiyo pesa ya kuanzisha miradi mipya.watanzania kitu gan tuko proud nacho dhidi ya wakenya ambacho kimefanywa au kimeanzishwa na serikali ya sasa? aise we really need leaders with great vision!
also tbh, we’re really now living in a hopeless country![]()
Huu mwaka kunyata hata harakati za kuanza kuiba mashamba alikua bado sana
Kwanini hutaki kuzungumzia na hasara za "remittances" pia badala yake unataka kuzungumzia faida pekee?, article niliyokuwekea inazungumzia "both, pros and cons" za remittances. Jambo Moja ambalo tumekubaliana ni kwamba "remittances" haziwi regarded as "capital inflow" by central banksWajinga wanaopenda kuargue lakini ukiwapa vitu wasome hawataki.
Remittances inflow and private investment: a case study of South Asian economies via panel data analysis
Zeeshan Khan
,
Fazli Rabbi
,
Manzoor Ahmad
&
Yang Siqun
![]()
Pages 2723-2742 | Received 09 Jul 2018, Accepted 15 Jan 2019, Published online: 26 Aug 2019
In this article
- Abstract
- 1. Introduction
- 2. Previous empirical findings
- 3. Methods and techniques for analysis
- 4. Interpretations and discussion
- 5. Conclusion
- Disclosure statement
- References
Abstract
This study examines the association between remittances inflow and investment. The data of five major South Asian countries that receive a significant portion of remittances including India, Sri Lanka, Pakistan, Nepal, and Bangladesh are considered from 1990 to 2016. Pooled ordinary least square (OLS), the fixed effect within group estimator (FEWGE), fixed effect (FE) and random effect (RE) are used for the analysis of the data. Unit root tests were employed and then followed by a pooled mean group (PMG) analysis to analyse the long-run relationship between private investment and remittances while controlling for several other variables, such as real-interest rate, economic growth, and the interaction between remittances inflow and business freedom. We use the error correction mechanism (ECM) to find the short-run relationship among variables. Our findings reveal that private investment is positively affected by remittances inflow. Moreover, remittances flow with low business freedom opposes the positive association in the case of these sampled countries. We recommend channelising remittances and lower barriers to business freedom, which may pave the way for a conducive investment-friendly environment.
Formulae display:?![]()
Nani anabeza umuhimu wa "remittances?", hiyo ni pesa halali lazima ni muhimu, ninachopinga ni kwamba hiyo sio "Capital inflow", pia remmitances zikiwa nyingi huwa zinavuruga uchumi wa nchi, kwasababu hakuna uwiano wa kiwango cha pesa kinachozunguka ndani ya nchi vs uzalishaji wa bidhaa na huduma, matokeo yake ni "inflation rate" kuongezeka, kuzaa jamii tegemezi na uchumi wa nchi kutokua kwa kasiWapi nimesema dollars zinaletwa kupitia remittance pekee? Mimi ninachosisitiza ni kwamba remittance ni muhimu kwa nchi nyingi kwa sababu inaleta foreign currency wakati genius wa hili jukwaa joto la jiwe anabeza na kukejeli umuhimu wa remittance katika uchumi wa Kenya.
Hii hapa jana serikali ya Sri Lanka inaambia raia wake wanaoishi ulaya watume dollars nyumbani kwa haraka kwa maana serikali inaanguka na hawana dollars ya kulipa madeni, kununua madawa na mafuta ya diesel na petrol.
Wakiona hivi wanazidi kupata trauma 😔wakuu inatosha,hapa mnadiscuss mambo na poor kenyan wanastress zao kibao mtasababisha wafanye ukora huko kwao
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Weka post niliyosema "remittances" haina umuhimu kwa uchumi wa Kenya, kawaida mkizidiwa huwa mnajaribu kupitisha ili kushinda mjadala, weka hiyo post ili watu waone.Wewe ndio ulianza kwa kusema kwamba remittance haina manufaa yoyote kwa Uchumi wa Kenya. Mtu mjinga kabisa ambaye hajui manufaa ya remittance ndiye anayeweza kuongea hivyo. Nenda kawaulize watu wa Sri Lanka ambao wamekosa madawa hospitalini umuhimu wa dollars katika uchumi wao. Eti unakejeli Wakenya wanaofanya kazi Dubai?



Wrong is wrong, stop diluting it based on other forms,carry your own cross. And it's always a non issue until it happens to a close person like your wife,sister or daughter but it doesn't have to get there for you to realize! Shun wrong doing..This is very minor issue, if tourists are kidnaped, robbed and killed in Kenya and Nigeria, still nothing happens.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ni sawa remittance ina negative effects kama jambo lolote lile. Lakini kwa jumla kwa nchi masikini kwanza ambayo haizalishi dhahabu ya $3 billion kila mwaka kama nyinyi huwezi kupinga kwamba dollars tunazopata kupitia remittance ni muhimu sana kwa uchumi wa Kenya. Majani chai inaleta $1 billion kila mwaka japo hilo pia unapinga. Tourism inaleta $1 billion kila mwaka. Uuzaji wa maua na mboga pia inaingiza $1 billion kila mwaka katika uchumi wa Kenya, na hili pia najua utapinga.Nani anabeza umuhimu wa "remittances?", hiyo ni pesa halali lazima ni muhimu, ninachopinga ni kwamba hiyo sio "Capital inflow", pia remmitances zikiwa nyingi huwa zinavuruga uchumi wa nchi, kwasababu hakuna uwiano wa kiwango cha pesa kinachozunguka ndani ya nchi vs uzalishaji wa bidhaa na huduma, matokeo yake ni "inflation rate" kuongezeka, kuzaa jamii tegemezi na uchumi wa nchi kutokua kwa kasi
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwanza neno Uhuru alikua halijui kabla ya kuja Tanzania kuhudhurui sherehe ya uhuru wa Tanganyika 1961. Alipokuja Tanzania ndio alisikia hizo kauli za Uhuru na kazi wakati Nyerere akiwahutubia watanzania kwamba, kupata uhuru haina maana kwamba hatutofanya kazi tena, kumbuka wakati wa ukoloni wananchi walikua wakifanyishwa kazi kwa nguvu, kwahiyo wananchi walianza kuhisi kwamba baada ya kupata uhuru hakuna tena kufanya kazi.
Do your research, Kenya produces geothermal energy more than any county in Africa.Geotherm?, Unaota wewe, hivi unajua gharama ya "unit" Moja ya Geotherm ukilinganisha na hydroelectricity?, nani anataka umeme wa Geotherm?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Picha haina evidence, aweke maelezo tujue uhalali wa picha, hii comment yako tu inaonesha huiamini hyo picha. Mtu yuko JF 24/7 anatoa huduma saa ngp, bora angekuwa ofisini mfano muhasibu tungempa excuse co hospital. Nurse anapata wapi muda wa kuwa mtandaoni masaa 24Hahaha Teargas leo umenyamazisha watu midomo huku. The best 007 huyu jamaa leo ameonyesha picha. Sasa unasemaje?










Tony huoni hata design ya kikunya hyo?Wapi evidence kwamba huku ni Kenya?






Afanye kama hivi, aweke picha pembeni captionHuyu ni Bwana Mapesa? Koti limefubaaa atakua anauza sample kisiri siri nini na mahela yote yale.
View attachment 2192669
View attachment 2192670











Kudadadeki, Teargas mzee wa makoti ngp hizo?Huyu ni Bwana Mapesa? Koti limefubaaa atakua anauza sample kisiri siri nini na mahela yote yale.
View attachment 2192669
View attachment 2192670







