Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Yaani alitakiwa kukamatwa na kutiwa ndani,walionufaika na upigaji wametunga wimbo wa eti anachafuliwa..

Hii ni ripoti ya 2 mfululizo ya ukaguzi inaonyesha madudu na tunayajua kwa sababu kuna freedom of expression..👇

Screenshot_20220416-155519.png


Screenshot_20220416-155333.png


Screenshot_20220416-101719.png


Screenshot_20220416-101843.png


Screenshot_20220415-222639.png
 
Muwachane na magari za over 20 years. Take notes.

😂😂😂 Naona unabadili mada angani, unakula pini mpaka Unatafuta pakukumbilia 😂😂.. anyway kuna mkenya yeyote mwenye anamiliki Rolls-Royce calinan.. kama hii ya mtoto wa kimaskini tu.? 👇
diamondplatnumz_165011174026957.jpg
kwenye barabara za Kenya nzima kuna Rolls-Royce calinan 2021.?
 
Huyu mama anatuabisha sana aisee. Nlidhani alijifunza kwenye ile trip ya kwanza! Si angempa hiyo kazi balozi wa TZ aliepo US au waziri wa utalii?
Hicho kichwa chako kimeanza kuoza ,yumkini unashindia viporo..

Kwa hiyo Balozi au Waziri Wana uzito sawa?

Nimewahi ku attach photos humu za Museven akitangaza utalii wa Nchi yake na kashiriki,hakukuwa na Balozi au Waziri? Acha utoto
 
Sio mzalendo ila kazi inaonekana kwa macho, hao ambao walikuwa wazalendo walituletea neti na madeni kama awamu ya sasa hakuna inachofanya zaidi ya kutembelea nyota ya fisadi Magufuli.
Kazi ikionekana ndio inahalalisha wizi? Nani ambae Kazi haionekani? Umejaa usaha kichwani fala wewe..
 
😂😂 Why ar you so bitter.? Meli ndio Ina urefu wa 189 meters, Imeshusha gari 4k+ while mombasa port haijawahi shisha hata 1k cars papo hapo, uko hapa kulalamikia urefu wa meli 😂😂😂😂😂😂, badala ya kutazama ukubwa wa mzigo, kwasababu mwisho we no record urefu wa meli, tutarecord tones
Mombasa inasusha 10,000 TEUS at a go. Only Durban can achieve that feet in SSA.
 
😂😂😂 Naona unabadili mada angani, unakula pini mpaka Unatafuta pakukumbilia 😂😂.. anyway kuna mkenya yeyote mwenye anamiliki Rolls-Royce calinan.. kama hii ya mtoto wa kimaskini tu.? 👇View attachment 2189802kwenye barabara za Kenya nzima kuna Rolls-Royce calinan 2021.?
Nani bongo akona Lamborghini Urus?
Peter Koimaâ„¢ on Twitter: My Eldoret people like everything ultra FAST!  Meet the newest baby in town, 2020 Lamborghini Urus alias NDOVU 8.  https://t.co/FUAamMg8bz / Twitter
 
ila mwaka huu tutaona mengi sana

Ulivyo fala unashindwa kujua kwamba CAG anaripoti hayo yalitendeka Chini ya Mwendazake 😀😀😀😀..

Wazalendo wa Chato mrudishe hizo pesa.Ukaguzi ni WA 2020/21,Samia ndio alikuwa Rais?

Sukuma gang jiandaeni kwenda jela,Samia ataleta Katiba kujikosha kutawaisha.

Screenshot_20220416-182331.png


Screenshot_20220416-182433.png
 
Back
Top Bottom