Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Equity Company as whole you mean ?...

Point yangu ya kwanza umeielewa lakini..equity might be leading in KE UG huko but in Tanzania ..Tanzania Banks control most 99% of money
I'm talking about equity bank which make a profit bigger than what Tanzanian top banks make when placed together. Again Tanzanian banks doesn't control 99% of the Tanzanian market. Remember of the top ten banks in Tanzania, seven of them are from outside Tanzania 😂😂
 
You can't take me to task to explain why a certain company is making loses in Kenya. While Shoprite is making losses, why are other supermarket chains making profits and taking over spaces that the likes of Shoprite is leaving behind
These supermarkets thing in Kenya is a scam at the highest level just like ponzi schemes when they collapse suppliers loose their money, shareholders loose their money only the top management and owners know what is going on and have already served their shares of spoils.
 
munaeza kujionea gari za 1990🤣🤣🤣
UWIVU😝
Image
 
nilikua nataka kumpa taarifa Teargas
hii ni roro area ndani ya bandari ya dar

angali urefu wa hio roro kuna meli mbili kubwa za magari zimeshuhsa kwa wakat mmoja na hzo meli zote mbili zina urefu wa takriaban 200m na juu hapo angalia nafasi kubwa iliobaki sasa ndio utajua roro bearth alone inaeza kua na urefu wa 450m 🤣👇👇
View attachment 2189097View attachment 2189098




na juu ya hapo nikwambia tu kua kutoka tarehe 5 mpaka tarehe 8 tanzania imepokea meli tatu za magari zilishusha jumla ya magari 8,488 in just 3 to 4 days siku mukivunja hii record let me know plz 😂😂😂😂Tony254

Since when did a ship of 180m change to 200m? No berth in Dar is more than 200m🤣😂😂😂.

1649431066385.jpg
 
Since when did a ship of 180m change to 200m? No berth in Dar is more than 200m🤣😂😂😂.

View attachment 2189604
kubaki tanzania hio sio hoja kwan unajua magari 1000+ kubaki tanzani ni safi kabisa kuna magari yanakwenda mpaka south sudan, mozambique na zimbabwe 👇👇🤣


180m time two na nafasi kubwa imebaki maana yake ina 450m hio roro ndio maana imekua ni mwiba mkubwa sana 🤣🤣🤣👇👇👇
506EEDDD-F3C3-4CA5-99E0-4545CD274AFC.jpeg
09C1DCF5-8C77-49B9-8243-3C69501FDD75.jpeg
 
Mkuu ni kipengele gani cha Katiba ya Sasa ambacho unadhani ni kibovu?. Je kikibadilishwa unadhani ni Mambo gani yatabadilika nchini?.

Tujifinze kutoka kwa majirani zetu ambao walibadili Katiba kwa shangwe na vigelegeke, Je wamefaidika nini?, Mbona matatizo na hali zao za kiuchumi, kisiasa na kijamii ndio zinazidi kuwa mbaya zaidi?
Me ninadhani tatizo siyo katiba. Viongozi wetu ndio wana mawazo mgando hawana spirit ya maendeleo, viwango vya utendaji ni hafifu sana, hata wale wanaonekana kufanya vizuri wanapigwa vita sana na majungu.

Kujenga masoko mapya nayo inahitaji katiba mpya? Dawa na vifaa tiba hospitalini napo kunahitajika katiba mpya kweli? Issue ya MSD ni aibu kwa taifa.

Tunahitaji visionary leaders na siyo hawa wachumia tumbo. Katiba mpya hata iwe nzuri kiasi gani kama viongozi hawana maono ni taifa mfu.

Nakuunga mkono mkuu katiba mpya haiwezi kufanya kazi kwa ufanisi yenyewe pasipo viongozi kubadilika na kuwa na maono. Watu ni wezi sana.

Yaani mtu hana mshipa wa aibu anaweza kuiba fedha zote za bajeti ya barabara km kadhaa na wananchi wakaendelea kuteseka asione shida as long as watoto wake wanaishi vizuri.

Viongozi wa Afrika hawana uchungu na wananchi wa chini wanajiangalia wao tu, katiba zetu zinaweza kufanya kazi vizuri sana kama ikitokea tukatawaliwa mara ya pili kwa mfumo ule ule wa miaka ya ukoloni na siyo huu wa mamboleo.

Mfano wazungu wawacharaze viboko hadharani wabunge wasionekana jimboni, wakuu wa mikoa na wilaya, wakurugenzi, mawaziri na makatibu wakuu, halafu uovu wao utangazwe hadharani, hapo watabadilika na kufanya kazi sawa sawa.

Afrika ina intelligent people lakini mifumo ya uongozi haiwapi nafasi kufanya vizuri ndio maana huko nje huwa wanafanya vizuri sana kwa vile wanapewa nafasi kuonyesha kile walichonacho.

Huku kwetu ukiwa na influence kidogo tu na watu aliyeko juu anahisi unataka kupindua meza, utatengezewa zengwe mpaka ukimbie mwenyewe.

Afrika wivu, uchoyo, ubinafsi, uchawi na ushirikina, wizi,ufisadi, uvivu,ukwepaji kodi,roho, mbaya n.k ndio kikwazo cha maendeleo. Katiba Mpya tunaisingizia tu.
 
I'm talking about equity bank which make a profit bigger than what Tanzanian top banks make when placed together. Again Tanzanian banks doesn't control 99% of the Tanzanian market. Remember of the top ten banks in Tanzania, seven of them are from outside Tanzania 😂😂
Top ten tz banks, benki saba sio za Tz.? 😂😂 Unaongea au unajamba.?
 
Tony hujiulizi kwanini nakumat na uchumi walifeli bongo? Kwa sabau kwenye local markets na supermarkents zetu tunapata kwa bei ndogo kuliko kwao, kingine supermarkets zetu zinajiposition kwenye filling stations nani ana muda wa kwenda kupoteza kwa nakumat? Pia bei ya apple au prestige kwa supermarkets ni ileile unayoikuta kwa mangi, hivi Tony unatujua kina MANGI wewe?. So, unahitaji strategy ya maana sana kuwashinda waTZ na tena ni just about time nao wakuzidi, kinachofuata ni kufunga biashara na kurudi kwenu.

Jumia nae tulikua tunamtumia kucheki bei, ukikuta jumia kamention TZS 250, 000/= unakadiria kwa locally ntapata kwa around TZS 220,000/= unadhaani angesurvive vipi. Tulijiita WABONGO for a reason
Ndio maana biashara za kimataifa zinafeli zote huko bongo kwa sababu ya akili mgando wa aina hii. Ndio maana Uber na Standard Chartered zimeondoka lazyland wiki hii.
 
I'm talking about equity bank which make a profit bigger than what Tanzanian top banks make when placed together. Again Tanzanian banks doesn't control 99% of the Tanzanian market. Remember of the top ten banks in Tanzania, seven of them are from outside Tanzania 😂😂
Zitaje hizo 7 za nje
 
Ndio maana biashara za kimataifa zinafeli zote huko bongo kwa sababu ya akili mgando wa aina hii. Ndio maana Uber na Standard Chartered zimeondoka lazyland wiki hii.
Sikia mzee tonny, Bongo (Dar es Salaam) kuna retail stores kubwa kubwa na ndogo ndogo nyingi mno na bei zake ni affordable, hakuna mtu wa kupoteza time kwenda Nakumat sijui na upuuzi gani huo ambao bei zao sio rafiki, sisemi kwamba hatuziihitaji lahasha ila ziwe affordable.. zipo local brands nyingi huku zinazokua kila kukicha na kila leo zinakuja mpya,.. anyway, kuhusu mambo za mabenki sio taaluma yangu sina comment
 
Back
Top Bottom