Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo nayo itabadili ukweli kwamba dar Port Ina handle 4k+ papohapo.? 😂😂 Acha kuwa chizi wewe
Mombasa port inahandle 10,000 containers from a single ship. Nyinyi 4k ndio inawashtua🤣🤣😂🤣
 
Wow, hii umetoa wapi broh. I have to save this.
Nitakuwa naipost mara kwa mara usijali
Screenshot_20220416-183430.jpg
 
Hayo madeni yaliletwa na nini while you've confirmed to us that ATCL was not in service unlike KQ? How can you accrue debts if you are not in operation? Unatuona sisi wajinga sana?
Huo ndio ukweli kwamba ninyi ni wajinga Sana, tena ninyi ni zaidi ya wajinga.

Hivi hukumbuki kwamba ATCL iliungana na South Africa Airways lakini baadae huo muungano ulikufa?, ATCL kumbuka bado ilikua ikilipa mishahara ya wafanyakazi kila mwezi, kulipa bills za umeme, maji, Rents na Kodi mbalimbali.

Walikua na ndege Moja chakavu muda mwingi ilikua haifanyi kazi. Japo hawakua na ndege lakini shughuli zingine bado zilikua zinaendelea.
 
Bongo mzima hakuna mtu akona brand new Mercedes GLS 63 AMG na vile munapiga kelele hapa eti you have rich people.



Hii ni gari huwezi pata kwa any showroom in the whole of Tanzania, na vile wanabweka hapa wana matajiri, kumbe pia hao wanabuy hizo magari za over 20 years. 🤣 🤣 🤣


😂😂😂 Mtaalamu wa hizi kazi njoo ichoboy01 dili na hii kichaa
 
Uchumi and Nakumatt died because of mismanagement. Former Uchumi CEO Jonathan Ciano was even taken to court for corruption, abuse of office and mismanaging the company.

As for Nakumatt, they simply chewed more than they could swallow. They went on an expansion spree and this affected their books big time. There were also stories of it being a victim of fraud that ran into hundreds of millions of shillings though these are unsubstantiated claims. Their downfall had nothing to do with our market size because as they were closing branches, other companies like Naivas and Careffour were taking up those spaces. There's no single store that Uchumi or Nakumatt exited that hasn't been taken over by a different supermarket chain.
Hahahaha, very good for excuses but very poor in production of food and job creation for your people, as the result you depend on Tanzania for food and remittances
 
Huyo jamaa siku hizi reasoning yake iko chini mno mpaka namshangaa. Hata hakuwa hivyo. Sasa supermarket ikiwa private yeye anafikiri kwamba haiwafaidi Wakenya wa kawaida. Kwa hivyo hao Wakenya walioajiriwa na hizo supermarkets hawafaidiki kwa kupata mishahara? Hao suppliers wanaosupply mikate, mboga, na kadhalika na kulipwa hawafaidiki? Kodi ambayo hizi supermarkets zinalipa kwa serikali ya Kenya, kodi hii haiwafaidi Wakenya? Rent ambazo supermarket hizi zinalipa, rent hizi haziwafaidi Wakenya? Huyo jamaa reasoning capacity yake iko chini sana halafu malazy wenzake akina The best 007 wanamsifu kwamba yeye ni genius.
Wewe wacha kupiga kelele, tunataka kuona vitu "on the ground" wacha kuzungumzia Mambo kinadharia. Hii ndio sababu kila kitu mnakimbilia GDP ambayo haisaidii wananchi zaidi ya kujisifia kwenye makaratasi, Sasa mbona hali ya wananchi wa Kenya inazidi kuwa mbaya kila kukicha, " what is the impact of your supermarkets to normal Kenyans, mbona hatuoni zaidi ya ninyi kuzungumzia Mambo mliyofundishwa darasani?
 
Wewe wacha kupiga kelele, tunataka kuona vitu "on the ground" wacha kuzunfumzia Mambo kinadharia. Hii ndio sababu kila kitu mnakimbilia GDP ambayo haisaidii wananchi zaidi ya kujisifia kwenye makarati, Sasa mbona hali ya wananchi wa Kenya inazidi kuwa mbaya kila kukicha, " what is the impact of your supermarkets to normal Kenyans, mbona hatuoni zaidi ya ninyi kuzunfumzia Mambo mliyofundishwa darasani?
Jamaa wao kazi yao ni kuongelea mambo waliofundishwa darasani 😂😂 badala ya kuzungumzia kinachoonekana, ni vilaza sana hawa
 
Kuna mtanzania gani hua anajua teuzi.Memo zipo tu mkuu kila mahali duniani.Muhimu ni kuteua mtu mwenye uwezo after all Rais sio kama ndio huteua kila mahali ziko nafasi yeye hupitisha kwa kua katiba inasema Rais atateua.Mfano kwenye position za kisector waziri husika ndio hupeleka majina kwa Rais ili Rais amteue mtu.Muhimu ni kuteua mtu mwenye uwezo na weledi
Ni kweli.Lakini kuna nyingine inabidi ajiridhishe hata kama analetewa mezani.
Mzee Makamba aliwahi kusema hivi alimtumia memo Magufuli akiomba mtoto wa dada yake ateuliwe ukuu wa Wilaya lakini Magufuli alikataa kufanya hivyo.

Hii ni kauli ya mzee Makamba mwenyewe, unapata picha ninachokiongelea hapa?

Hivi hujiulizi kwanini baadhi ya teuzi wananchi wa kawaida tunahoji uwezo wa mteuliwa? Tunaangalia historia ya utendaji huko nyuma inaonyesh hana uwezo, historia ya wizi na ufisadi.

Rejea mkurugenzi wa bandari aliyeteuliwa na kutenguliwa within 24hrs. Siongei kiupondaji au kwa chuki ninapenda watu wenye uwezo nao wateuliwe ili utendaji wenye ufanisi uzidi kuonekana.

Sijui umenielewa mkuu?Lakini kama una kitu cha kuongzea ruksa mzee nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kueleweshwa baadhi ya vitu. Mawazo yangu siyo sheria kuna baadhi ya vitu sivijui, humu ndani kuna wajuvi wa mambo watanielewesha ukiwemo na wewe. Ahsante.
 
Shida yako unataka kulazimisha namna mnavyofanya biashara kenya na sisi tufanye the same swala ambalo haliwezekani, hili swala lilitokea hata kwenye swala la Safaricom na Vodacom ambapo sisi competition ni kubwa kati ya vodacom, airtel, tigo na halotell.
Vilevile kwenye financial sector kuna banks ndogondogo na microfinance nyingi sana, kuna hadi banks za mashirika mbalimbali mfano Mkombozi Bank for Roman Catholic, Maendeleo for Lutheran, n.k. amabapo haya mashirika yana institutions nyingi sana health, academic, n.k. Mwaka 2022 TZ ina 62 banks ilhali Kenya zipo 42.
Sehemu tuliyofeli na hii ndio sababu hata inaonekana GDP yetu kuwa ndogo ni BOT kuzembea kuwamanage. Na hili swala Magu alilipangia mkakati 2019 likaanza vizuri sema awamu hii ndio imeweka pembeni hilo swala
Umeandika insha refu sana that you could have summarized in these simple words: There's no Tanzanian bank with a customer base the size of equity or any of our leading banks.

Microfinance zipo hata Kenya dungu. Equity itself started out as a microfinance institution before becoming a fully fledged bank. Family bank was just a building society before becoming a bank. There are hundreds of microfinance institutions in Kenya so don't think you are telling me something that's new to my ears. Here is a list of some of the leading microfinance institutions in Kenya

 
Kirubi hakuwahi fikisha hata $300.001 million dollars kwenye maisha yake uache uongo 😂😂😂 Forbes report says 2011 Kirubi was ranked 31st in the list of Africa's 40 richest people but he was then dropped in 2012.. Kenyans ni maskini
😂😂😂 Kirubi kama Kirubi 👇muuni alikufa maskini View attachment 2189719
You all using 2011 data then think you are making a lot of sense in 2022!
 
Back
Top Bottom