Tena ni matusi makubwa kwa Rwanda
Kuongea maneno mengi sana kutawagarimu warwanda, hakua hata na haja ya kuongea sana maana point ya UK hapo ni kuwa "hatutaki manyani yakimbilie kwetu yamejazana sana na sasa yakija tutayapeleka kwenye misitu inayoendana nayo". Maana usitegemee mzungu akimbilie UK then wampeleke Rwanda sio kweli.
Na hii mbinu itawasaidia sana kupunguza wakimbizi watakaokimbilia UK maana mtu akifikiria kuwa atapelekwa Rwanda ataona kheri aende kwa wazungu wengine, kwani wanafikiri yule mkunya aliejiganda kwenye tairi la ndege hakujua kuna nchi inayoitwa Rwanda? au wakongo wanaokimbilia France hawajui kuwa kuna Rwanda?