Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nani bongo akona Lamborghini Urus?
Peter Koima™ on Twitter: My Eldoret people like everything ultra FAST!  Meet the newest baby in town, 2020 Lamborghini Urus alias NDOVU 8.  https://t.co/FUAamMg8bz / Twitter
Hii ni Rolls-Royce calinan.? 😂😂😂
 
Bongo mzima hakuna mtu akona brand new Mercedes GLS 63 AMG na vile munapiga kelele hapa eti you have rich people.

Hii ni gari huwezi pata kwa any showroom in the whole of Tanzania, na vile wanabweka hapa wana matajiri, kumbe pia hao wanabuy hizo magari za over 20 years. 🤣 🤣 🤣

All deaths because of losses
Small economy can't thrive 2 supermarkets simultaneously without 1 to suffocate

Then you need only 1 supermarket
You are talking about yet we have more than 10 supermarkets running at a go? Kwanza nyinyi hata hamna supermarket 😂😂🤣🤣

Supermarkets owned by Kenyans
1. Naivas
2. QuickMart
3. Eastmart
4. Cleanshelf
5. Tumaini
6. Woolmart
7. Khetias
8. Big Square
9. Budget
10. Maathai
 
😂😂😂 Utakufa mzee, kwani hii itabadili ukweli kwamba dar Port juzi iliingiza 4k+ cars while mombasa port ilijitahid ikafika 1k+ papohapo.? 😂😂
Mwisho wa mwaka Mombasa itakuwa Ina cheza Kwa 34M + tonnes na Dar bado itakuwa inalia Kwa 16M tonnes a Year 😂😂🤣😂
 
Did you even attent any school really? Kwani supermarkets zinafall under what?
😂😂😂 Kichaa sana wewe, Unatafuta pakutokea, hautoki hapa.. kila supermarket ni retail store ila sio kila retail store ni supermarket, make google your good friend, unafkiri mimi ni kilaza mwenzako.?
 
Mwisho wa mwaka Mombasa itakuwa Ina cheza Kwa 34M + tonnes na Dar bado itakuwa inalia Kwa 16M tonnes a Year 😂😂🤣😂
Hiyo nayo itabadili ukweli kwamba dar Port Ina handle 4k+ papohapo.? 😂😂 Acha kuwa chizi wewe
 
😂😂😂 Kichaa sana wewe, Unatafuta pakutokea, hautoki hapa.. kila supermarket ni retail store ila sio kila retail store ni supermarket, make google your good friend, unafkiri mimi ni kilaza mwenzako.?
Do you have supermarkets in Tz?😂😂
 
Back
Top Bottom