Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,711
Na hii loss maker iliokua ikimilikiwa mpaka na serikali yenu?
I already told you that Uchumi was mismanaged and its CEO was even taken to court. Ni kipi hujaelewa hapo?
Na hii loss maker iliokua ikimilikiwa mpaka na serikali yenu?
Kenya tukisema uchumi umeshikwa na mzungu shida ila Tanzania ukishikwa na Muhindi poa?Stop looking at everything through the lenses of race. We know your economy is held hostage by Arabs and Indians and we ain't yapping about it
Na hii mali ya 'Muhindi' ilikuaje?I already told you that Uchumi was mismanaged and its CEO was even taken to court. Ni kipi hujaelewa hapo?
Mzee tuangalie size ya asset ya bank yenu na yetu. Bank kubwa yenu NMB ina fewer assets kushinda benki nne kubwa za Kenya. KCB bank, Equity bank, Cooperative bank na NCBA bank. Yaani bank ya nne kwa ukubwa Kenya NCBA bado ina asset base kubwa kushinda bank yenu kubwa zaidi NMB. Kama NMB ingekuwa Kenya ingekuwa namba tano au sita kwenye asset base. Sasa sijui mumeamka wapi, bado mumelala usingizi wa pono.Point ya msingi sana hii, unajitanua kwa kwenda kwa walio nyuma kitechnologia na wakishaamka tu itabidi uondoke la sivyo utakula hasara. Sasa jirani zetu hawa sijui wanatuonaje kuleta banks zao kwetu, we subir watachoka tu
Na hii mali ya 'Muhindi' ilikuaje?
Tena ni matusi makubwa kwa Rwandasjuagi ata eac inafanyaje kazi lkn uo mradi wa uk na rwanda sio mzuri kwa ukanda wetu huu altakiwa akemewe!!
Well, hii kifo cha mende vipi?Bongolala, did you read my response on what befell Nakumatt ama you are just here to troll? Mbona unataka nirudie what I have already stated?
Sio kwamba tumeamka bali hatujawahi kulala ni kiherehere chenu tu. Kama ni banks zenye assets kubwa globally zipo kibao TZ, stanchart, absa, BOA, n.k. Sasa kama ni mambo yanayohusu assets kubwa tuache StanChart, absa, n.k twende kwa matapeli ya kikunya?Mzee tuangalie size ya asset ya bank yenu na yetu. Bank kubwa yenu NMB ina fewer assets kushinda benki nne kubwa za Kenya. KCB bank, Equity bank, Cooperative bank na NCBA bank. Yaani bank ya nne kwa ukubwa Kenya NCBA bado ina asset base kubwa kushinda bank yenu kubwa zaidi NMB. Kama NMB ingekuwa Kenya ingekuwa namba tano au sita kwenye asset base. Sasa sijui mumeamka wapi, bado mumelala usingizi wa pono.
Hahaha. Matapeli ambao wana banks kubwa kuwashinda.Sio kwamba tumeamka bali hatujawahi kulala ni kiherehere chenu tu. Kama ni banks zenye assets kubwa globally zipo kibao TZ, stanchart, absa, BOA, n.k. Sasa kama ni mambo yanayohusu assets kubwa tuache StanChart, absa, n.k twende kwa matapeli ya kikunya?
Kenya ports authority ndio imetumia fedha yake ya ndani kujenga hili dude. Nyie najua hamna taasisi yoyote ya kiserikali ambayo ina uwezo wa kutumia fedha zake za taasisi kujenga mradi mkubwa kama huu.Mbona husemi kwamba ni msaada kutoka China.
www.foodbusinessafrica.com
umojanews.com
Of course, hujaona wachezesha kamari wa sokoni wanavyokuonesha pikipiki ili ucheze wale Ksh 200? Mda si mrefu hizi equity na kcb huku TZ zitakua microfinance kama kilichomtokea access bank na stanbic bank, kama unaelewa namaanisha niniHahaha. Matapeli ambao wana banks kubwa kuwashinda.
Huyu mama anatuabisha sana aisee. Nlidhani alijifunza kwenye ile trip ya kwanza! Si angempa hiyo kazi balozi wa TZ aliepo US au waziri wa utalii?Unafkir ata anachamaana? Bas tuu miguu inamuwasha
Kunyaland loss loss loss kila retail business inayokuja huko hata miaka miwili mingi lazima kiumaneKijana wa Tandale, I know it pains you so much to learn that we have a bigger and robust market for businesses than you have down there. What befell Nakumatt is more or less what befell Tuskys. Pure mismanagement. In the case of Tuskys, the brothers who were managing the business engaged in fist fights and endless court dramas between themselves that eventually led to its collapse. They put their own interests ahead of the interests of the business
Weiterleitungshinweis
www.google.com
![]()
It is all our fault, now says Tuskys sibling on retailer downward spiral
The media-shy Mukuha noted that Tuskys had been given a second chance and promised not to mess it up.www.standardmedia.co.ke
![]()
Kenya: How Tuskys' Directors Lived Large as the Retailer Struggled
Problems have surrounded Tuskys Supermarkets since 2011 when the shareholders, who are all siblings, disagreed over the direction of the retail chain as incessant fights dominated the media.allafrica.com
To emphasise my point on our market stability, all the stores that Tuskys evacuated have since been taken over by Naivas and Quickmart.
Weiterleitungshinweis
www.google.com
Naivas takes over space left by financially struggling Tuskys supermarket to open 70th Branch | Food Business Middle East & Africa - No.1 Food & Beverage Formulation, Processing & Packaging Publication
KENYA - Naivas Supermarket, Kenya’s largest locally owned retail store is continuing with its expansion spree with the chain store seeking to open a new outlet in Kilifi, coastal county of Kenya at a space that was vacated by Tuskys last October. According to reports by Business Daily, the new...www.foodbusinessafrica.com
Hii haingefanyika if we had a weaker retail market![]()
Naivas set to take over Tuskys's space at Greenspan Mall - Umoja News
Naivas supermarket is set to open the doors of its 80th outlet at the iconic Greenspan Mall, located in Donholm an estate at the heart of the sprawling Eastlands region of Nairobi. The mall is not only strategically located but the only destination mall in the expansive residential area. This...umojanews.com
How can a bank operate in a country without registration?Is DTB registered in Tanzania?😂😂
Jengo la TPA one center ni fedha za TPA pia!Kenya ports authority ndio imetumia fedha yake ya ndani kujenga hili dude. Nyie najua hamna taasisi yoyote ya kiserikali ambayo ina uwezo wa kutumia fedha zake za taasisi kujenga mradi mkubwa kama huu.