Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GOK has shares in KQ and it's her responsibility to make sure the airline is running.
by making loss and giving loans to kq each after two months 🤣🤣🤣 miaka 50 munamiliki ndege tatu chaku boeing 737

hio ndio responsibilities, wakeny kufa njaa sio kazi yao??? wakenya hawana ajira about 40% highest in africa hio sio kazi yao?? vituo havina mafuta sio kazi yao?? debt to GDP ratio iko ICU inavuta mipira ya mikojo sio kazi yao??
 
Jifunze kufuatilia mada wewe bwege. Kilaza mwenzako alisema eti we are building quality supermarkets while the number of Kenyans dying from hunger is increasing ndio nikamjibu kwamba hizo supermarkets anataja are private investments and have nothing to do with government projects/mitigative measures on hunger. Sasa wewe ulivyo kilaza zaidi ya yule kilaza wa kwanza unakuja kutoa povu.

Kwa hizo supermarkets tunazojenga hebu nitajie ya mzungu, mwarabu ama muhindi. Ama unafikiri Kenya ni kama kwenu ambapo kila kitu kinamilikiwa na warabu au wahindi?
Sasa Kama ni "Privately owned" na haziwasaidii wakenya wa kawaida, kwanini mnataka na sisi tujenge vitu ambavyo haviwasaidii wananchi wanaoteseka na shida mbalimbali?
 
You used to have branches in Tanzania like uchumi supermarket and Nakumat.

Niliwahi kuwa employee wa Uchumi ila mlifilisika 2016 kwa sababu ya ufisadi na sio operational environs..Wakenya nyie ni wezi balaa.

Kuna siku ulijisifu humu hadi ukataka tuoneshane vyeti vya shule vya science.
But if you are an employees of a store atleast we know your level.

Happy Easter.
 
Kwa hivyo StanChart is only facing competition in Tanzania where the first five leading banks can't even match equity bank or KCB bank in anything? Why aren't they facing the same competition in Kenya where locals banks outperform Tanzanian leading banks in almost everything? Ama hii competition ni imaginary tu kwa akili yako?
Stanchart ni 4th profitable bank in Tz in 2021..sasa maamuzi ya ku reduce number zake za bank sio Tz tu ni 11 countries anaondoka permanent na Tz na another african countries wana reduce the number of services lu focus kwenye coperate banking..au wewe ulihisi ana exit kabisa?

Are angola and Cameroon small economies in Africa...and if they are ..what is defn of small economy ?criteria zako ni Zipi
Screenshot_20220416-053010_Chrome.jpg
 
Hizo profits za ten leading banks in Tanzania can't even match equity alone
Sawa..but swali langu kubwa does any Kenyan bank lead in Tanzania?

Kuhusu uwezo wa bank zetu kujitanua kama Equity kwenda nchi myingne..its our problem..but no any kenyan bank that leads in Tanzania.

Sasa tukiwa aggresive enough kujitanua tutakutana huko mbele

I know equity is a big bank ..but outside Tz
 
nilikua nataka kumpa taarifa Teargas
hii ni roro area ndani ya bandari ya dar

angali urefu wa hio roro kuna meli mbili kubwa za magari zimeshuhsa kwa wakat mmoja na hzo meli zote mbili zina urefu wa takriaban 200m na juu hapo angalia nafasi kubwa iliobaki sasa ndio utajua roro bearth alone inaeza kua na urefu wa 450m 🤣👇👇
A4E0199C-4369-459A-A102-8021C50E5BEB.jpeg
83034AEC-B2C9-4EAD-B165-6E096DFAA231.jpeg

na juu ya hapo nikwambia tu kua kutoka tarehe 5 mpaka tarehe 8 tanzania imepokea meli tatu za magari zilishusha jumla ya magari 8,488 in just 3 to 4 days siku mukivunja hii record let me know plz 😂😂😂😂Tony254
 
Sawa..but swali langu kubwa does any Kenyan bank lead in Tanzania?

Kuhusu uwezo wa bank zetu kujitanua kama Equity kwenda nchi myingne..its our problem..but no any kenyan bank that leads in Tanzania.

Sasa tukiwa aggresive enough kujitanua tutakutana huko mbele

I know equity is a big bank ..but outside Tz
na kwa tanzania wamefeli bro yani kapambana wee lakini kagonga ukuta 😂😂
 
Wakenya wachache sana wanajua maana ya Post Panamax ..alfu watakwambia Port ya Dar haina berth ya 300 m ++

someni kwanzaa manaa ya post panamax
na mfano mzuri sana nimempa 🤣🤣👇
nilikua nataka kumpa taarifa Teargas
hii ni roro area ndani ya bandari ya dar

angali urefu wa hio roro kuna meli mbili kubwa za magari zimeshuhsa kwa wakat mmoja na hzo meli zote mbili zina urefu wa takriaban 200m na juu hapo angalia nafasi kubwa iliobaki sasa ndio utajua roro bearth alone inaeza kua na urefu wa 450m 🤣👇👇
View attachment 2189097View attachment 2189098

na juu ya hapo nikwambia tu kua kutoka tarehe 5 mpaka tarehe 8 tanzania imepokea meli tatu za magari zilishusha jumla ya magari 8,488 in just 3 to 4 days Tony254
 
Sawa..but swali langu kubwa does any Kenyan bank lead in Tanzania?

Kuhusu uwezo wa bank zetu kujitanua kama Equity kwenda nchi myingne..its our problem..but no any kenyan bank that leads in Tanzania.

Sasa tukiwa aggresive enough kujitanua tutakutana huko mbele

I know equity is a big bank ..but outside Tz
Bank za TZ zinatumia technology nyingi za hali ya juu. Mkenya angefanikiwa kutumia account ya NMB au CRDB ndio atawezaelewa. Bank kubwa za TZ zinashindana kwa innovations kila mwaka. Na kikubwa ambacho kitawawia vigumu mpaka mwisho wa dunia ni corporate services na integrations zake haswahaswa academic institutions. So, acha waendelee kuota.

Hiyo stanchart yenyewe kinachoipa faida ni corporate loans (ndio maana haiwezi kuondoka mazima) na wageni wa nchi za ng'ambo ambapo inajulikana. Thats why equity anajaribu kutaka kutoa loans kubwakubwa kushindana na stanchart na absa lakini wapi
 
Kuna siku ulijisifu humu hadi ukataka tuoneshane vyeti vya shule vya science.
But if you are an employees of a store atleast we know your level.

Happy Easter.
Kazi za kuuza supermarket hakuhitaji vyeti vyovyote zaidi ya basic education ya form 4...

Hapo ndipo wengi wenu mnapokuwa mabogus, yaani niwe jobless kwenye fani yangu afu nipate Kazi ya kunifanya ni survive niache Kisa nimesomea engineering nk?

Umejaa usaha kichwani
 
Back
Top Bottom