nilikua nataka kumpa taarifa
Teargas
hii ni roro area ndani ya bandari ya dar
angali urefu wa hio roro kuna meli mbili kubwa za magari zimeshuhsa kwa wakat mmoja na hzo meli zote mbili zina urefu wa takriaban 200m na juu hapo angalia nafasi kubwa iliobaki sasa ndio utajua roro bearth alone inaeza kua na urefu wa 450m 🤣👇👇
View attachment 2189097View attachment 2189098
na juu ya hapo nikwambia tu kua kutoka tarehe 5 mpaka tarehe 8 tanzania imepokea meli tatu za magari zilishusha jumla ya magari 8,488 in just 3 to 4 days siku mukivunja hii record let me know plz 😂😂😂😂
Tony254