Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona husemi kwamba ni msaada kutoka China.
We don't depend on donations like Tanzania. Kipevu was fully funded by KPA without even the support of GOK. There's no parastatal in Tz that can achieve such feet.
 
Anajidanganya huyu Waziri mtanzania gani ataenda Rwanda kuomba hifadhi? Sisi huwa hatutangi tangi kwenye nchi za watu kila kitu kipo tz tuna shida gani.
Huo ni mpango wa wafaransa kukamata wazamiaji haramu nchini mwao na kuwapeleka Rwanda, France itawalipa Rwanda ktk mpango huo, hapo Wakenya wengi ndiyo watakaonasa kwenye hyo ndoano.
 
We don't depend on donations like Tanzania. Kipevu was fully funded by KPA without even the support of GOK. There's no parastatal in Tz that can achieve such feet.
Tukiwaambia Dar port ni the giant kwenye hyo business muwe mnaelewa.
Screenshot_20220415-211712.jpg
 
Back
Top Bottom