Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20220413_074530.jpg
 
mm simutanilaumu bure hvi ww na macharia nani anajua zaidi ???😂😂👇👇👇👇



Tony254 njoo basi umsaidie ndugu yako ukweli ni mchungu sana 🤣🤣🤣🤣

View attachment 2185424View attachment 2185425View attachment 2185426

🤣🤣🤣🤣🤣umejityia kidole mwenyewe..ulisema inamiliki ndege tatu pekee, zinhine ni lease, sasa unagueza gear hewani😂😂😂😂😂😂, wewe umeona tatu? ata kama ni through loan or what.., nyambaff sana, ni ramadhan lakini, 🤣🤣🤣🤣
 
mwengine anakwambia wanamiliki ndege 20 wakat 3 ndio wamelipia zingine ni deni na halitalipwa mpaka dunia itasmama kwasababu kampuni yenyewe inaendesha hasara huku ina kopa kila leo 🤣🤣🤣🤣
Don YF nye nye nye sisi tuna GDP kubwa haya wapeni wananchi hio GDP wale washibe saaa 👇👇👇👇

Kenya is a free market economy, caitalist system kazi ya serikali ni ku create a condusive environment, so kuna fursa nyingi za kujikimu kimaisha, wapambane na hali yao.., masomo ni ya bure na wengi hawataki shule wanapenda tamaduni yao, ni ng'ombe wanapenda.., sio responsibility ya serikali kuweka Ugali mezani, kilaza wewe😛😛🤣🤣😂😂😂😂
 
mwengine anakwambia wanamiliki ndege 20 wakat 3 ndio wamelipia zingine ni deni na halitalipwa mpaka dunia itasmama kwasababu kampuni yenyewe inaendesha hasara huku ina kopa kila leo
Don YF nye nye nye sisi tuna GDP kubwa haya wapeni wananchi hio GDP wale washibe saaa
Hahahaha, hii Kali Sana
 
Heheheheeee unafananisha electric car zilizowekwa uwani pale ka Nairobi na electrifitried SGR

Alafu mm nakwambia Tz ndiyo nchi ya kwanza Africa kuwa na the longest railway line as far as the term SGR is concerned, angalia hapa chini alafu nioneshe nchi yoyote Africa yenye SGR ndefu kama hiiView attachment 2185191
Mark this, sio kuwa, itakuwa kama itamalizika, ni ndoto kwa sasa.., tuliza kende nanii😂😂😂😂😂🤣🤣
 
😅😅😅😅 Hapo sasa, halafu wanahofia Tanzania kuwa EA logistics hub wakati tayari Tanzania ni EA logistics hub, Tanzania inahudumia nchi nyingi ukanda huu kuliko Kenya na inahudumia mzigo mkubwa kuliko Kenya na Tanzania inauza kwenye nchi nyingi na value kubwa kuliko Kenya ukanda huu, sasa sijui anachohofia ni kipi?
🤣🤣😂😂😂😂ebu weka data ya all goods that Dar port receives, mnatamani sana fikra zenu ziwe ukweli, hazitakua, pole dogo, amka kwa ndoto usikojoe kitandani🤣🤣😂😂😂😂.., hiyo mizigo mikubwa ni ngapi eti?, how many tues? 🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣
 
Ushawai kuskia Vision 2025 ya Tanzania..Hio SGR tumeplan toka enzi za Kikwete ..na sio kwamba tunawageza nyie...Ndo maana tumeanza kujenga na tunajenga kila kitu kwa pace yetu
Kikwete kaona Kenya wame launch SGR to Uganda..., alafu CoW pia was the thorn, yeye akakimbia ku plan ya Tanzania, a reactive government, a recipe' for failure.
 
Kenya is a free market economy, caitalist system kazi ya serikali ni ku create a condusive environment, so kuna fursa nyingi za kujikimu kimaisha, wapambane na hali yao.., masomo ni ya bure na wengi hawataki shule wanapenda tamaduni yao, ni ng'ombe wanapenda.., sio responsibility ya serikali kuweka Ugali mezani, kilaza wewe😛😛
Nani aliyekuambia kila mtu lazima apate "formal employment?", Sehemu kubwa ya raia ni wakulima na wafugaji, serikali yenu imefanya nini kuweka mazingira mazuri kwa wafugaji?, ardhi nzuri kwa kilimo na wafugaji inamilikiwa na viongozi wenu na wazungu, serikali yenu imeshindwa hata kuwawekea usalama, huko Samburu na Pokot kila familia inamiliki silaha Kali za kivita, huo ndio ubepari unavyotaka?
 
Kikwete kaona Kenya wame launch SGR to Uganda..., alafu CoW pia was the thorn, yeye akakimbia ku plan ya Tanzania, a reactive government, a recipe' for failure.
SGR ilikua ianzishwe na EAC kwa pamoja na iliplaniwa mkakati ulikuwepo wa nchi za EAC kishirikiana lakini baada ya mzozo wa Tanzania and Rwanda Kenya kama kawaida akataka kuchochoa mgogoro kiaina akaanza za chini chini kulazimisha SGR ianze kujengwa Kenya akawashawishi Rwanda na Uganda wakakubali iTZ ikaachana na ule mpango ikianzishwa CoW.TZ China ya JK ikaamua kuanzisha SGR yake.Hivyo SGR ilikua idea ya pamoja ya EAC kabla kusambaratika kwa mpango kusambaratika.
 
ikiwa SA, ni Van, ikiwa kenya ni Vipanya, ni hapo ndo utaamini kua kenya sio nchi mbaya venye wo ubishana hapa, bali ni uwivu tu. aky hawa watu, kenya inawasumbua sana. wengi wao hapa wako na ugonjwa wa pressure na ulcers jili tu ya kenya

View attachment 2185068
Sasa South Africa pia wana hivi vidude lakini Kenya sisi tukivinunua sisi vyetu vinakuwa vibaya. Malazy wanawashwa sana na Kenya.
Cc The best 007
Simon
 
Kikwete kaona Kenya wame launch SGR to Uganda..., alafu CoW pia was the thorn, yeye akakimbia ku plan ya Tanzania, a reactive government, a recipe' for failure.
We are doing it much better than you guys, and CoW died prematurely when Tanzania decided not to join, that's indicates the strength of Tanzania in this zone, every country is joining Tanzania SGR and abandoned Kenya's SGR, in other words, Coalition of the willing is dead what was born is "coalition of the smart countries'
 
SGR ilikua ianzishwe na EAC kwa pamoja na iliplaniwa mkakati ulikuwepo wa nchi za EAC kishirikiana lakini baada ya mzozo wa Tanzania and Rwanda Kenya kama kawaida akataka kuchochoa mgogoro kiaina akaanza za chini chini kulazimisha SGR ianze kujengwa Kenya akawashawishi Rwanda na Uganda wakakubali iTZ ikaachana na ule mpango ikianzishwa CoW.TZ China ya JK ikaamua kuanzisha SGR yake.Hivyo SGR ilikua idea ya pamoja ya EAC kabla kusambaratika kwa mpango kusambaratika.
Sasa ulikuwa unataka kuwangoje nyinyi mzozane na Rwanda hadi mzozo ukamilike? Akili gani hizi? Maendeleo haiwezi kubaki nyuma eti kwa sababu tunangoja malazy wamalize mgogoro wao na Rwanda.
 
ebu weka data ya all goods that Dar port receives, mnatamani sana fikra zenu ziwe ukweli, hazitakua, pole dogo, amka kwa ndoto usikojoe kitandani.., hiyo mizigo mikubwa ni ngapi eti?, how many tues?
Weka data kuonyesha bandari ya Mombasa inahudumia nchi ngapi?
 
Back
Top Bottom