Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Xpress way vs electrifitried SGR kipi ni kitu cha kushangaza zaidi kuwepo East and Central Africa

Kama kuna mtu angeliniambia mwaka 2010 kwamba ifikapo 2025 Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Africa kuwa na European standard electrifitried SGR ambayo ni ndefu zaidi barani Afrika basi ningelimpiga makofi kwa kuniona zuzu wa kiwango cha SGR iliyosuswa pale Suswa
Angalia ujinga wako ulio anika humu🤣🤣🤣🤣🤣.., kwani electric car ni ya kushangaza? si ni gari tu na inapita kwa barabara kama zingine.., same na SGR train., one is powered by diesel another electricity na zote zinatumia rail ya standard gauge, lishamba😂😂😂😂. Pili my post is about Kenya doing things according to written plan, nyie mliona Kenya wanafanya mkashtukia na kujenga, mkiona flyover na nyie mnataka, competing tu blindly.., sisi hatukimbishani na mtu., tunafata plans zetu..,
Alafu kuna nchi za Africa zilizo watangulia kitambo sana nyambaff😂😂😂😂., My mother is the best cook mentality.., kama tu km 200 imewachukua huu muda wote ndio 2025 mtakua mmekamilisha eti?, a simple SGR just electrified🤣🤣😂😂

Dadedki😛😛😂😂😂 (European and Asian standards hizi hapa in Africa) eti nyie wa kwanza..., unavuta nini The best 007 😂😂😂
1649774311803.png

1649774330840.png

1649774406874.png

1649774417954.png

1649774434513.png

1649774447440.png

1649774462044.png
 
We nawe wacha upumbavu hebu angalia hizo van zilivyo bomba alafu fananisha na vipanya vya ka Nairobi, kwanza mazingira tu ukiweka ya ka Nairobi ni uharo na dongo jekundu pembeni mixa machinga, alafu ndio ufananishe na SA unaumwa wewe.
Unaijua SA mitaani ya raiya kweli wewe, yaani uko very ignorant mzee.😂😂😂😂., pale Githurai 45 ni mitaani(residential area kama haujui), Dar machinga ni ndani ya town balaa kishenzi, mitaa yenu ndio usiseme, ushamba kinoma🤣🤣🤣😂😂 alafu Kenya mnatafuta vipicha vya kitambo kujiliwaza, google earth ipo, mimi siwezi kudanganya, ingia utazame Kenya, link ya google earth hio Google Earth
msikize baba levo, ngojeni 25 years, sisi na mapungufu yetu bado sio wenzenu, mko below despite😂😂😂😂
 
Angalia ujinga wako ulio anika humu🤣🤣🤣🤣🤣.., kwani electric car ni ya kushangaza? si ni gari tu na inapita kwa barabara kama zingine.., same na SGR train., one is powered by diesel another electricity na zote zinatumia rail ya standard gauge, lishamba😂😂😂😂. Pili my post is about Kenya doing things according to written plan, nyie mliona Kenya wanafanya mkashtukia na kujenga, mkiona flyover na nyie mnataka, competing tu blindly.., sisi hatukimbishani na mtu., tunafata plans zetu..,
Alafu kuna nchi za Africa zilizo watangulia kitambo sana nyambaff😂😂😂😂., My mother is the best cook mentality.., kama tu km 200 imewachukua huu muda wote ndio 2025 mtakua mmekamilisha eti?, a simple SGR just electrified🤣🤣😂😂

Dadedki😛😛😂😂😂 (European and Asian standards hizi hapa in Africa) eti nyie wa kwanza..., unavuta nini The best 007 😂😂😂
View attachment 2185095
View attachment 2185096
View attachment 2185102
View attachment 2185103
View attachment 2185105
View attachment 2185106
View attachment 2185108
wapi yenyu mkunya barabarani?

Sisi yetu hii hapa!
FQInSM1X0AMBdRQ
 
Angalia ujinga wako ulio anika humu.., kwani electric car ni ya kushangaza? si ni gari tu na inapita kwa barabara kama zingine.., same na SGR train., one is powered by diesel another electricity na zote zinatumia rail ya standard gauge, lishamba. Pili my post is about Kenya doing things according to written plan, nyie mliona Kenya wanafanya mkashtukia na kujenga, mkiona flyover na nyie mnataka, competing tu blindly.., sisi hatukimbishani na mtu., tunafata plans zetu..,
Alafu kuna nchi za Africa zilizo watangulia kitambo sana nyambaff., My mother is the best cook mentality.., kama tu km 200 imewachukua huu muda wote ndio 2025 mtakua mmekamilisha eti?, a simple SGR just electrified

Dadedki😛😛 (European and Asian standards hizi hapa in Africa) eti nyie wa kwanza..., unavuta nini The best 007
View attachment 2185095
View attachment 2185096
View attachment 2185102
View attachment 2185103
View attachment 2185105
View attachment 2185106
View attachment 2185108
Ushawai kuskia Vision 2025 ya Tanzania..Hio SGR tumeplan toka enzi za Kikwete ..na sio kwamba tunawageza nyie...Ndo maana tumeanza kujenga na tunajenga kila kitu kwa pace yetu
 
Unaijua SA mitaani ya raiya kweli wewe, yaani uko very ignorant mzee.😂😂😂😂., pale Githurai 45 ni mitaani(residential area kama haujui), Dar machinga ni ndani ya town balaa kishenzi, mitaa yenu ndio usiseme, ushamba kinoma🤣🤣🤣😂😂 alafu Kenya mnatafuta vipicha vya kitambo kujiliwaza, google earth ipo, mimi siwezi kudanganya, ingia utazame Kenya, link ya google earth hio Google Earth
msikize baba levo, ngojeni 25 years, sisi na mapungufu yetu bado sio wenzenu, mko below despite😂😂😂😂
Githurai yenyewe unayoiweka sentence 1 na Dar ndio hii?

images - 2022-04-12T190213.827.jpeg

images - 2022-04-12T190223.075.jpeg

images - 2022-04-12T190236.273.jpeg

images - 2022-04-12T190247.432.jpeg
 
Angalia ujinga wako ulio anika humu.., kwani electric car ni ya kushangaza? si ni gari tu na inapita kwa barabara kama zingine.., same na SGR train., one is powered by diesel another electricity na zote zinatumia rail ya standard gauge, lishamba. Pili my post is about Kenya doing things according to written plan, nyie mliona Kenya wanafanya mkashtukia na kujenga, mkiona flyover na nyie mnataka, competing tu blindly.., sisi hatukimbishani na mtu., tunafata plans zetu..,
Alafu kuna nchi za Africa zilizo watangulia kitambo sana nyambaff., My mother is the best cook mentality.., kama tu km 200 imewachukua huu muda wote ndio 2025 mtakua mmekamilisha eti?, a simple SGR just electrified

Dadedki😛😛 (European and Asian standards hizi hapa in Africa) eti nyie wa kwanza..., unavuta nini The best 007
View attachment 2185095
View attachment 2185096
View attachment 2185102
View attachment 2185103
View attachment 2185105
View attachment 2185106
View attachment 2185108
Heheheheeee unafananisha electric car zilizowekwa uwani pale ka Nairobi na electrifitried SGR

Alafu mm nakwambia Tz ndiyo nchi ya kwanza Africa kuwa na the longest railway line as far as the term SGR is concerned, angalia hapa chini alafu nioneshe nchi yoyote Africa yenye SGR ndefu kama hii
JamiiForums108213577.jpg
 
MD wa TRC anafanya mahojiano saiz na TBC.. anasema hiki kipande cha Dar hadi Pugu.. zitajengwa overpasses tatu ili magar yapite juu na treni chini.. Zitajengwa eneo la kuelekea Airport, Vingunguti na ‘ile njia ya kutokea kinyerezi’ (nimesahau kataja jina gan sijui)..
 
Back
Top Bottom