Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheheheeee unafananisha electric car zilizowekwa uwani pale ka Nairobi na electrifitried SGR

Alafu mm nakwambia Tz ndiyo nchi ya kwanza Africa kuwa na the longest railway line as far as the term SGR is concerned, angalia hapa chini alafu nioneshe nchi yoyote Africa yenye SGR ndefu kama hiiView attachment 2185191
Lot 6 kutangazwa hivi karibuni iko kwenye mchakato wa manunuzi.
 
huyu kalala kabisa na madumu yake sheli akisubiri wese 😂😂 ila wakenya wana maisha magumu sana alooo🙌🙌🙌





hii picha imeniuma sana dahh🥲🥲
0B54CD9F-8462-46A9-8F34-A1AEBFC71931.jpeg
 
Kiambu county has better roads than Dar
FB_IMG_16497982023638642.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_16497982297398896.jpg
    FB_IMG_16497982297398896.jpg
    41.9 KB · Views: 19
  • FB_IMG_16497982210180895.jpg
    FB_IMG_16497982210180895.jpg
    71.9 KB · Views: 22
  • FB_IMG_16497982105983364.jpg
    FB_IMG_16497982105983364.jpg
    105.2 KB · Views: 24
Sasa wanalalamika nn? Uwezo wa nchi yetu ni mkubwa ndiyo maana tulipoomba mkopo wa kutengeneza electrifitried SGR waligoma but tulipoanza kwa pesa za ndani ndipo walipojua kuwa tuko serious zen wakakubali, ss hawa jamaa uwezo wao mdogo nchi yao ya kimaskini walitegemea wajengewe reli ya umeme? Ili iwalipe faida haraka haraka alafu mchina akose pa kupiga? Walipoomba kujengewa reli ya diesel mchina akakubali mana alijua fika lazima wa default zen mchina achukue Mombasa port, ndivyo ilivyotokea, ss wanalia nn, umaskini mbaya
😅😅😅😅 Hapo sasa, halafu wanahofia Tanzania kuwa EA logistics hub wakati tayari Tanzania ni EA logistics hub, Tanzania inahudumia nchi nyingi ukanda huu kuliko Kenya na inahudumia mzigo mkubwa kuliko Kenya na Tanzania inauza kwenye nchi nyingi na value kubwa kuliko Kenya ukanda huu, sasa sijui anachohofia ni kipi?
 
Back
Top Bottom