Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣umejityia kidole mwenyewe..ulisema inamiliki ndege tatu pekee, zinhine ni lease, sasa unagueza gear hewani😂😂😂😂😂😂, wewe umeona tatu? ata kama ni through loan or what.., nyambaff sana, ni ramadhan lakini, 🤣🤣🤣🤣
Kenya is a free market economy, caitalist system kazi ya serikali ni ku create a condusive environment, so kuna fursa nyingi za kujikimu kimaisha, wapambane na hali yao.., masomo ni ya bure na wengi hawataki shule wanapenda tamaduni yao, ni ng'ombe wanapenda.., sio responsibility ya serikali kuweka Ugali mezani, kilaza wewe😛😛🤣🤣😂😂😂😂
sasa mbona kama unalia bro au ulikua hutaki kuskia kq inamiliki ndege tatu chakavu ?😃

yani ukweli munauogopa sana tuseme waziri wenu mwenye dhamana hajui ila ww ndio unajua zaidi

hvi unajua ndege ikinunuliwa kwa mkopo hamuwezi kuimiliki mpaka mumalize deni ndio maana unaona neno fully owned pia huelew hapo?😂😂😂😂

ww inaonesha bishara ya ndege kwako ni mashkolo mageni 🤣🤣🤣🤣
 
Palm Village

IMG_6116.jpg

IMG_6123.jpg

IMG_6122.jpg

IMG_6120.jpg

IMG_6118.jpg

IMG_6119.jpg

IMG_6117.jpg
 
Hii ya Johannesburg hata Mandela alikua hajazaliwa, ya Nairobi ni ya leo
chongchung Haya magari ya Joburg ndio latest model ya matatu. Yalianza kufika Afrika miaka 10 au 15 zilizopita. Halafu huko SA hizi matatu zinaitwa taxi. Madereva wa taxi wameunda cartels na mafia. Hata Kenya hakuna upuuzi kama huu. Kazi yao kupigana marisasi na kuuwana kila wakati huku wakipigania routes na wateja. Wanauwana huko kabisa kwa kupigania wateja. Wengine hata wanaajiri assasins wa kuuwa madereva pinzani.




Tazama ujinfunze kitu. South Africa ni nchi ya Kiafrika na ina matatizo za kiafrika tu. Lakini kwa ushamba wenu mnaona kama huko ni mbinguni. Ni vizuri utazame hio video ya pili (ya Jake Tran)

The best 007 Simon
 
Hii ni mojawapo ya sababu kwanini Tanzania ndio chaguo la wafanya biashara wa nchi zote za ukanda huu kununua bidhaa zao Tanzania, ebu fikiria Kama bidhaa Tanzania ni " 3.5% cheaper than Rwanda, 2% than Kenya, kwanini wasije kununua Tanzania?.

Kwakweli hii ndiyo maana alisi ya "resilient and stable economy" uchumi ambao hautikisiki Wala kuyumbishwa na mawimbi ya Dunia, katika kipindi cha janga la Corona, na Sasa hivi vita vya Ukraine na Urusi, chumi nyingi duniani zimetetereka, inflation rate" zimepanda, lakini Tanzania inashuka, hiyo ni kwasababu"Tanzania produces what it consumes, and consumes what it produces". Kudos watanzania wote.
 
Nani aliyekuambia kila mtu lazima apate "formal employment?", Sehemu kubwa ya raia ni wakulima na wafugaji, serikali yenu imefanya nini kuweka mazingira mazuri kwa wafugaji?, ardhi nzuri kwa kilimo na wafugaji inamilikiwa na viongozi wenu na wazungu, serikali yenu imeshindwa hata kuwawekea usalama, huko Samburu na Pokot kila familia inamiliki silaha Kali za kivita, huo ndio ubepari unavyotaka?
Nani ameongelea formal employment.., who owns land in Turkana county? Pokot, North Eastern? uliona wazungu ama wanasiasa?.., another propaganda, uko very clueless, una guess tu., Civic education has been done, these groups uphold culture more than reason., nikama tu watu wa dini vile (religion is a scam), reason is thrown out the window, minimal logic and critical thinking.., almost all tribes bordering each other along Ethiopia, Kenya and Uganda borders have the same characteristics.., Kumiliki silaha is part of their culture, they are initiated to be warriors and cattle rustling is their conquest.., Kenya ni nchi huru, hauwezi lazimisha watu.., na pia viongozi wao are engraved in the same culture na wanachochea sana, some are financing such.., so they don't move with the trends., wanabakia nyuma, ni kama nyie mlivyo washamba kwa wingi, old school thinking, u are left out of the prevailing trends economically., alafu ni ardhi inalisha raiya wenu kama tu wanyama pori., usijipige kifua, mko hovyo.., and it is a mindset mzee., ndio maana nyie ni miongoni za taifa fukara duniani licha ya rasilmali.., so peleka huo ujuaji uchwara mbali, jiangalie kisha mjichunguze, sio laana, ni ujinga na kutokujua, get information to transform your life.
In Uganda Museveni pacifiedKaramoja using Military, yule atambui human rights nyef nyef, and he confiscated most guns, kwetu ukianza hivyo vita, siasa inaingia kati, human rights activists wanajitokeza kupinga utumiaji wa nguvu, courts can halt the operation, I believe force must be employed kwa vile most of those groups don't engage reason.
 
sasa mbona kama unalia bro au ulikua hutaki kuskia kq inamiliki ndege tatu chakavu ?😃

yani ukweli munauogopa sana tuseme waziri wenu mwenye dhamana hajui ila ww ndio unajua zaidi

hvi unajua ndege ikinunuliwa kwa mkopo hamuwezi kuimiliki mpaka mumalize deni ndio maana unaona neno fully owned pia huelew hapo?😂😂😂😂

ww inaonesha bishara ya ndege kwako ni mashkolo mageni 🤣🤣🤣🤣
20 whether u like it or not..,ukinunua gari kwa mkopo, gari ni yako, itamilikiwa na benki wakati unashindwa kulipa, ama vipi? kalilie kwa choo😂😂😂😂😂😂
 
We are doing it much better than you guys, and CoW died prematurely when Tanzania decided not to join, that's indicates the strength of Tanzania in this zone, every country is joining Tanzania SGR and abandoned Kenya's SGR, in other words, Coalition of the willing is dead what was born is "coalition of the smart countries'
Fact...
 
Weka data kuonyesha bandari ya Mombasa inahudumia nchi ngapi?
Mwenzako kasema mizigo mingi sana in EA, usigeuze gear hewani.., Mombasa port inahudumia karibia nchi zote za EAC hadi Tanzania.., only percentage of goods differs in comparison.., ama hauna taarifa? mbona mnapenda kujitia hamnazo ikija ukweli?
1649832088392.png
 
Tanzania ujenzi unaendelea, Kenya ndio mwisho wa majigambo, reli imeishia vichakani
Malizeni kilomita mia mbili kwanza (200km) Ni miaka mingapi tangu ujenzi uanze? ni ndoto mnazo., watch after election how things will pan out as far as SGR is concerned..,
 
Sasa ulikuwa unataka kuwangoje nyinyi mzozane na Rwanda hadi mzozo ukamilike? Akili gani hizi? Maendeleo haiwezi kubaki nyuma eti kwa sababu tunangoja malazy wamalize mgogoro wao na Rwanda.
Sawa tu na ww usivyotaka Somalia kujoin EAC kisa haielewani na Kunyaland.
 
Heheheheeee unafananisha electric car zilizowekwa uwani pale ka Nairobi na electrifitried SGR

Alafu mm nakwambia Tz ndiyo nchi ya kwanza Africa kuwa na the longest railway line as far as the term SGR is concerned, angalia hapa chini alafu nioneshe nchi yoyote Africa yenye SGR ndefu kama hiiView attachment 2185191
Afu hii map wanazingua,kutoka Mpanda sgr itafika Karema so ilipaswa kuoneshwa kama walivyoonesha hiyo ya kwenda keza-Kigali na musongati.
 
20 whether u like it or not..,ukinunua gari kwa mkopo, gari ni yako, itamilikiwa na benki wakati unashindwa kulipa, ama vipi? kalilie kwa choo😂😂😂😂😂😂
uhehehe 3 fully owned and 17 loan from foreign banks na bado biashara ya ndege huijui😃😃😃 ni sawa kusema umeenda kwa mzungu pale nairobi anauza magari ww ukaomba mkopo upewe gari akakwambia nipe hati ya nyuma na kadi ya gari sikupi mpaka umalize loan ndio kadi ya gari itakua yako je hio gari ni yako??
 
Sawa tu na ww usivyotaka Somalia kujoin EAC kisa haielewani na Kunyaland.
Hio ni kesi tofauti. Rwanda tayari imo ndani ya EAC na nyie bado mnazozana nao. Tofauti na Somalia ambao bado hawajaingia na kamwe hawataingia.
 
🤣🤣😂😂😂😂ebu weka data ya all goods that Dar port receives, mnatamani sana fikra zenu ziwe ukweli, hazitakua, pole dogo, amka kwa ndoto usikojoe kitandani🤣🤣😂😂😂😂.., hiyo mizigo mikubwa ni ngapi eti?, how many tues? 🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣
Simple fact ni kwamba less than 50% ya mzigo wa Tanzania ports unabaki Tanzania huku zaidi ya 45% unaenda nchi zaidi ya 7 zinazotegemea bandari zetu

Kenya 90% ya mzigo wa Mombasa unabaki Kenya
 
😅😅😅😅 Hapo sasa, halafu wanahofia Tanzania kuwa EA logistics hub wakati tayari Tanzania ni EA logistics hub, Tanzania inahudumia nchi nyingi ukanda huu kuliko Kenya na inahudumia mzigo mkubwa kuliko Kenya na Tanzania inauza kwenye nchi nyingi na value kubwa kuliko Kenya ukanda huu, sasa sijui anachohofia ni kipi?
Punguza bangi. Kenya ndio EA logistics hub. Kila mtu analifahamu hilo.
 
Simple fact ni kwamba less than 50% ya mzigo wa Tanzania ports unabaki Tanzania huku zaidi ya 45% unaenda nchi zaidi ya 7 zinazotegemea bandari zetu

Kenya 90% ya mzigo wa Mombasa unabaki Kenya
By the way kama unalosema ni kweli basi ni wazi kwamba uchumi wenu mdogo sana. Yaani tayari bandari zenu zinahandle 50% ya mizigo ambayo Mombasa port inahandle. Halafu mbaya zaidi only 45% ndio mizigo yenu? Halafu mnabisha kwamba Kenya ina gdp kubwa kuwashinda? Wakati 35 million tonnes zinapitia Mombasa port kila mwaka, 17 million tonnes ndio zinapitia Dar Slum port pekee. Ni obvious uchumi gani mkubwa kati ya KE na TZ.
 
Back
Top Bottom