Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MD wa TRC anafanya mahojiano saiz na TBC.. anasema hiki kipande cha Dar hadi Pugu.. zitajengwa overpasses tatu ili magar yapite juu na treni chini.. Zitajengwa eneo la kuelekea Airport, Vingunguti na ‘ile njia ya kutokea kinyerezi’ (nimesahau kataja jina gan sijui)..
Pale Airpot na njia panda watu washachukuwa pesa nyumba zishavunjwa aisee ni eneo kubwa zimechukuwa hizi underpasses, tusubiri muonekano mpya wenye kupendeza pia zitapunguza congestion.
 
Ushawai kuskia Vision 2025 ya Tanzania..Hio SGR tumeplan toka enzi za Kikwete ..na sio kwamba tunawageza nyie...Ndo maana tumeanza kujenga na tunajenga kila kitu kwa pace yetu
Sio Kikwete mzee ni tangu enzi ya mkapa . Tatizo ilikua commitment and fund , uthubutu wa late magu imefanya leo iwe nothing impossible
 
MD wa TRC anafanya mahojiano saiz na TBC.. anasema hiki kipande cha Dar hadi Pugu.. zitajengwa overpasses tatu ili magar yapite juu na treni chini.. Zitajengwa eneo la kuelekea Airport, Vingunguti na ‘ile njia ya kutokea kinyerezi’ (nimesahau kataja jina gan sijui)..
Panaitwa njia panda ya segerea ( Stakishari) , actual wameanza kubomoa nyumba hayo maeneo hili waanze kujenga hizo overpass
 
Wameshaanza kuweweseka

Sasa wanalalamika nn? Uwezo wa nchi yetu ni mkubwa ndiyo maana tulipoomba mkopo wa kutengeneza electrifitried SGR waligoma but tulipoanza kwa pesa za ndani ndipo walipojua kuwa tuko serious zen wakakubali, ss hawa jamaa uwezo wao mdogo nchi yao ya kimaskini walitegemea wajengewe reli ya umeme? Ili iwalipe faida haraka haraka alafu mchina akose pa kupiga? Walipoomba kujengewa reli ya diesel mchina akakubali mana alijua fika lazima wa default zen mchina achukue Mombasa port, ndivyo ilivyotokea, ss wanalia nn, umaskini mbaya
 
FB_IMG_16497893283701935.jpg
 
Sawa chief, mtanzania wa mtaa anajua KQ zaidi kuliko Kenyans., najua hii taarifa ulitoa wapi na ni siku ipi ilichapishwa, fanya utafiti, usilazimishe fikra zako🤣🤣😂😂😂

As at 2019 KQ had 40 fleets, 20 zake fully owned..., kwa sasa(2022) kama sijakosea ni 19..,ichoboy01 ATCL ina ngapi eti kwa ujumla?.., iwe leased ama yao...,

View attachment 2184981
View attachment 2184984

So kwa kauli yako by leasing👇👇 two aircrafts to Congo KQ itabakia na ndege moja tu inayo miliki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 kwa vile hauwezi ku lease a leased aircraft, ichoboy01 wakati mwingine wewe ni mandazi sana🤣🤣😂😂😂
As at 2021 KQ had 39 planes, 19 zake, 17 leased..., una swali?

View attachment 2184987
View attachment 2184988
mm simutanilaumu bure hvi ww na macharia nani anajua zaidi ???😂😂👇👇👇👇

Tony254 njoo basi umsaidie ndugu yako ukweli ni mchungu sana 🤣🤣🤣🤣

7FF89D0E-78AB-4547-B47B-61A286C825F9.jpeg
9124995F-F2C2-47D9-88C7-C5DF187382FD.jpeg
0D08C539-21E8-4F82-A654-8E49595E1977.jpeg
 
Sawa chief, mtanzania wa mtaa anajua KQ zaidi kuliko Kenyans., najua hii taarifa ulitoa wapi na ni siku ipi ilichapishwa, fanya utafiti, usilazimishe fikra zako🤣🤣😂😂😂

As at 2019 KQ had 40 fleets, 20 zake fully owned..., kwa sasa(2022) kama sijakosea ni 19..,ichoboy01 ATCL ina ngapi eti kwa ujumla?.., iwe leased ama yao...,

View attachment 2184981
View attachment 2184984

So kwa kauli yako by leasing👇👇 two aircrafts to Congo KQ itabakia na ndege moja tu inayo miliki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 kwa vile hauwezi ku lease a leased aircraft, ichoboy01 wakati mwingine wewe ni mandazi sana🤣🤣😂😂😂
As at 2021 KQ had 39 planes, 19 zake, 17 leased..., una swali?

View attachment 2184987
View attachment 2184988
ww huoni hata mwenzako anashangaa🤣🤣🤣👇👇👇

mwengine anakwambia wanamiliki ndege 20 wakat 3 ndio wamelipia zingine ni deni na halitalipwa mpaka dunia itasmama kwasababu kampuni yenyewe inaendesha hasara huku ina kopa kila leo 🤣🤣🤣🤣
Don YF nye nye nye sisi tuna GDP kubwa haya wapeni wananchi hio GDP wale washibe saaa 👇👇👇👇
 
Back
Top Bottom