Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wengi humu hawajui Kenya inafanya mambo kwa mpangilio according to Kenya Vision 2030 iliyo kua launched in 2008..,
Sasa ni wakati wa ku tick boxes of accomplished projects..,
Render👇👇 ya Expressway in 2008 katika chapisho la Vision 2030 (Personaly nilidhani ni ndoto za aliniacha, I was wrong)si jambo la kushtukia tu kama ilivyo TZ.., 😂😂😂

1649770414051.png

2022..,🔥🔥🔥🔥
1649770321156.png

mengine..,
SGR
Lamu port
Bypasses
Watanzania don't hate nor copy us, tunafanya mambo yetu kulingana na strategic plan tulio unda tokea 2008...,
8 years to go.., nadhani tutakamilisha over 80% ya malengo by 2030
 
Mimi nazungumzia LPG storage facility. Nyie gas yenu ni Lng au umesahau?
Kwenye LPG storage hamtufikii. Mombasa ina biggest Lpg storage terminal in Sub Saharan Africa. Soma hapa.
👇 👇 👇

Mombasa mega gas terminal to ease prices in upgrade​

Friday November 06 2020​

Supply of cooking gas is set to increase following the upgrade of an import handling and storage terminal in Mombasa, setting the stage for a further drop in the cost of the commodity.
Africa Gas and Oil Ltd (AGOL) will have a storage capacity of 25,000 tonnes of liquefied petroleum gas (LPG) from March when the upgrade of the facility initially built in 2013 is complete.
The AGOL facility was built to allow for bulk imports of cooking gas to lower unit costs through economies of scale and curb shortages, which had been made difficult by the smaller import terminal at Shimanzi.
It had a storage capacity of 10, 000 tonnes that will grow to 25,000 tonnes—making it the largest terminal in sub-Saharan Africa.
The import handling and storage unit has helped relieve demand pressures through reduction of stock-outs, effectively reducing the price of LPG.
“The upgraded facility will be complete in March and it will be able to handle 100, 000 tonnes per month,” said AGOL in a statement.
“The infrastructure investments will play a key role in boosting supply and lowering LPG prices. Previously, investment in import handling and storage was the key missing ingredient in the sector which had suffered decades of under supply, poor storage and weak distribution at the port of Mombasa.”
Previously, the oil marketers import cooking gas individually in small quantities due to inadequate gas discharge facilities.
This led to cooking gas shortages and expensive LPG due to high import premiums and demurrage, which are penalties marketers pay shipping companies when tankers fail to offload in the stipulated time period.
The Shimanzi terminal has a capacity of just 1,400 metric tonnes
M

Imeshagrow?
 
Hapa tunazungumzia storage tanks tu. Sasa haijalishi tunanunua Lpg wapi, cha msingi ni kwamba tuna biggest Lpg storage facility in Sub Saharan Africa. Tunaweza kustore Lpg kwa wingi kushinda nchi yoyote SSA.
Tuta Tuta Tuta
 
Hata Paris zipo slums kama za Nairobi though huko mnaziita estates
Basi Dar yoote itakua ni shithole kwa vile hakuna estates kwa wingi, ni ushamba unao sambazwa na ufukara, jiangalie kabla ya kupost.., 95% ya Dar in 2022!..,
Google earth msema ukweli.., Dar is slum
1649772629244.png

1649772651508.png

1649772663264.png
 
Kama mpk mfagiaji ana transport allowance basi hii nchi haina mpinzani hapa Afrika
Kwani ni jambo geni? factory transport or company hua hazibagui., uwe security ama mama chai nyote asubuhi mnachukuliwa from a designated point na kurudishwa jioni., so kwako hiyo ni ubabe? lishamba😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂
 
Doesn't make Dar to be better and above Johannesburg or Nairobi..., jua hilo.,
Panya za Jozi..., 😂😂😂
View attachment 2184948
View attachment 2184951
ikiwa SA, ni Van, ikiwa kenya ni Vipanya, ni hapo ndo utapata kujua kua kenya sio nchi mbaya venye wo ubishana hapa, bali ni uwivu tu. aky hawa watu, kenya inawasumbua sana. wengi wao hapa wako na ugonjwa wa pressure na ulcers jili tu ya kenya

Screenshot_20220412-170235_Chrome.jpg
 
Watanzania wengi humu hawajui Kenya inafanya mambo kwa mpangilio according to Kenya Vision 2030 iliyo kua launched in 2008..,
Sasa ni wakati wa ku tick boxes of accomplished projects..,
Render ya Expressway in 2008 katika chapisho la Vision 2030 (Personaly nilidhani ni ndoto za aliniacha, I was wrong)si jambo la kushtukia tu kama ilivyo TZ..,

View attachment 2185028

2022..,
View attachment 2185027
mengine..,
SGR
Lamu port
Bypasses
Watanzania don't hate nor copy us, tunafanya mambo yetu kulingana na strategic plan tulio unda tokea 2008...,
8 years to go.., nadhani tutakamilisha over 80% ya malengo by 2030
Xpress way vs electrifitried SGR kipi ni kitu cha kushangaza zaidi kuwepo East and Central Africa

Kama kuna mtu angeliniambia mwaka 2010 kwamba ifikapo 2025 Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Africa kuwa na European standard electrifitried SGR ambayo ni ndefu zaidi barani Afrika basi ningelimpiga makofi kwa kuniona zuzu wa kiwango cha SGR iliyosuswa pale Suswa
 
ikiwa SA, ni Van, ikiwa kenya ni Vipanya, ni hapo ndo utaamini kua kenya sio nchi mbaya venye wo ubishana hapa, bali ni uwivu tu. aky hawa watu, kenya inawasumbua sana. wengi wao wako na ugonjwa wa pressure na ulcers jili tu ya kenya

View attachment 2185068
We nawe wacha upumbavu hebu angalia hizo van zilivyo bomba alafu fananisha na vipanya vya ka Nairobi, kwanza mazingira tu ukiweka ya ka Nairobi ni uharo na dongo jekundu pembeni mixa machinga, alafu ndio ufananishe na SA unaumwa wewe.
 
Unakuta Mlazy mmoja anasema eti Dr. Mwangi asiruhusiwe kununua benki Tanzania. Jamaa anasahau kwamba nchi yao sio ya ujamaa tena. Nchi yao imekuwa capitalist country na mwenye pesa mpishe. Ikiwa Equity inataka kununua benki hapo Tanzania basi nchi ya kikapitolisti inastahili kuruhusu transaction hiyo kufanyika. Tatizo hawa Malazy wana mawazo ya kijamaa sana. Ujamaa bado haujawatoka.
Tanzania ni nchi ya "Ujamaa' na itaendelea kuwa nchi ya Ujamaa'. Tanzania serikali ndiyo yenye kumiliki ardhi ambayo ndiyo "the most important mean of production" nchi gani ya kibepari ambapo ardhi ni Mali ya serikali?, Ninyi endeleeni na ubepari wenu watu wachache wanamiliki ardhi na kuwaacha wananchi wengi wakifa kwa njaa
 
Mimi nazungumzia LPG storage facility. Nyie gas yenu ni Lng au umesahau?
Kwenye LPG storage hamtufikii. Mombasa ina biggest Lpg storage terminal in Sub Saharan Africa. Soma hapa.

Mombasa mega gas terminal to ease prices in upgrade​

Friday November 06 2020​

Supply of cooking gas is set to increase following the upgrade of an import handling and storage terminal in Mombasa, setting the stage for a further drop in the cost of the commodity.
Africa Gas and Oil Ltd (AGOL) will have a storage capacity of 25,000 tonnes of liquefied petroleum gas (LPG) from March when the upgrade of the facility initially built in 2013 is complete.
The AGOL facility was built to allow for bulk imports of cooking gas to lower unit costs through economies of scale and curb shortages, which had been made difficult by the smaller import terminal at Shimanzi.
It had a storage capacity of 10, 000 tonnes that will grow to 25,000 tonnes—making it the largest terminal in sub-Saharan Africa.
The import handling and storage unit has helped relieve demand pressures through reduction of stock-outs, effectively reducing the price of LPG.
“The upgraded facility will be complete in March and it will be able to handle 100, 000 tonnes per month,” said AGOL in a statement.
“The infrastructure investments will play a key role in boosting supply and lowering LPG prices. Previously, investment in import handling and storage was the key missing ingredient in the sector which had suffered decades of under supply, poor storage and weak distribution at the port of Mombasa.”
Previously, the oil marketers import cooking gas individually in small quantities due to inadequate gas discharge facilities.
This led to cooking gas shortages and expensive LPG due to high import premiums and demurrage, which are penalties marketers pay shipping companies when tankers fail to offload in the stipulated time period.
The Shimanzi terminal has a capacity of just 1,400 metric tonnes

Hii lugha yenu tumeizoea, kabla ya kusema "is the biggest in Sub-sahara Afrika", mlipaswa kutaja uwezo wa nchi kubwa Kama Nigeria, South Africa, Angola na Tanzania ili tulinganishe.
 
Hapa tunazungumzia storage tanks tu. Sasa haijalishi tunanunua Lpg wapi, cha msingi ni kwamba tuna biggest Lpg storage facility in Sub Saharan Africa. Tunaweza kustore Lpg kwa wingi kushinda nchi yoyote SSA.
Tunaomba ushahidi Kama Kenya ndiyo yenye biggest storage capacity in Sub-sahara Africa
 
We nawe wacha upumbavu hebu angalia hizo van zilivyo bomba alafu fananisha na vipanya vya ka Nairobi, kwanza mazingira tu ukiweka ya ka Nairobi ni uharo na dongo jekundu pembeni mixa machinga, alafu ndio ufananishe na SA unaumwa wewe.
tofaut ni wapi na wapi... hii ni siku ya kawaida kabisa. a level playing ground. sema tu wee kenya kwako, kuna vile....

nairobi
Matatus.jpg

johannesburg
navigate-transport-in-south-africa-3-min.png
 
Back
Top Bottom