Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar bado watu wanaendesha hizi nguruwe kwa wingi in 2022. 🤣🤣🤣🤣

2004 TOYOTA NOAH | BIZCYCLONE
Cars for sale in tanzania - cartanzania
 
ww ni fala sana.!, unawaza na mk*ndu......
ona........, lack of rain is the act of god. its not manmade. so kwako hio inakua ni kigezo cha kicheko.! yani ata sijui watu wengine walizaliwa aje...
Hivi Kama serikali ya Kenya ingepeleka maji ya Bomba hao wanyama wangekufa?, "Kenya irrigation schemes cover only 200k hectares, while on Tanzania cover over 900k hectares
 
How is economy contribute to the availability of rain? Kweli unareason na asilimia moja ya akili yako
Kwanini hamjengi miundombinu ya umwagiliaji maji Kama Tanzania?, Wacheni upuuzi wenu mtakwisha kwa njaa, hili tatizo la njaa ni tangu Kenya ilipopata uhuru wake 1963, ni miaka 60 Sasa hakuna ufumbuzi, failed state"
 
Very few, Bongo kupata hizi model kwa streets ni ngumu sana while Nairobi hizi ndio zinauzwa na kuendeshwa sahii all over.
uhehehehe ww ndio ulipiga sensa mbona husemi probox zimejaa kenya pamoja na filder 😂😂😂😂😂
 
Tony254, unayosema sio kweli hata kidogo, sector nzima ya Agriculture Tanzania ambayo ni kubwa kuliko nchi zote za ukanda huu haina uwezo kuingiza $1.3B, hafadhali ungesema maua ningekubali kwasababu ni "high value products.

Majani chai ni " low value' product, ili kupata $1.3B, lazima ardhi ya nchi nzima ya Kenya igeuzwe kuwa mashamba ya chai.

Kinachotokea ni kwamba, chai yote inayolimwa Malawi, Zambia, Tanzania, Burundi, Rwanda, Uganda, Kenya na Ethiopia inakusanywa kwenye soko kubwa la chai hapo Mombasa, kutoka hapo ndio hiyo chai inakua "branded" Kama "Export from Kenya", lakini Kenya pekee hamuwezi kuzalisha hata chai inayozidi $200M, "prove me wrong"
Kaka, huwa unalitendea haki sana jukwaa letu hili kwa kuelezea huja nzito kiurahisi kabisa.

Hili ulilolisema linaonesha wazi mapungufu ya kipimo cha GDP (nominal) ambapo uchumi wa nchi ya kenya unaoneana mkubwa (wanazalisha zaidi) lakini kiuhalisia ni mdogo. Ndiyo maana wanashindwa kufanya hata vimradi vidogo.

Vita ya Ukraine pia imeonesha wazi kabisa kuwa uchumi wa Urusi ni mkubwa kuliko GDP (nominal) inavyosema, vita yao imetikisa dunia nzima wakati takwimu zinasema uchumi wao ni mdogo kuliko ule wa Korea Kusini.
 
Back
Top Bottom