Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😍

Image
Image
Image
 
ww ni fala sana.!, unawaza na mk*ndu......
ona........, lack of rain is the act of god. its not manmade. so kwako hio inakua ni kigezo cha kicheko.! yani ata sijui watu wengine walizaliwa aje...

Sijaandika maelezo mengi na umepanik namna hiyo kama umesimikwa gunzi kwenye mk*ndu wako vipi ingekuwa nimeandika maelezo ya nguvu!
 
Generally we drive more expensive SUVs compared to your low cost hatchbacks
Ingia Youtube tafuta any recent video ya Nairobi and Dar es salaam, compare magari on both videos uone ukikufa na aibu na hizo magari zenu mzee.🤣🤣😂😂
 
kuna watu humu walikuwa wanang'ang'ania inspections zifanyike nchini kw hali hii sijui kama tungetoboa!
Hivi mtu akiagiza gari Uingereza kwenda Ujerumani, hiyo gari itaruhusiwa kusajiliwa Ujermani bila ya kufanyiwa ukaguzi na wao wenyewe?
 
ndio! jifunze kujua what EU standards mean!
Sawa ila hayo ni makubaliano ya EU pekee, Kwingine duniani kila nchi zinafanya ukaguzi zenyewe. Marekani hata ukinunua gari kutoka state jirani huwezi kuisajili mpaka waifanyie uhakiki. Ukiagiza nje ya nchi ndo kabisaa itabidi Feds kwanza waikague.
 
Ingia Youtube tafuta any recent video ya Nairobi and Dar es salaam, compare magari on both videos uone ukikufa na aibu na hizo magari zenu mzee.🤣🤣😂😂
Unajua maana ya hatching? 🤣🤣🤣🤣

Maana yake ni kutamia, so mnaongoza kuendesha viota au incubators 😆
 
Mnaongoza kuendesha hatchbacks, tofauti ya hatchbacks na wheelchairs ni madirisha tu 😅😅😅😅😅
Enda YouTube tafuta any recent video ya Dar na Nairobi compare the cars uone ukipata aibu, you rely on blogs as your source lakini kwa ground vitu ni different.
 
Back
Top Bottom