chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Nimependa hii numberItarudi after one year, alafu three quarters ya hizo vehicles sio zao![]()
Gari almost 3000 zinaenda DRC (nilimuambia Tony254 gari nyingi za DRC zinapita Tanzania akabisha) zinaenda Zambia, Rwanda, Burundi, Uganda, Mozambique, Malawi, South Sudan
Hii ina maana ukiondoa gharama za bandarini watazolipa lakini madereva watakua Watanzania na mafuta watanunua Tanzania, zaidi ya ajira za muda almost 3000 zimezalishwa kwa siku 1 tu.
Mombasa inahudumia 95% ya biashara yote Kenya tu
This makes Tanzania regional logistics hub


