Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kupata million views Twitter sio shughuli ndogo

Tanzania inazidi kujitangaza, katika viewers million 1 hapa hatukosi tourists 100k wakaovisit au kuwa interested na Tanzania safari experience


Wakunya kwa kupenda mteremko, hawajui wanajenga taswira ya utokuaminika duniani
1649600476057.png
 



Hil jengo nishaona humu ndani Wakunya wakidai hii project ipo Nairobi!

Mbona tuibe jengo la kawaida kama hili wakati in terms of luxury apartments In East, Central and Southern Africa outside SA, Nairobi imeshinda nchi zingine zote combined?
 
Back
Top Bottom