Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii battle ya markets tulishaimaliza kitambo sema hawa ******* wanakubali leo alafu kesho wanarudi tena mpk uvivu ndiyo maana tukakausha, mfano battle ya govt sec school pia tulishaimaliza na wakakimbia lkn ipo siku utaona wanarudi tena, yn wakijenga kashule kamoja utaona wanataka tena battle, kama issue ya markets hawatugusi hata robo ila wamejenga stand ya matatu wakaongopewa ni markets basi tayari wanataka tena marudio, inachosha sn ku deal na hivi vichwa, cjui walimu wao wanafundishaje vichwa hivi, no wonder nyumba zinaanguka kila siku.
 
Afu hio heshima ya kutoka moyon ni kwa watanzania hawahawa au wa vizazi vinachokuja?.. afu badala adili na mambo ya msingi kama vitu kupanda bei, analeta mipasho 😄

Ama kweli tuna safar ndefu sana. Anaupiga mwingi 🔥
Hamia EU vitu vimeshuka bei kama Ulaya mbali hamia hata Kenya hapo 🤣🤣.

Ukiwa na boss ofisini huwa unamuogopa au?
 
Sababu ipo ,yule Mwendazake ndio alianzisha hii ya kukashifu predecessors wake so acha apewe mishale hadi atamani kutoka kaburini.

Yaani mimi ninafurahi kinoma,kwa kuwa alikosa heshima ngoja apewe vitasa huko huko kama hasikiii wafuasi wake watasaidia kuumia kama wanavyoloa Lia humu mitandaoni.
 
ata mzazi issue saana . fikiria ukienda kuomba nayo kazi, ama wakati wa interview.. [emoji38][emoji38][emoji38]
Kwenye interview ndio balaaa mzee halafu ukute boss ni mwanamke tena wale visirani yaani utarudishwa hapo hapo na bahasha yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa ila style ya utekelezaji iliua uchumi,pili he was not focused anashika shika kila mahali kiasi kwamba Miaka 6 iliisha hakuna hata alichofanya cha kuonyesha matokeo yake Samia kaachiwa miradi yote na anaifanya bila stress bila kuua uchumi.
 
Kabisa japanese lugha yao imeshabihiana kwa ukaribu sana na kiswahili.
 
Viongozi wakubwa wa serikali walitakiwa kuwepo katika uzinduzi, kumpa moyo Masoud. Kitu alichokifanya ni kikubwa sana.
Na wasije wakamuwekea zengwe kwenye patent maana hawakawii kumzingua ni haki yake kupewa umiliki. Hakuna mambo ya 10% hapa au ubia kundesha kampuni labda kama yeye mwenyewe akiomba usaidizi hapo sawa.
 
Sawa ila style ya utekelezaji iliua uchumi,pili he was not focused anashika shika kila mahali kiasi kwamba Miaka 6 iliisha hakuna hata alichofanya cha kuonyesha matokeo yake Samia kaachiwa miradi yote na anaifanya bila stress bila kuua uchumi.
Sawa kaka ngoja tuone after 6 yrs itakuwaje. Ila huko nyuma ulipokuwa ukienda ofisini unakaribishwa na kusikilizwa haraka tena ukikutwa umekaa kwenye bench unaulizwa umeshasikilizwa? So nidham ilikuwepo kama ilikuwa ya uoga ilisaidia kiasi kikubwa. Sasa hivi hiyo hali haipo.
Mimi simpingi mama ni Rais wetu , ni mama yetu lakini asiongoze kwa upole sana watendaji wakimjua udhaifu wake watamkwamisha mipango yake, nadhani watz unawajua wakishakusoma.
Kwahiyo hatupigi kelele kwamba tunampinga au kumkwamisha la hasha! Tunamzindua asiwachekee hawa,akishindwa yeye ni taifa zima tumeshindwa, akikwama yeye tumekwama sote.
Mtu anayekupenda na kukutakia mema huwa anakwambia udhaifu wako. Mama hawezi kujua yote kuna mahali watendaju wake wanamdanganya kwa maslahi yao binafsi. Hatumchukii tunampenda na tunataka afanikiwe na amalize salama kipindi chake cha uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…