ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
na ninajua ndio akili yako ilipoishia 🤣🤣👇Sasa hiyo Dodoma size yake hata haiezifikia Mwariro Market 😂😂🤣👇👇👇
View attachment 2173957
na ninajua ndio akili yako ilipoishia 🤣🤣👇Sasa hiyo Dodoma size yake hata haiezifikia Mwariro Market 😂😂🤣👇👇👇
View attachment 2173957
ww ndio ulijenga ukajua haiwezi ??😂😂😂 au unaona sura ya mbele unaanza kuhahaMost of your markets can't accommodate more than 500 traders and that's the truth the truth that you hate to hear.🤣🤣😂🤣
Yeye ndio Raisi kwa sasa hajui kuongoza hayo ni yako.Kama ni heshima aheshimiwe kama Raisi na huo ujinga wa kuuliza watu kama wanampenda ili nini? Hata JPM alikua hapendwi anaogopwa,kama ni kupendwa alipendwa Nyerere aliefuatia kidogo ni KikweteHana lolote tena ngoja muda wake uishe hapo utaona madudu yake zaidi ya JPM maana madudu yake mpaka raia wa kawaida wanayaona je waliopo serikalini kiufupi hajui kuongoza nchi hamna sehemu anakubarika na kama unabishi ingia mtaani uanze kumsifu uone kama hujakimbizwa kama mwizi
🤣🤣🤣🤣🤣 asante kwa kilio msaidie mwenzio sasa anahara tundio sababu kuu hamna Malls za maana uko? daaa!!!
Hata masoko pia hawana, umeona vitu wanapost venye ni ndogo ndogo?😂😂🤣😂
Hata JPM aliponda sana utawala uliomtangulia,alipojaribu kujitetea kipindi fulani akaambiwaa anawashwawashwa....usijifanye umesahau,do me I do you...sio kwamba nayafurahia ila ndio tujifunze kila kitu kinamalipoKwani Kuna sababu ya kumpiga vijembe mtangulizi wake?, Yeye alipaswa afanye kazi vile atakavyo bila vijembe, akumbuka kwamba Magufuli ndiye aliyempendekeza kuwa makamu wa rais, kwamba walifanya kazi pamoja, kwamba wanatoka chama kimoja, Kama hakuwa anakubaliana naye alikua na nafasi nzuri ya kumshauri, Kama alishindwa au alikua hashauriki alipaswa kujiuzulu, anayofanya yanaonyesha ni kiasi gani huyu mama Hana maadili, haiba na sifa za kuwa kiongozi mkuu wa nchi.
Another tiny market with a capacity of less than 500 traders😂😂🤣🤣
Mnajenga vitu vidogo vidogo ati mnataka kushindana na Kenya😂😂🤣😂. Market is for many people so you have to build big things🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣 asante kwa kilio msaidie mwenzio sasa anahara tu
Most of your markets can't accommodate more than 500 traders and that's the truth the truth that you hate to hear.![]()
Is Kisutu big?🤣🤣🤣😂. Can Kisutu be compared with this market in Nairobi?Dar tu ina masoko makubwa ya kisasa kama Kisutu zaidi ya matatu, hacha madogo madogo mapya yaliyojengwa recently. Rafiki yako hapo kashangaa namna masoko yetu yapo, hadi anauliza kwamba huenda ni sababu hatuna malls, kwa taarifa yake malls zipo na masoko ya kisasa yapo. Yaani hakuna nchi ukanda huu una uchumi inclusive kama wetu, kila mtu anapata kitu kwa hadhi yake with classy. Sasa tunaomba masoko kiwango cha Kisutu na Magomeni yaliyopo Nairobi ambapo wewe Bwana Machozi na wenzako mnaoishi Kibera mnakwenda kununua bidhaa zenu then tuanzie hapo.
🤣😂😂Ukiona mibongolala amesema asante juwa amepanic!na kuna possibility akatumie uchawi kukumaliza
Katika mengi uliongea naungana nawe,Mtu akishakuaameenda muacheni aende,Humu ndani bado watu wanahang-over nae,kwa sasa hayupo...sasa kama kazi alizoacha bado zinashughulikiwa kwanini bado mnapata tabu?lakini usisahau aliharibu uchaguzi wa mwaka 2020 katika kitu aliwahi nikera nacho ni kile na nilimshusha sana,kwanza sipendi sana kumzungumziaKiukweli kama hakutatokea Rais ambaye atatenda kazi kwa kasi kama Magufuli, ujasiri wa kuanzisha miradi mikubwa, ufuatiliaji wa kazi zake, uwezo wa kusimamia maneno yake, uthubutu wa kubuni miradi mipya huyo Rais hataeleweka kwa Watanzania wengi na atakuwa amefanya chini ya kiwango.
Ebu fikiria nchi tulipokuwa tumeshafika siyo kabisa kila mtu mwenye pesa alikuwa untouchable lakini mwamba alivyoingia tu heshima ikarudi tukawa sawa. Tukaanza kuona vitu vinafanyika siyo kuishia kwenye ilani na mipango mkakati kama tulivyoaminishwa.
Watamtukana sana baba wa watu, watamzodoa sana na kumbeza kwa kuwa hayupo lakini aliyoyafanya yataishi kwenye mioyo yetu daima. Hatutamsahau kamwe. Watamfuta kwenye kumbukumbu zao ila sisi tutamtunza kwenye nafsi zetu. Wakiua nafsi zenu mawe yatamkumbuka daima.
Kama hakuwa kiongozi mzuri mbona mpaka sasa hivi miradi mingi iliyokuwepo na ambayo ameibun iliyokuwa haitarajiwi kutekelezwa bado inatekelezwa na hawajaimaliza? Huko nyuma tulikuwa tunakwama wapi. Baada ya kuthubutu kufanya ndipo na wengine wakaona kumbe inawezekana.
Wamuache mzee wa watu apumzike. Watanzania tutawapima hawa viongozi kwa utendaji wa Magufuli na siyo maneno ya kujipamba pamba tu huku matendo sifuri.
ww ndio ulijenga ukajua haiwezi ??😂😂😂 au unaona sura ya mbele unaanza kuhaha
nimekuekea na aerial view ujifunze
View attachment 2173966
Tz hatuna viongozi wenye dira thabiti,ilani zao zimezingatia mambo ya kawaida sana ndio maana tuko hapa tulipo. Hapa namaanisha sio JPM wala SSH sioni alienikosha kwa kiwango hicho...wote walewale tu...nahua sipendi sana kuzungumzia hawa watu sijui imekuajeAfadhali kwako, kwa huu upandaji wa vitu , rushwa , watu wanaujum pka mradi wa bwawa la umeme wanakatakata umeme mpka tumepigwa faini , na nakwambia kwa huu upuzi wa kuwaumiza watu wa chini matokeo utayaona in no time, endelea kuwa kipofu
Hujajibu swali langu, is Kisutu big?🤣🤣😂🤣My brother, does the dictionary in your big head posseses the word shame? Because what I see is shame comparison between classy mordern market (Kisutu) with a cheap dump site you call market. Have some nerves bro, its not cool to embarase yourself.
Bwawa hakuna mahali tumekopa...wewe ni mkenya wa hovyo sana humu jamviniAre talking about $14B loans, donations and grants for SGR and $3B loans, donations and grants for the dam?
who told u ni 1000peopleww ndio mkandarasi wa hilo soko au ujuaji umezidi kichwa budaa
nakwambia ukisema modern market huwez onesha mabanda haya
View attachment 2173956
kweli nimeamini jubilee inacheza na akili zenu![]()



Hoja yako nyepes sana,Mombasa haiwezi Dar kwa mambo mengi sanaMombasa left Dar long time ago when it comes to infrastructure.
View attachment 2173097View attachment 2173098View attachment 2173099