Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiwe kama hujui historia Tz imepokea wakimbizi wengi zaidi ukanda huu toka Burundi, Rwanda, RDC na Uganda. A few years ago tume wa naturalize wakimbizi kama 1 million na kuwapa uraia sembuse hako kanamba chenu cha 500k. At any one time Tz had over 3 million refigees in the western parts of the country.
And not far from now tutapokea wakimbizi wa kutosha toka Kenya... Ruto hatokubali kushindwa kwa urahisi hivyo tutegemee violence na tribal war in Kunyaland 😃😃😃😃
 
nani kaandika hayo mkenya kutoka makuru kayaba slum
Good evening once again

Screenshot_20220401-160235_Chrome.jpg
 
mwanzo hajui dadaab camp ni kama jiji la tatu baada ya mombasa na watu takriban millioni moja kutoka hasa somali. na kakuma camp kama jiji la sita baada ya eldoret na watu takribani lakh tano.! kutoka hasa south sudan na drcongo
What did you say please..? KAKUMA or just typographical error ?
 
Unajua Mahenge? Mahenge ni district mzee ni sawa na kusema Marakwet Rift Valley! Barabara kama hizi zipo nyingi sana kunyaland naweza kuleta picha hapa!

0QnvZbNRX5FgoScI_KOcIh6_1FDd7DZhz676sP-5acAzdQnvzYFMaJ_APEV090v8ueJg1trK7iek-jTD_2EoGpmNMr0=s512

Kapcherop-Cheptongei road, Marakwet East

Anajua labda ni barabara zinazounganisha mkoa kwa mkoa.

Hajui kuwa mikoa yote ya Tanzania imeunganishwa kwa barabara za lami.
 
pia tulikua na cordial relationship na the apartheid south africa, under botha na de'klark, during moi's regime, we were almost the only african country trading with apartheid SA. after SA's independence, mandela at some point didn't alight at jkia, claiming we were pro apartheid SA, while enroute to another country.. on the other hand mbeki never ever visited kenya while in office. its was only after his tenure as president. so hio itakuumia wapi. kenya still the 3rd largest economy afterall.. mambo ya kuabudu nchi zingine ndo upate favour hatutaki.

nb: britain ni kama mzazi wala hatuwaabudu, foundation ya kenya ni wao ndio waliweka. the previous constitution was purely pegged from britain, infact the original kenyan name was 'British East Africa Protectorate, under a Governor appointed by the Queen'. British national anthem was sang in all functions, either in schools, offices, public or official.! infact, to date, my parents can still sing all the verses to the latter
Mental slavery at its highest.
 
Hili daraja mmepigwa sana USD 736 million hata mshipa wa aibu watu hawana ni kula hela ya serikali tuu.
Nani kakudanganya ni cost of that bridge ni $736M? Mbona mnakuanga wajinga hivi?.
 
Kiukweli kama hakutatokea Rais ambaye atatenda kazi kwa kasi kama Magufuli, ujasiri wa kuanzisha miradi mikubwa, ufuatiliaji wa kazi zake, uwezo wa kusimamia maneno yake, uthubutu wa kubuni miradi mipya huyo Rais hataeleweka kwa Watanzania wengi na atakuwa amefanya chini ya kiwango.
Ebu fikiria nchi tulipokuwa tumeshafika siyo kabisa kila mtu mwenye pesa alikuwa untouchable lakini mwamba alivyoingia tu heshima ikarudi tukawa sawa. Tukaanza kuona vitu vinafanyika siyo kuishia kwenye ilani na mipango mkakati kama tulivyoaminishwa.
Watamtukana sana baba wa watu, watamzodoa sana na kumbeza kwa kuwa hayupo lakini aliyoyafanya yataishi kwenye mioyo yetu daima. Hatutamsahau kamwe. Watamfuta kwenye kumbukumbu zao ila sisi tutamtunza kwenye nafsi zetu. Wakiua nafsi zenu mawe yatamkumbuka daima.
Kama hakuwa kiongozi mzuri mbona mpaka sasa hivi miradi mingi iliyokuwepo na ambayo ameibun iliyokuwa haitarajiwi kutekelezwa bado inatekelezwa na hawajaimaliza? Huko nyuma tulikuwa tunakwama wapi. Baada ya kuthubutu kufanya ndipo na wengine wakaona kumbe inawezekana.
Wamuache mzee wa watu apumzike. Watanzania tutawapima hawa viongozi kwa utendaji wa Magufuli na siyo maneno ya kujipamba pamba tu huku matendo sifuri.
Deeply touched by your words, thanks patriot!

Well said and I second your every statement.
 
Back
Top Bottom