Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

source mama ngina
Good evening kichwa maji

Screenshot_20220401-160235_Chrome.jpg
 
Hatujaishindwa kulipa deni kama Tanzania, na pia hatujaisamehewa deni
Kila siku mnaomba China wasogeze mbele tarehe ya kulipa deni, Kama reli tu mumeshindwa kumalizia baada ya kukosa pesa ya Mchina, hiyo pesa ya kulipa deni mtapata wapi?
 
Uhuru na Kazi. There's no president that can Rival Uhuru in terms of development in this region, be it dead or alive.

Nairobians who live in muthaiga and work in westlands will wholeheartedly appreciate this road
 
Nchi zote duniani zenye wakimbizi walio chini ya UNHCR zinapewa kiasi cha pesa kulingana na idadi ya wakimbizi ili kusaidia kutoa huduma kwa wakimbizi Kama vile huduma za Ulinzi, Afya, Elimu na uharibifu wa mazingira, jielimishe vizuri jinsi UNHCR inavyofanya kazi
Na ndio maana kuna baadhi ya nchi nyingine huwa zinatake advantage kuwashawishi wasiondoke ili waendelee kupokea misaada
 
Nairobians who live in muthaiga and work in westlands will wholeheartedly appreciate this road
I just like what Uhuru has done. If I was to rate him on infrastructure I would place him at 8/10.
 
Kila siku mnaomba China wasogeze mbele tarehe ya kulipa deni, Kama reli tu mumeshindwa kumalizia baada ya kukosa pesa ya Mchina, hiyo pesa ya kulipa deni mtapata wapi?
Kuomba muda usongezwe mbele na kushindwa kulipa vitu viwili tofauti. Kenya is asking for time to be extended while Tanzania is asking for forgiveness .
 
aache upuuzi nae kabuni vp? Hii mbona ni technology ipo muda mrefu? Wapi patent ya ubunifu wake? Na hiyo rechargable battery, cells katengeneza yeye? alete evidence! Kila mpuuzi anaweza kuwa electro engineer sio?
Mkuu hata harison ford alikua na idea anakusanya engineer wakaimplent, hata jack ma sio coder but he found Alibaba . Tuheshimu wanaoweza kubuni na kutengeza ajira plus kuinvest capital kwenye idea husika
 
hakuna ubunifu sema ka-assembly an ecar! Tuache upotoshaji! Aonyeshe katengeneza vp hiyo rechargable battery yake! kama si ka-import? au atuonyeshe hiyo patent ya ubunifu wake ambayo kapewa na serikali! Mi nampongeza kwa ku-assemble an ecar na si kubuni! Ecars zipo Arusha mbugani ambazo ziko converted na hawakujitangaza wamebuni!
 
Warusi wameiachie Ukraine Chuma chakavu natamani Ukraine watuuzie tupunguze bei ya Nondo😂😂😂
Hahaha. Naona Warusi wameamua kusambaza vyuma vikuu kuu huko Ukraine. Inakuwa ni kazi ngumu kuzikusanya.
 
Back
Top Bottom