Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This road is going to be super beautiful once it's completed.

Western Bypass.

20220402_205950.jpg
20220402_205954.jpg
20220402_205957.jpg
 
Development in Kenya is spread up to the villages.

You can't find fire station in Tanzanian towns and some cities while here in Kenya they available everywhere hadi vijijini

 
Nilikuambia uandike tu Kwa kiswahili instead of torturing English left, right and center. Everybody will understand you.
Izo excuse haziku saidii, try to bit arround the bush, i asure you will find nothing...
 
Development in Kenya is spread up to the villages.

You can't find fire station in Tanzanian towns and some cities while here in Kenya they available everywhere hadi vijijini


aside Karuri Municipality onyesha fire station nyingine Kunyaland as a start!
 
Sasa kwa nini Watanzania wenzako humu ndani wanajifanya kwamba mlipigania uhuru na kumwaga damu ilhali mlipewa uhuru wenu bure bila kupigana? Nyie mlianza kupigana na mabeberu indirectly baada ya kupata uhuru wenu kwa kuhost freedom fighters kutoka nchi za SADC. Hata baada ya uhuru Tanzania haikupigana vita na mabeberu moja kwa moja. Mlipigana nao indirectly kwa kutrain freedom fighters wa hizo nchi kisha kuwatuma waende wapigane wenyewe. Sasa sijui mnasema eti mlimwaga damu wapi? Yaani waliokuwa wakipigana sio jeshi lenu bali ni hao freedom fighters waliopata mafunzo Tanzania ndio walitumwa waende wapiganie nchi zao. Wao ndio walienda kupigana na kufariki, sio nyinyi. Nyie mlikuwa hosts tu lakini hamkumwaga damu.
Wacha kuropoka, nenda kusini mwa Tanzania ukaonyeshwe zaidi ya kaburi 300 za wanajeshi wa Tanzania waliokua katika vita vya Msumbiji, muulize Yoweri Kaguta Museven Kama hakushiriki vita vya Msumbiji Kama sehemu ya JWTZ
 
Back
Top Bottom