Soma Vizuri historia ya Tanganyika na Tanzania .Sasa kwa nini Watanzania wenzako humu ndani wanajifanya kwamba mlipigania uhuru na kumwaga damu ilhali mlipewa uhuru wenu bure bila kupigana? Nyie mlianza kupigana na mabeberu indirectly baada ya kupata uhuru kwa kuhost rebel groups kutoka nchi za SADC. Hata baada ya uhuru Tanzania haikupigana vita na mabeberu moja kwa moja. Mlipigana nao indirectly kwa kutrain rebels kisha kuwatuma waende wapigana wenyewe. Sasa sijui mnasema eti mlimwaga damu wapi? Yaani waliokuwa wakipigana sio jeshi lenu bali ni hao rebels waliopata mafunzo Tanzania ndio walitumwa waende wapiganie nchi zao. Wao ndio walienda kupigana na kufariki, sio nyinyi. Nyie mlikuwa hosts tu lakini hamkumwaga damu.
Wakati wa utawala wa Germans damu nyingi ilimwagwa Kwenye vita yetu na Germans mpaka wakashangaa ujasiri wa watanganyika mpaka wakachukua mafuvu ya baadhi ya machifu kupeleka kwao kama ukumbusho.
Baada ya uhuru Tanzania imepigana vita ikisaidia Mozambique kuchukua uhuru kwa Wareno.
Imepigana vita kuwasaidia zimbabwe, Angola , Namibia kuchukua uhuru.
Imewasaidia ANC kwa hali na mali kuchukua uhuru kutoka kwa makaburu.
ikampiga Uganda ya Amin na Libya .
Katika harakati zote ilikuwa ni risk kubwa Lakini kenya ilikuwa Muoga kusaidia waafrika wenzake.
Tuseme muda mwingi wa kujiletea maendeleo tumepoteza kwenye mapambano ya vita .



