Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There are some houses I saw being posted here za Dodoma. That's when it dawned on me that we are not on the same level....
I can't compare dodoma with anything i n Kenya, not even Turkana. I think there is an architectural deficiency in danganyikaland
 
Are you ask questions or you are preparing debating questions?
1)JNIA vs JKIA, which is the biggest, modern and beautiful?
2)Mkapa vs Moi Kasarani stadium, who is the modern, biggest and beautiful?
3)Muhimbili vs Kenyatta hospital, who has performed many and complicated medical surgeriee, ie; Heart, ENT, Orthopedic, and bone marrow transplant?
i realy pity u on all the three my brother.. ie. jkia, kasarani, knh. mungu akusamee maana mtoto hajui alichoropoka..

mfano: mkapa ni kubwa zaidi ya kasarani aje, na yote mbili ni 60k pax.?
nb: architecturally speaking, kasarani has more aesthetic value than mkapa. ie. its design outshine mkapa, even though mkapa was built more recently
 
I Wonder why we compare NBO with another desolate City

Kama kawa hawatoki nje haka ka ghorofa, wakitoka hapo watakuonesha GTC wemaliza, Kenya maendeleo yapo sehemu ndogo sn pale Nairobi huwezi kufananisha na Tz miji mingi ina maendeleo ndiyo maana huwa vinapostiwa vitu humu wengine huwa hatuvijui kabisa, ila wakunya wanazunguka na triangle tu pale Nairobi, hako ka ghorofa, xpress way ya mchina, GTC ya mchina wamemaliza.
 
i realy pity u on all the three my brother.. ie. jkia, kasarani, knh. mungu akusamee maana mtoto hajui alichoropoka..

mfano: mkapa ni kubwa zaidi ya kasarani aje, na yote mbili ni 60k pax.?
nb: architecturally speaking, kasarani has more aesthetic value than mkapa. ie. its design outshine mkapa, even though mkapa was built more recently
Watakucheka watu, hujisikii aibu kubishana na ukweli?, Hata wakenya wenzako wanakushangaa
 
Maana halisi ya failed state.

Screenshot_20220402-102058_Opera.jpg
 
The best 007 huwa anaamini kwamba hakuna kitu ambacho kipo Nairobi ambacho hakipo Dar. Sasa Malazy hebu tuonyesheni ice rink ambayo ipo Tanzania.

Skating ice rink ya kwanza East Africa ipo Quality group tangu 2015!


Fool, hivi ni vitu tunavyo kabla ya 2015!
 
Nchi gani ya Afrika ilisaidia Ethiopian kuwapiga waitaliano, mbona Ethiopia ni miongoni mwa nchi za Afrika zilizosaidia nchi zingine kupata uhuru , Algeria nchi ya kiarabu lakini ilijitolea Sana vita vya ukombozi wa Afrika, ninyi wakenya ni watu wa hovyo Sana hapa Afrika.

Hivi Sasa eti mnajifanya kuhimiza umoja wa Afrika na kutaka kugombea uenyekiti wa AU, hakuna cheo cha Afrika ambacho Kenya mtapata, Afrika Kamwe haiwezikusahau usaliti wa Kenya kwa waafrika wengine
kabisa hilo walisahau

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom