7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,066
Hii picha huwa ninaletea kinyaa hatari. Halafu wao ni sawa tu kwao kwa kuwa waliambiwa na wazungu wana uchumi mkubwa. Uchumi usiojali afya za watu ni majanga. Kutokuwa na vyoo ni kielelezo cha umasikini tena mji mkuu wa nchi, bora hata vijijini. Wanakunia tu kwa raha zao mtaani. Hakuna kuona aibu wala haya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yani leo sikuachiii mpka uniambie why mnapendabkuharaa kwa miferejiiiView attachment 2171940