eaza eaza maze, si hizo tyme nayo imekua ni tenee wewe, hio memories nayo.!. yenyewe nakumbuka e-sir na nameless, walikua wasee wa ogopa dj damu.!Heeheee........boss, E-Sir alikuwa Ogopa.
YesuuuuYani leo sikuachiii mpka uniambie why mnapendabkuharaa kwa miferejiiiView attachment 2171940
Has ATCL ever made a profit?The two loss making national carrier merge, do you want to know what will happen? Stay tune![]()
Nchi gani ya Afrika ilisaidia Ethiopian kuwapiga waitaliano, mbona Ethiopia ni miongoni mwa nchi za Afrika zilizosaidia nchi zingine kupata uhuru , Algeria nchi ya kiarabu lakini ilijitolea Sana vita vya ukombozi wa Afrika, ninyi wakenya ni watu wa hovyo Sana hapa Afrika.Hebu nikuulize ni nchi gani ya Kiafrika ilikuja kutusaidia sisi wakati tulikuwa tunauwawa na mabeberu?
Kilimani is better than anything in Dar.Huyo karudi tena, yn hatoki nje ya hiki kijengo, akibadili ataweka majengo ya mchina, hapo ka Nairobi kameishaView attachment 2172242
Okay! Nimekuwa nikilisikia kwenye nyimbo za Wakenya enzi hizo zikihit hasa Jua Kali. Thanks!yani lyrics ama mistari ya nyimbo wa aina ya Rap, za wanamziki under recording lebel 'Calif Records' from california estate, in eastleigh. JuaCali ni moja wepo. wengine ni Mejja, Nonini, late E-sir, Flexx, Frasha, Ratatat, Pilipili etc
Aiseee




Sasa huyo si anaoga kwenye mfereji wa kinye...???
Lazima waje kujifunza kwanza kwa waliowatangulia ndipo na wao waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi. Huu mradi uende kasi na sambamba na ujenzi wa reli.
This is not Kenya.Yani leo sikuachiii mpka uniambie why mnapendabkuharaa kwa miferejiiiView attachment 2171940
Picha za ndani zimepigwa kabla haijaanza kutoa hudumaThis airport is always empty, no wonder it only serves 2M passengers in a year. 😂😂😂
Kuna wenye bado wanataka kujilinganisha na Kenya in terms of real estate 😂😂🤣😂.
This is Kiganjo.
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 I done with y'all today🤣🤣🤣🤣
![]()