Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Kenya ni miongoni mwa nchi chache sana hapa Afrika ambayo ilipigania uhuru wake kupitia vita sio diplomasia. Nchi zingine pia ambazo zilimwaga damu ili kujipatia uhuru ni Zimbabwe, South Afrika, Namibia na Angola. Ila nchi kama ya Tanzania mlipewa uhuru baada ya mazungumzo tu. Halafu bado mnajifanya kwamba nyie ndio mnajua kupigana na mabeberu kutushinda sisi ilhali nyie hamkupigana na mabeberu mwanaume kwa mwanaume kama sisi tulivyofanya. Wakenya 50,000 waliuwawa katika vita vya Mau mau. Wakenya wengi ikiwemo wamama na watoto waliwekwa katika concentration camps. Vitabu vimeandikwa kuhusu hili mnaweza kuvisoma. Serikali ya UK iliomba msamaha kwa mateso na mauwaji iliyofanya Kenya wakati huo.unajua ni kwanin vilitokea mpaka wakamwaga damu, na kwa huko kwenu kenya kilichofanya mmwage dam ni nini?
hata hivyo kiongozi Makini hayati nyerere alikuwa smart kichwani kidiplomacia alikuwa na power kubwa sana ya ushawishi ndiyo maana alifanikiwa kusimamia kuisaidia Tz kupata uhuru na nchi nyingine za africa kwa kutotaka kuona damu zinaendelea kumwagika,
Je kenya ilifanya nini cha maana hapa duniani kwa hiko kipindi?,,
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Cc ichoboy01
Geza Ulole
joto la jiwe






